Search results

  1. Mariki boy

    Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

    Picha linaanza nimemaliza kidato Cha sita ivyo nasubilia majibu sasa nilikuwa na uhitaji wa smart phone [emoji1787][emoji1787] basi ikabidii niingie mtaani kupiga kazi yoyote ile maana Mama alikuwa ana wazo la kuninunulia smart phone mpaka matokeo yatoke so nikaona apa nitachelewa...
  2. Mariki boy

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Ah ah Yan Leo yamenikuta kama ivyo
  3. Mariki boy

    Wizi mpya waibuka

    Upo sahihi kabisa Mkuu Yani niliwai ingia kupatana.com nilikutana na hawa jamaa Yani laptop zao ni 420000 tuu sasa ukiomba wakutumie kwanjia ya gari wanakuwa na trick Moja ya kusema sasa si Bora uje apa ofisin kwetu sasa ili uje kuakiki mzigo wako sasa ukijichanganya tuu kuwaamini Yan apo...
  4. Mariki boy

    Siku Fid Q akiimba ngoma kali kuizidi Professional naomba mnishtue

    Nimekaa apo kwenye uzi wa kula tunda kimasihara Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  5. Mariki boy

    Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Pamoja Mkuu Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  6. Mariki boy

    Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Ah ah Mambo mengi muda mchache Mkuu Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  7. Mariki boy

    Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Ah ah Mambo yapo poa kabisa Mkuu Nikipata muda nitaleta mrejesho maana saiv Wana miezi mitatu so mafanikio yapo kwa asilimia 85% Mkuu Tuombe uzima nitaleta uzima Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  8. Mariki boy

    Nime-apply chuo NACTE nahitaji kujua tulio apply ni wa ngapi?

    Hadi saiv wanafunzi walio chagua iyo course ni 32 ambao wameomba kama chaguo la kwanza Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  9. Mariki boy

    Siku Fid Q akiimba ngoma kali kuizidi Professional naomba mnishtue

    Akikupiga ngumi ya sikio ww mpige ya jicho, akikwambia unajisikiaje ww mwambie unaonaje [emoji91][emoji91][emoji91] Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  10. Mariki boy

    Mke kamkimbia jamaa yangu

    Oooh Mkuu mwambie akifika Singida ni mpokee maana Mimi pia ni Shem wake anakuja kwa gari gani ?
  11. Mariki boy

    Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Poa poa Mkuu soon nitafanya ivyo
  12. Mariki boy

    Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    Nipo Singida mwaka wa tatu huu lkn sijaona iyo sura nzuri unayo isema Mkuu labda unipe chimbo niende nikaone izo sura nzuri Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  13. Mariki boy

    Hivi uki retake, boom unaendelea kupata?

    Ndio unapata lakini mwaka wa mwisho uwezi kupewa maana budget ya Boom yako ni miaka mitatu tuu ivyo huo mwaka wa nne utajijua mwenyewe Mkuu
  14. Mariki boy

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  15. Mariki boy

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Ah ah kwa kichwa gani ulicho nacho uondeke na 50 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  16. Mariki boy

    Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Mkuu iyo kitu usije kujalibu maana hao vifaranga watakuwa wazaifu sana bora jogoo awe wakisasa then tetea awe wa kienyeji lkn tofauti na apo uwezi pata kifaranga kitakacho kua
  17. Mariki boy

    Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Mrejesho 2 Siku ya Nane niliwapa maji yenye mchanganyiko na vitamins kwa siku nzima Then siku ya Tisa hadi ya Kumi na mbili niliwapo Amprolium 20% kwa ajili ya Coccidiosis maana huwa wanakula kinyesi chao ivyo nilazima niwepe dawa ili kuepusha vifo Siku ya Kumi na tatu niliwapa maji bila...
  18. Mariki boy

    Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Ni kweli kuchi wapo lkn ukuwaji wake sio mzuri kama wa sasso pia kwa sasa kuku aina ya Sasso wanapendwa sana sokoni kutokana na uzito wake Kuhusu gharama sijajua kwa upande wa kuchi Mkuu lkn kwa Sasso nitakupa kila nitakavyo kuwa naleta mrejesho Malengo ya kufuga Sasso ni kwa ajili ya Mayai...
  19. Mariki boy

    Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Mkoa wa Singida Wilaya ya Singida vijijin Kijiji Cha Ilongero Mtaa wa Ilongero
Back
Top Bottom