Search results

  1. mamamzungu

    Kuna uwezekano wa kuupata

    Kuna mtu alituma mzigo mkoa X wenye thamani ya 3.5 kwenye basi na yeye alikuwa mkoa X bahati mbaya akafariki na hakuna mtu anaejua gari gani alisafirishia huo mzigo vipi kuna uwezekano wa kuupata huo mzigo tena Namaanisha tukaenda ofisini kuutafuta tukaulizia magari yanayoenda mkoa huo na...
  2. mamamzungu

    Nipeni faraja, nimefiwa na mume wangu mtarajiwa

    Najisikia vibaya sana aliekuwa mchumba wangu amepata ajari mbaya sana na kwa bahatii mbaya amefariki. Ajali ya pikipiki yeye pamoja na mdogo wake, mdogo ake hajitambuii [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  3. mamamzungu

    Wanaume wenye msemo huu wengi wao wameumizwa sana, poleni

    Wanawake wazuri malaya, wanawake wote wanatoa nje, wanawake wana wanaume zaidi ya mmoja. Msichokijua ni kuwa kila mtu ameumbwa kwa namna yake Kama huyo wako alikucheat usijumlishe na wengine. Mnawakatisha wanaume wenzenu wasiwachukulie seriously wapenzi wao kwasababu yenu. Nakupa siri moja...
  4. mamamzungu

    Ukitoa posa unatakiwa kukaa muda gani ndio utoe mahari?

    Nipeni range ya kutoa posa na mahali huwa vinachukua muda gani wapendwa.[emoji23][emoji23][emoji23] Yaani ukitoa posa unakaa muda gani ndio utoe na mahari?
  5. mamamzungu

    Ukitaka kumchunguza mwanaume

    [emoji13]
  6. mamamzungu

    Nimeamini wanaume ni wabinafsi

    Mimi
  7. mamamzungu

    Nahitaji series ya KARA SEVDA

    Kuna hiyo series ya kituruki ninahiitaji mno…. Nimeitafuta bila mafanikio sijapata access ya kui download Sitaki kuiangalia YouTube Mwenye nayo yote naombaa ama nielekeze nitaipata vipi Na wale wenye kujua apps za ku download series za kituruki tuambiane
  8. mamamzungu

    Hivi siku hizi Hakuna mwanaume asie na mtoto (singer father)

    Wapendwa, nauliza tu sio kwa ubaya kwani siku hizi wanaume wote mna watoto Yaani tangu nianze mahusiano seriously namaanisha ya Kiutu uzima natongozwa na wanaume wenye watoto Nina ex wawili ambao wote wana watoto tena wawili wawili. Unakuta kijana ana miaka27 tayari ashazalisha mabinti wawili…...
  9. mamamzungu

    Swali la wanawake wanatoa nini kwenye mahusiano zaidi ya ngono ni la kipuuzi

    Hivi mtu mpaka anauliza hili swali huwa anawaza kitu gani haswa?? Yaani umekaa ukafikiria ukaja kuuliza swali ambalo majibu yake unayo Mwanamke ana mengi ya kutoa kuliko hata wewe mwanaume… kwanza waulizaji wengi humu ni single( hawajaoa).. waliooa wanajua nini wanapata kwa wake zao zaidi ya...
  10. mamamzungu

    Mahusiano sio rahisi hivyo

    Kusema ule ukweli kuachana na mtu ni kazi sana maana itakuchukua muda kumpata mwingine ambae atakupa Furaha na amani Mwaka 2021 niliachwa muacho safi kabisa yule jamaa aliniandikia sms moja tu “ Ukikua utajua namna ya kuzungumza na mwanaume sasa hivi utoto unakusumbua” Ni katika mahusiano...
  11. mamamzungu

    Nifanye nini Kaka yangu hamtaki mchumba wangu

    Anasema ikitokea tumeoana hatutoboi miaka 5…. Namnukuu “ Mkitoboa miaka 5 niko pale uniite mbwa” Ni kaka yangu mtoto wa mama yangu mdogo alielelewa nyumbani kwetu… yeye tayari ana familia yake mke na watoto yuko under 30 .. Ni kaka ambaye tumekuwa tukishirikishana mambo ya mahusiano yetu mpk...
  12. mamamzungu

    Kaka yangu hamtaki mchumba wangu. Nifanye nini?

    Anasema ikitokea tumeoana hatutoboi miaka 5. Namnukuu “ Mkitoboa miaka 5 niko pale uniite mbwa” Ni kaka yangu mtoto wa mama yangu mdogo alielelewa nyumbani kwetu… yeye tayari ana familia yake mke na watoto yuko under 30 .. Ni kaka ambaye tumekuwa tukishirikishana mambo ya mahusiano yetu mpk...
  13. mamamzungu

    Nifanye nini Kaka yangu hamtaki mchumba wangu

    Anasema ikitokea tumeoana hatutoboi miaka 5…. Namnukuu “ Mkitoboa miaka 5 niko pale uniite mbwa” Ni kaka yangu mtoto wa mama yangu mdogo alielelewa nyumbani kwetu… yeye tayari ana familia yake mke na watoto yuko under 30 .. Ni kaka ambaye tumekuwa tukishirikishana mambo ya mahusiano yetu mpk...
  14. mamamzungu

    Kukosa hedhi mwezi mmoja

    Msaada ni mwezi sasa na wiki kadhaa sioni siku zangu… nimeshapima mara kadhaa Hakuna mimba… Itakuwa ni nini wakuu
  15. mamamzungu

    Hakuna mahusiano ya kirafiki ya mwanamke na mwanaume

    Mpaka hapa nilipofikia nimeamua niwape maua wanaume wote duniani Yaani kila unapogusa pawe pa urafiki wenzangu wanataka utamu tu… Halafu nilichogundua ni kuwa hizi charting charting na kwa WhatsApp zinatengeneza kakitu fulani kwa wanaume wanajuaga ni kama mwanamke anamtaka Kuna wengine...
  16. mamamzungu

    Wanaume wa siku hizi hamjiamini

    Sijakosea ndio nilichomaanishaa Wanaume wa nyakati hizi hamjiamini muda wote munawaza usaliti usaliti usaliti usaliti Kila nyuzi humu ni kuhusu usaliti Hivi inakuaje unamuwazia mwenzio kukusaliti… Nyuzi za kuchapiwa tu za kuhisi mara ooh mliooa wanawake wafanyakazi wanaliwa na maboss...
Back
Top Bottom