Search results

  1. black short

    Natafuta bodi laToyota Hiace

    Uzi mfupi tu. Natafuta bodi la gari aina ya Toyota haisi superoof (dungu). Likiwa halina gearbox, injini wala diffu itapendeza zaidi. Kikubwa liwe halijakatika chasis/chasesi (vyovyote vile). Likiwa maeneo ya mwanza, shinyanga, kahama, nzega itakuwa vyema zaidi. Mbarikiwe! NB: muonekanokama hii...
  2. black short

    1rz vs 2rz petrol engine

    Habarini? Naomba kuuliza utofauti wa aina hizo mbili za injini linapokuja suala la uvumilivu, spea, matumizi ya mafuta, speed na gharama zake (bei) ya kununua complete used lakini inayo jielewa. Na kipi bora kuifungia mfumo wa carburetor au injection. Wataalamu na mafundi msaada wenu kwa hili...
  3. black short

    INAUZWA Vitu Vya Ndani Used

    Vitu Used (ila kwa hali nzuri karibia na upya) vinauzwa!!!!! Mahali: Shinyanga Mjini Sababu ya kuuza: Nahama Mkoa 1/Dressing table (inahitaji kioo, rangi na vitasa)-mbao 2/Pasi ya umeme (Phillips). 3/Meza ya Tv - mchina ngazi 3 4/Shoes rack (stendi ya viatu pea 12)-mbao 5/Trey la kuwekea vyombo...
Back
Top Bottom