Search results

  1. K

    Upinzani Tanzania umenunuliwa rasmi

    Watanzania shida zikiwachosha wakaamka usingizini haya ni mambo madogo bila kuamka hata kianzishwe chama gani hamna kitakachofanyika .
  2. K

    Kiundwe chama kipya kuwakomboa watanzania kiuchumi na kisiasa. Vilivyopo havina nia thabiti. CCM na wapinzani wanacollude kuwahadaa Watanzania

    Naona Chadema wameenda kumpa political mileage Samia ionekane anajali demokrasia kwa wafadhili .
  3. K

    Hili la kulipia kibao cha namba za Makazi Watanzania wenzangu na ninyi ujumbe umewafikia?

    Nimetumiwa ujumbe na mtendaji wa kata nifuate kibao cha namba za makazi niende na shilingi 5000 ya kulipia , ilipo nyumba nyingine mtendaji kanitumia meseji niende nikalipie 5500 , hivi, hivi vibao vya namba za anuani ya makazi vinalipiwa tena? Serikali ya awamu ya sita jamaniiiii mbona hivyo...
  4. K

    Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    January Makamba mbaya sana , hata aibu hana.
  5. K

    Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    Mkuu hawa ni matapeli nimeenda kuuliza Tanesco wanasema sio wao nenda TRA nimeenda TRA wanasema andika , nimeandika barua wanasema mpaka makao makuu huku wanaendelea kykata tena kila mwezi .
  6. K

    Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    Daylight robbery .
  7. K

    Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    Sio kweli huu ni wizi ,mimi sikutuma maombi mwezi wa nane , kwahiyo na majirani zangu wote walituma maombi mwezi wa nane.
  8. K

    Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    Hakuna cha errors wala nini inamaana majirani wangu wote wana hiyo errors wote wamekatwa hivyo, maana nimewauliza ,tena mmoja anamita nne kila mpangaji kamuwekea mita yake kote wamekata 10000+1000 =11000 hawana aibu .
  9. K

    Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    Hichi wanachokifanya sio haki kabisaaa ,hata kama tuna shida ya kukusanya kodi sio kwa wizi huu ndugu.
  10. K

    Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    Hivi hii kampuni kuanza kukata makato ya shilingi 10000 badala ya 1000 ya makato ya kodi ya majengo ina maana gani , maani ni tofauti na agizo la Serikali kuwa kodi ya italipwa majengo kwa makato ya shilingi 1000 kila mwezi kwa miezi kumi, sasa huu utaratibu wa kukata 10000 , na kila mwezi 1000...
  11. K

    Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

    Kwahiyo P yaani ccm ni undugunization 100% , Samia amuachie mdogo wake damudamu aiseeee maccm mna shidasana na aibu hamna .
  12. K

    Rais Samia: Nilikuwa Tour Guider kwenye movie ya Royal Tour

    Dalali awe rais ? Aiseeee kazi ipo ? .
  13. K

    Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

    P kijani kibichi hamna msafi hata mmoja , P endelea tu kuwapigia debe na kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu, mpaka maccm menzio yaimalize hii nchi.
  14. K

    Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

    Ujumbe wao hauna athari ? + or - ? Kijani kibichi ni zero brain .
  15. K

    Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

    Uchumi wa kati my foot in Nigerian voice.
  16. K

    Kukosekana kwa Maji na Umeme na kupanda bei za bidhaa kunatia doa Serikali ya Rais Samia

    Kijani kibichi umeyaona sasa, hili lichama ni janga kwa nchi hii, hata akishushwa malaika hawawezi maccm ni hatari sana , hayana huruma hayafai kabisaaa, sasa we mpambe wa mwendazake ndio unashtuka leo?;.
  17. K

    Diana Bundala aka Mfalme Zumaridi, afikishwa Mahakamani akikabiliwa na kesi tatu ikiwemo usafirishaji haramu wa binadamu

    Ushauri kwa serikali usajili makanisa yote upitiwe upya, pili wachungaji wote wawe na digrii ya theology ,kila kanisa la kilokole lifunge sound proof , muona Kama utitiri wa makanisa uchwara ya kina Diana Bundala na Zumaridi yataonekana tena , Rwanda wamefanya hivi baada ya kuwakuta ya kuwakuta...
Back
Top Bottom