Search results

  1. Soyuncu

    Najua kuna watakaonicheka kuwa mimi ni mzembe lakini muda mwingine inahitajika kupumzika

    Kutoka kwa demu wake kwnda kwake kwa mwendo wa boda ni dkk 30 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  2. Soyuncu

    Nimekutana na ex wangu akiwa kachoka

    Si judge sana uwezo wako wa kugegeda na amin uko vizuli. Ila kilichokufelisha APA!.. kwa huyu mchepuko ni TIME.. yes muda pesa Sio kila kitu!.. Mchepuko alihitaj muda pia wa kua na ww!. Huenda alikukubal Mno ila kuna kipind anaitaj kua na ww time ambayo ww upo kwa mkeo!.. #time [emoji799]
  3. Soyuncu

    Nawezaje kuwa Kijana Mwenye Mvuto?

    Anza na izo kg 80 kwanza alafu tutaendelea baadae
  4. Soyuncu

    Wazee wa kunukia sogeeni hapa kidogo tupate update

    Hi kitu smell yake niaje wakuu!.. Na bei pia inacheza ngap
  5. Soyuncu

    Wale wapenzi wa Perfume/Body Spray, tukutane hapa

    Ebhana hii manukato!! Iko vizul nataka nichukue Wakuu bei yake imekaaje
  6. Soyuncu

    Ufafanuzi juu ya Laboratory Assistant

    Laboratory ni inshu pana sana hii unayoongelea ww ni maabara ya AFYA haitolew VETA labda anaulizia za viwandani
  7. Soyuncu

    Nimepata vipele kwenye ulimi baada ya kuzama chumvini kwa mke wangu

    Siku nyingne ukimaliza kwnda chumvin tafuta JIVU lamba.
  8. Soyuncu

    Nimeamini, Wanawake wa Kipemba wanajua Mapenzi kuliko Wanawake wa Tanga

    Naamin ukipta demu mmakonde utabadili mtazamo wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Soyuncu

    Kuwa na six pack sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni, mapenzi ni sayansi

    Eeeh sio poa njaa inakamata mno.. Sometimes nikiwa na game lodge naingia na misos yangu + chupa la maji!.. Maana hamu ya kuendelea unayo Ila njaa inaleta shida
  10. Soyuncu

    Kuwa na six pack sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni, mapenzi ni sayansi

    Binafsi nafanya mazoez ili niwe na muonekano mzuli nivae nguo ninayoitaka sio niliyoikuta na kulinda afya.. Hayo mambo ya kufikishana kileleni unayajua ww though nina pumzi mno kwny mambo yale.. Kinachonisumbuaga ni njaa tu ila sio kuchoka..
  11. Soyuncu

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji3][emoji3] mm nasemaga sijui kama nitakuja KUOA
  12. Soyuncu

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ndio mana naenda nae kimachale sana.. Simshobokei kabisa mpka aanze yeye
  13. Soyuncu

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] usikute ka type text ki wiz wiz mzee asije kumbamba
  14. Soyuncu

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wake za watu wanaongoza kwa kuhonga!.. Mpelekee moto mkeo narudia tena muandae fresh ( 15-20 min) then mpelekee moto[emoji91][emoji91] mkeo.. La sivyo mnakuja kutupa shida sis ma bachelor..acha watuhonge tu.. Ondoa KITAMBI na minyamaa UZEMBE uokoe ndoa yako... Over man down..
  15. Soyuncu

    Je, kuna SOBER HOUSE kwa wavutaji wa SIGARA?

    Poleni na majukumu ya hapa na pale naomba niende moja kwa moja kwenye mada!.. Baba yangu ni mtumiaji mkubwa mno wa SIGARA. kwa Siku anamaliza ata pakiti 2.. Ni mraibu kweli kweli na SIGARA. Kiasi kwamba huwa anasema kama asipovuta Basi hata 2+2 hajui jibu nini. Shida inayokuja afya yake...
  16. Soyuncu

    Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

    Ukioa single mother ni sawa umeoa mke wa mtu kuna demu flan iv ana watoto wa 3 na kila mtoto na baba yake.. Sasa ukioa single mother kama huyu si umeoa mke wa watu... [emoji23][emoji23][emoji23] Mbusus wataila tu
  17. Soyuncu

    Wapenzi wa push-ups & squats

    Punguza uongo kidgo
Back
Top Bottom