Search results

  1. Dallas green

    Waziri wa TAMISEMI, kwanini mmeajiri Watoto wetu na mnawalazimisha waripoti bila kuwalipa chochote?

    Waziri wa TAMISEMI muwe serious hii ni nchi sasa mnalowalazmisha watoto waripoti bila kuwalipa mnakuwa mnategmea nini? Sisi wazazi, mahindi mmesema tusiuze nje tunauza kwa hasara tujikimu sasa tena na Watoto mmewaajiri mikoa ya mbali huku mkifosi wafike na hamjawapa nauli pesa ya kuishi wala...
  2. Dallas green

    Kwa wenye uelewa zaidi na mambo ya NSSF naomba msaada

    Wakuu, nilirequest mtonyo wangu uko NSSF ten days ago ambapo nilisubmit all recquirments. Jana nimeangalia kwa account nimeandikiwa paid lakin nikaenda bank sijaona mtonyo, kwakua leo ni jumapili nmefail kuwafata ofisini hivyo naomba mwenye uelewa na haya mambo anieleweshe nini tatizo hapo...
Back
Top Bottom