Search results

  1. M

    Asha Migiro hatulii NY?

    Haya bwana
  2. M

    Kikwete alitumia vigezo gani kwenda UoD na Rais Museveni,Mwinyi na EDWARD LOWASSA?

    Those are friends EL alishasema na hawajakutana barabarani. Sio tatizo kwake kuwaza kuwa mtu wa kuambatana nae ni EL
  3. M

    Asha Migiro hatulii NY?

    Hilo la dini ndo kubwa zaidi hana la maana la kuwa rais kwakuwa agenda yao ya udini hapo ndo turufu yao. Nashukuru sana mkuu kwakuliona hilo na nadhani kunahitajika kazi yakufanya kulidhibiti hilo la udini kwani hadi sasa nchi imeshaoza. Imefika mahala watu wanadai uhuru walileta wao sio...
  4. M

    Makumira university:heslb[bodi ya mikopo]mmetufanyia usanii

    Bodi hawazidi usanii wa elimu yenu, bora peas inachelewa mnapewa je elimu mtakayoenda wapa wadogo na watoto wetu kwa elimu ya kisanii itakuwaje?
  5. M

    Top ten University Tanzania, ed research 2010, caufman

    Hata hiyo SAUT napata shaka kuwa hapo. Labda cha kwanza vile vya private lakini jinsi ilivyo hata kuiandika nahisi researchers waliamua kuridhisha umma. Hapo hakuna kitu na hata vingine vingi tu vya private ni ngonjera tu na tcu wapo wanawaangalia tu
  6. M

    Polisi, wananchi wajeruhiwa kwenye mgogoro wa ardhi Dodoma

    Wawape nyumba zingine walidanganywa wakati wa uchaguzi wakakubali. Wagogo hilo ni darasa maana tshirt, kofia, chumvi na pombe za kienyeji mlidhani ndio maisha. Poleni lakini na inasikitisha sana
  7. M

    Ukweli kuhusu PHD aliyopewa kikwete!

    Kwani ujenzi wa chuo kikuu cha dodoma ni kwa manufaa ya tz wote au kwa kundi la imani yake? Shule za kata wananchi wameuza hadi vigoda vyao waweze kuzijenga. Kama kuna uhuru wa habari mbona watu hupiga simu ktk vyombo mbalimbali kuchangia mada akishaanza kuponda tu serikali simu yake hukatika...
  8. M

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    kaacha misikiti yake ambayo watz wanmkumbuka. Sielewi na sijaelewa, kiongozi mmoja anadiriki kusema eti watz watamkumbuka sana kwa mema. Hivi watz wote wanasali kwenye huo msikiti wa gadhafi ulioko dodoma? Viongozi oneni aibu na mwogopeni mungu kuona kila mtanzania kuwa ananufaika na msikiti...
  9. M

    Mishahara ya madaraja mapya inatakiwa ilipwe baada ya muda gani?

    Watu wanhangaika kusoma wanaajiriwa, wanasaini mkataba unaoonesha uwepo wa kupanda madaraja na malipo yake stahili. Hapa hakuna wito vinginevyo wanasiasa kwakuwa wameajiriwa na wananchi wangekuwa wa kwanza kufanya kazi bila malipo. Kwa hili mawaziri mnaohusika chueni hatua za dhati japo...
  10. M

    Polisi, wananchi wajeruhiwa kwenye mgogoro wa ardhi Dodoma

    Wakati wa uchaguzi walielezwa kupitia kampeni ya nyumba kwa nyumba kuwa wakichagua CDM, CCM itaondoka na pesa zake na kwakuwa wapinzani hawana hela mtakufa (wagogo) na njaa. Sasa nyumba zote chini na huyo jamaa alienunua eneo hilo kaja Dodoma miaka ya tisini nakukuta eneo likiwa likaliwa na...
  11. M

    Mishahara ya madaraja mapya inatakiwa ilipwe baada ya muda gani?

    Hii issue ni serious sana. Mawaziri kawambwa, Mkulo na Ghasia naomba muelewe hawa watu wamekuwa wakitoa lectures na seminars karibu mwaka sasa tangu wawe promoted na hawalipwi mshahara huo ina maanisha wanafanya kazi kwa kukopwa, je na nyie mnafanya kazi kwa mkopo? Na vipi nyaraka zenu...
  12. M

    Mishahara ya madaraja mapya inatakiwa ilipwe baada ya muda gani?

    Mh kawambwa, Waziri Ghasia na mkulo wizara zenu zinatuhumiwa kwakuchelewesha ama kutojali kuwalipa walimu wa chuo kikuu kilichokikubwa kuliko vyote huko dodoma. walimu hao walishapandishwa muda mrefu sana lakini mwajiri wao anadai alishawapa taarifa yakustahili walipwe pesa zao lakini mnadaiwa...
  13. M

    Jakaya Kikwete kuwa mwangalifu na marafiki zako

    Yaonekana hatuelewani na ama mnafanya makusudi kwa wale mnaomfagilia rais na mafisadi wake. Napata shaka pia wengi wetu tshirt, kofia, vitenge, chumvi na ama mlinufaika na mwigulu nchemba kuendesha kampeni za chumba kwa chumba na shuka kwa shuka. Kwa mwenye kuelewa bado unaweza kumshabikia...
  14. M

    Jakaya Kikwete kuwa mwangalifu na marafiki zako

    Yaonekana hatuelewani mnaomfagilia rais na mafisadi wake. Napata shaka pia wengi wetu tshirt, kofia, vitenge, chumvi na ama mlinufaika na mwigulu nchemba kuendesha kampeni za chumba kwa chumba na shuka kwa shuka. Kwa mwenye kuelewa bado unaweza kumshabikia rais wetu huyu akaae magogoni kunywa...
  15. M

    Zambia envoy to TZ loses job in Sata purge

    Kaona wachina wanaleta uchumi gani unaoona anatakiwa awe makini? Yawezekana wewe ni kondakta ama unafanya kazi mahala palipo na vifaa vya kichina ndo maana unawatetea. Hata hapa kwetu wanatakiwa waondolewe tena ghafla
  16. M

    Jakaya Kikwete kuwa mwangalifu na marafiki zako

    Napata shaka pia kama uliyoyasema hayafahamu. Huyu haambiliki watu wamesema sana anaenda jukwani kuwaombea kura na kuwasifia atachukua hatua gani unadhani? Pili mwenzake alikuwa anaongea na waandishi wa habari kakatisha maongezi hayo nakudaiwa kaitwa ikulu, unavyodhani kaitwa na nani huko kama...
  17. M

    Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

    Nimekubali msemo wake kuwa yeye na rais hawakukutana barabarani. Kwa hiyo urafiki mbele au kwanza watanzania na matatizo yao shauri yao pili kumbe ikulu kunaendeka tu? na kweli hawa wawili wananufaika na matatizo yetu
  18. M

    JF imempeleka Kawambwa UDOM?

    kUNA KITU KUPITIA YANAYOTOKEA HAPO UNANUFAIKA NAYO
  19. M

    JF imempeleka Kawambwa UDOM?

    Nilitaraji ungeshauri practice za watawala waache hii tabia yakutukuza dini zao na kuwaona wengine kama si kitu. washauri hao wanaotenda haya waache sie ni watanzania hakuna dini iliyojuu ya nyingine na hii mizengwe ya ajira kwa kutumia majina waiache hata kama wanatumwa wajulize manufaa yake ni...
  20. M

    JF imempeleka Kawambwa UDOM?

    Jana ama juzi kulikuwa na mjadala hapa jf kuhusu yanayojiri UDOM wakati huu ama ambayo yalishatokea. Nikiwa mjini Dodoma kawambwa (waziri wa Elimu) alipita nakuelekea UDOM mchana wa saa nane nakukutana na uongozi. Nikajiuliza sana juu ya kilichomleta wakati huu ni kipi? 1. Je ni huu...
Back
Top Bottom