Search results

  1. I

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Kwa kutumia taarifa za hapo juu tofauti inakadiriwa kuwa kama ifuatavyo:- JIMBO Magufuli (CCM): Lowassa (CHADEMA): imbo la Makunduchi: 8,406 1,769 Jimbo la Paje: 6,035 1,899 Jimbo la...
  2. I

    Heslb yatoa siku 21 tu....

    Heslb hawapo makini, hawawajui wadaiwa wao, badala yake, wamechukua majina ya wanafunzi karibu yote ya wale waliosoma katika vyuo mbalimbali kwa miaka husika na kuwaweka katika matangazo; huenda labda ndiyo wanawatafuta wadeni wao, mimi nimemaliza deni langu tangu September 2010. lakini cha...
  3. I

    Msaada kuhusu masuala ya kodi

    Pole kwa yaliyokutokea, lakini usijali, Kisheria si kosa, isipokuwa unatakiwa kuwaandikia TRA (Regional office yako ukiwajulisha kwamba katika 'cheque' namba fulani kulifanyika makosa ya kutotofautisha kati ya VAT na Provissional Tax, bila kuwapa taarifa 'Tax Account' yako na TRA itaonyesha kodi...
  4. I

    Umeme umekatika nchi nzima?

    Inawezekana ulikatika nchi nzima. Temeke yote confirmed haikuwa na umeme usiku huo.
  5. I

    Millya: Nape ni vuvuzela na saratani ndani ya CCM

    Let us wait and see the outcome of these two CCM KADA.
  6. I

    Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

    Tuko Pamoja, tunasubiri stori nzima.
  7. I

    Nimekuja tuelimishane na kujuzana.

    Hi JF, Greetings to you all; Hooodi! Naomba kukaribishwa.
  8. I

    Je kweli nimerogwa? Uko uchawi? Naomba msaada. Dada yenu kutoka ujerumani

    Pole sana Dada; Uchawi kweli upo lakini ukiuweka sana katika akili yako kwamba umerogwa unaathirika kisaikolojia. Jaribu kufanya vipimo vya kimaabara kwanza kabla ya kutafuta mwalimu kama unavyodai;Kama daktari (Doctor of Medicine) atakuambia yeye haoni ugonjwa hapo yawezekana kuwa kuna urogi...
Back
Top Bottom