Search results

  1. S

    DOKEZO Rais Samia na Serikali fuatilieni udhalilishaji wa Kingono unaofanyika kambi ya JKT Makutupora

    Wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya JKT ulituambia kuwa jeshi hilo ni muhimu katika kukuza vijana kuwa wazalendo na kuipenda nchi yao. Kauli hiyo inatofautiana na kile kinachoendelea kambi ya JKT Makutupora maana kuna afande mmoja amefikia pabaya kwa tabia yake ya kudhalilisha watoto wa kike...
  2. S

    Kashfa kubwa CCM Kilimanjaro

    Kashfa kubwa yaikumba CCM Kilimanjaro Uongozi wa chama cha mapinduzi ccm mkoa wa Kilimanjaro umeingia katika kashfa kubwa baada ya kusemekana ya kuwa imefungua akaunti ya siri isiyo rasmi ambayo inatumika kukusanyia michango ambayo inadaiwa kuingia mifukoni mwa baadhi ya viongozi wa chama...
  3. S

    Kuhusu scanner ya KIA

    Jana kwenye gazeti la gardian septemba 19, 2019, nilisoma habari za kusikitisha na za kupotosha ambazo zinaweza kuathiri si utalii tu bali na hata usalama wa nchi yetu. Habari hizi zilihusu kutokuwepo kwa huduma ya skana, ambacho ni chombo muhimu kwa uwanja wa ndege wowote duniani. Habari hizi...
  4. S

    Sababu ya Gazeti la Jambo leo kuingia vitani na RC Makonda ni Manji kutajwa kwenye dawa za kulevya

    MBUMBUMBU NI WEWE; UKITAKA KUJUA SERIKALI SI MCHEZO, ONA SAFU MPYA YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA....MKUU WA UHAMIAJI KATOKA CHUO CHA UHAMIAJI MOSHI; MKUU WA KUPAMBANA NA MADAWA HAYO AMETOKA MOSHI ALIKUWA RSO KILIMANJARO NA DCI MPYA AMETOKEA KILIMANJARO ALIKOKUWA RPC NA MAKONDA AMETOKEA MOSHI...
  5. S

    Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

    ZITTO NI BORA UNYAMAZE MAANA KUNA TAARIFA KUTOKA SHULE ULIYOMALIZA ELIMU YA SEKONDARI INAYOONYESHA YA KUWA ULIFOJI KUINGIA ILI UMALIZIE KIDATO CHA NNE BAADA YA KUFUKUZWA HUKO KIGOMA KWA KUMPIGA MWALIMU, SIKU SIYO NYINGI HABARI HIYO ITARUKA HEWANI KUPITIA MOJA YA MAGAZETI SIRIASI...KUMBE...
  6. S

    Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    PIA MKUMBUKE YA KUWA MBOWE ALIWAHI KUKIMBIA MTEGO WALIWEKEWA MOMBASA WAKATI AKIFUATA MZIGO KIASI HA MAGAZETI KUANDIKA UKURASA WA MBELE MBOWE AWATELEKEZA DEREVA NA GARI MOMBASA NA KUKIMBILIA NAIROBI, ALIPOPATA TAARIFA YA MTEGO HUO ALIPANDA NDEGE AKAKIMBILIA NAIROBI, IKUMBUKWE NA NDIYO WAKATI HUO...
  7. S

  8. S

    Sababu ya Gazeti la Jambo leo kuingia vitani na RC Makonda ni Manji kutajwa kwenye dawa za kulevya

    JAMBOLEO KUMTETEA MANJI NI UJINGA, MAANA MANJI ANAJULIKANA NDANI NA NJE YA TANZANIA YA KUWA MBALI NA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA PIA NAHUSIKA NA MTANDAO HUO. HII NI TAARIFA KUTOKA NAIROBI, KENYA KUHUSU MANJI NA HAPA MTAJUA KWANINI MAKONDA NA MANJI HAWATAIVA: KAMA MAKONDA ALIVYOSEMA WAKATI...
  9. S

    Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    SASA NDIYO CHADEMA INAKUFA RASMI, YAANI UOZO WOTE HUO WANAUCHUKUA? KWELI MBOWE UNAKIUWA CHAMA HATA BEN SAANANE ALIPOKUAMBIA UKWELI HATA LEO HATUJUI UKO WAPI.....NAMNUKUU SAANANE ALIVYOKUAMBIA BILA UOGA...."MWENYEKITI UNEFIKIA MWISHO, KAMA NI MPIRA UMEVUTIKA MWISHO, HAUVUTIKI TENA", MWISHO WA...
  10. S

  11. S

    Wanahabri kilimanjaro na kashfa za viongozi wao

    KA SHFA ZAIDI VIONGOZI WA MECKI Viongozi wa chama cha waandishi wa habari Mkoa wa Kilimanjaro wameingia kwenye kashfa mpya baada ya kupokea rushwa na kuzuia kuchapishwa kwa habari ambayo mwandishi mwenzao alipigwa na kujeruhiwa vibaya na askari wajeshi la polisi. Habari...
  12. S

    Wanahabari mkoa wa Kilimanjaro

    klabu ya waandishi wa habari kilimanjaro ilifanya mkutano wake mkuu tarehe 28.12.13 na kama kawaida wa viongozi wake ambao wamekidhiri kwa ubadhirifu na ufisadi uliendeshwa kibabe huku wanachama wakikosa haki zao za msingi kwanza kabisa mkutano huo ulichelewa kuanza kwa makusudi kabisa...
  13. S

    Wanahabari kilimanjaro: Yaliyojiri mkutano feki

    Baada ya mkutano feki wa mecki, wakati wanachama wengine wakiendelea na chakula, viongozi wa mecki waliokuwepo walikuwa na kikao cha dharura na kupitisha maamuzi yafuatayo; 1. Charles ndagula anaedaiwa kamera zaidi ya miaka miwili sasa afuatiliwe kwa nguvu zote airudishena fidia ya shilingi...
  14. S

    Wanahabari Kilimanjaro: Viongozi wa MECKI vichwa ngumu na mafisadi wakubwa

    kwa hili viongozi hawa ni lazima wajiuzulu ili kuepusha mengine mabaya zaidi viongozi wa chama cha waandishi wa habari kilimanjaro mecki wameingia kwenye kashfa nyingine kwa kuivunja katiba mpya ya klabu hiyo muda mfupi baada ya kuipitisha. baada ya kazi nzuri ya kuitengeneza katibahiyo...
  15. S

  16. S

    Wanahabari kilimanjaro nakajumo mnafiki!

    habari kuhusu wafanyakazi wa tbc mkoani kilimanjaro ni majungu tupu ambayo yametengenezwa na katibu msaidizi wa klabu ya wanahabari mkoa wa kilimanjaro nakajumo james kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe na moja wapo ni pale kija wa tbc mmoja wa waumini wa haki miongoni mwa wanahabari mkoa wa...
  17. S

    Mgogoro wanahabari kilimanjaro

    nimeonelea baada ya kimya kirefu niseme yaliyomoyoni. Pamoja na juhudi tunazofanywa sisi viongozi kuleta amani ndani ya wanahabari kilimanjaro kuna wengine ambao hawapendi maendeleo hayo hivyo nimeamua kuwaweka bayana ili kijulikane cha kufanyika. Wanaoleta vurugu meki ni daniel mjema, ekton...
  18. S

    Kuelekea baraza jipya "EVERYBODY MARK THESE WORDS"

    BREAKING NEWS! labda hawa nao wanahitaji tume. viongozi wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa kilimanajro mecki wameingia kwenye kashfa nyingine nzito safari hii ikiwa ni ya ufisadi kwa kutumia fedha kwa udanganyifu. Ufisadi huu wameufanya siku kadhaa zilizopita wakati wa semina ya...
  19. S

    Ufisadi mwingine wanahabari kilimanjaro

    viongozi wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa kilimanajro mecki wameingia kwenye kashfa nyingine nzito safari hii ikiwa ni ya ufisadi kwa kutumia fedha kwa udanganyifu. Ufisadi huu wameufanya siku kadhaa zilizopita wakati wa semina ya waandishi wa habari iliyo fanyika moshi na kuandaliwa na...
  20. S

    Diwani mwingine (CCM Mwanza) ahamia CHADEMA

    ulitaka niongozwe na serikali ya chama ambacho, kiongozi wake amefungua danguro, ameuza dawa za kulevya na katibu wake ameasi dini? kuliko hayo, tutaingia porini na tutaanza na wao maana watu wa kuondoka nao wako tayari, msione kobe ameinamisha kichwa.
Back
Top Bottom