Poleni na majukumu ya hapa na pale naomba niende moja kwa moja kwenye mada!.. Baba yangu ni mtumiaji mkubwa mno wa SIGARA. kwa Siku anamaliza ata pakiti 2.. Ni mraibu kweli kweli na SIGARA. Kiasi kwamba huwa anasema kama asipovuta Basi hata 2+2 hajui jibu nini.
Shida inayokuja afya yake...
Fact ni kwamba wanawake wapo wengi sana kuliko sisi wanaume hata ukifanya tafiti ndogo kwnye hospitali zetu watoto wa kike wanazaliwa wengi kuliko wa kiume. Ndio maana dini nyingine zimeamrisha.
Mwanaume aoe mke zaid ya mmoja. Ila kivumbi kinakuja wanawake wenywe hawataki uke wenza ukianzisha...
NACTE badilishen mifumo yenu ya matokeo elimu sio vita mkiwaiga TCU sio vibaya. Yaani diploma ya AFYA kama unachukua degree ukikaa vibaya utasoma Ata kwa miaka 7.. Ukitoka apo kwnye msoto uo uanze kuangaika tena kwnye mitiani ya kupata leseni kwa bodi husika...
Awa jamaa Kila component uwe...
Hii battle ilikuepo sana miaka ya nyuma speech ya wazili wa afya juzi kaja kuliibua tena baada ya kusema taifa lina upungufu wa wataalam wa *biotechnology and laboratory science* (hawa wanatoka pale SUA kila mwaka) na wataalam wa molecular biology ( wanazalishwa pale UDSM) Raia wanadai wizala ya...
Juzi hio ijumaa may 22. Kama kawaida yangu nipo addicted sana na mazoez.. Baada ya kukata wese asubui.. Jion kama kawa lazma nicheze mpila jion ( saa 10) Au kama nimebanwa sana bas huwa nakimbia road mishale ya Saa ( 1 mpka Saa 2 na nusu) nishamaliza program yangu..
Bas bwana may 22 io ijumaa...
kama Unapokaa Au kwa rafiki zako Au jilani kuna ma sinki ya choo yaliyoshindikana kwa uchafu.. Kiboko yao ipo.
Tafuta dawa inaitwa NEW HARPIC nais haizid elfu 13. Kutokana na location uliyopo..
Angalizo
Usitumie bila ya gloves. Au kitu chochote kitakacholinda viganja vyako.. mwaga drop(...
Acha tu niseme bi mkubwa wangu ni bonge la fighter. Licha ya kazi anayofanya kua na maslahi madogo lakini mambo anayoyafanya ni makubwa. Mama yangu ni mwalimu wa shule ya msingi ila mungu kamjalia akili ya MAISHA..
Maisha ya walimu wa S/M wengi mnayajua ni mwendo wa madeni tu mwanzo mwisho Deni...
Kaa ukijua kuongeza kg ni rahisi sana kuliko kupunguza hahaha yaani kupunguza sio poa. Kupunguza kg 2 tu mziki wake sio wa kitoto...
Jiwekee tabia ya kufanya mazoezi japo dk 30 kwa siku. Magonjwa yasiyoyakuambukiza Ndio habari ya mjini now.. Kwa sababu mitindo ya maisha imebadilika sana...
Habari zenu wakuu polen na hii pandemic ya covid -19 hope mambo yanaenda poa.
Leo nimekuja na ushuhuda wangu bwana ikiwa nina miaka 3 na miezi kadhaa bila ya kuugua au kuumwa.. Ugonjwa wowote ule... ( Alhamdulillah)
Kama kumbukumbu zangu zilivyo kwenye diary yangu mara ya mwisho mimi kuumwa...
Habali wakuu natumai ni wazima wa afya huu Uzi unawausu kwa wanaosomea na waliosomea mambo ya afya (certificate ,diploma ,bachelor , masters. N.k ) tupeane dondoo kidogo...
1. Ni kitu Gani kimekuvutia kusomea Icho ulichosomea kwenye afya?
2. Je unawaambia nin Au unawashauli nin vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.