Search results

  1. Niite Profesa

    Natafuta kazi (operator wa loader na excavator)

    Nakushauri tembelea sites au camp za kampuni zilizoshika tenda za ujenzi wa barabara, hauwezi kosa kazi. Kuna baadhi ya kampuni huwa wanatafuta sana ma OP.
  2. Niite Profesa

    Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

    Kuna kampuni inaitwa inaitwa SPECIALIZED ina ma lorry zaidi ya 1,000 yanabeba makaa ya mawe kutoka Mkoa wa Ruvuma... . Naskia kashusha kashusha Gari nyingine 500 bandarini... . Watu wana pesa aisee.
  3. Niite Profesa

    Naomba Msaada wa Mbinu za kupata wateja online ukiachana na kupost facebook

    Tumia What'sApp groups na What'sApp Status utakuja nishukuru... . Hapa unatakiwa uwe na contacts nyingi What'sApp usave...Unazipata vp hizi contacts?... . Unazipata Facebook, Instagram na kwenye What'sApp groups... . Kikubwa jifunze Copywriting tu.
  4. Niite Profesa

    Wanasiasa 10 wenye hekima zaidi Tanzania hadi kufikia 2023

    [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
  5. Niite Profesa

    Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga. Taa ziliwaka ikaendelea

    LUKU iliisha tumeshanunua UMEME wa Aftatu ili tumalize Mechi [emoji23]
  6. Niite Profesa

    Dawa ipi nzuri kwa tatizo la mafua makali kwa vifaranga?

    Mimi huwa natumia Tylodox na huwa inatibu kabisa mafua hata yawe makali vipi... . Jaribu hiyo.
  7. Niite Profesa

    Must see Movies

    [emoji23][emoji23][emoji23] Icheki "The Night Comes for Us" ina hayo mambo boss
  8. Niite Profesa

    Anasema Dinner hawezi Kuja Labda nim...

    [emoji23][emoji23][emoji23] Umetisha sana boss
  9. Niite Profesa

    Anasema Dinner hawezi Kuja Labda nim...

    Ndio mana nikasema "NA HADITHI YANGU IMEISHIA HAPO" [emoji23]
  10. Niite Profesa

    Anasema Dinner hawezi Kuja Labda nim...

    Muda ni mchache sana boss [emoji23]
  11. Niite Profesa

    Anasema Dinner hawezi Kuja Labda nim...

    Kuna mrembo mmoja ivi bhana jana nilimualika Dinner/Chakula cha jioni na nilipika haswaa Pongezi kwa YouTube mana nilipata maujanja ya jikoni kule... . Sasa bhana muda wa Dinner namcheki akagoma Kuja nikamuuliza nini shida eti ooh naogopa macho ya watu... . Nikaona huyu ng'ombe hanijuuui(by...
  12. Niite Profesa

    Quarter ya kwanza ya mwaka imeendaje?

    [emoji23][emoji23][emoji23] Mambo sio mambo
  13. Niite Profesa

    Pambana kushinda sio kushindwa

    Moja ya vitu nilivyokataa kwenye maisha yangu ni kusubili msaada wa mtu... . Nachukia sana hasa napoona Kijana yupo yupo tu hafanyi chochote ili kuibadili hali ya maisha yake yupo tu anasubili ahadi alizoahidiwa na ndugu kuwa watamsaidia... . Ila ndo ivyo tena watu washazoea kuishi kwa misaada...
  14. Niite Profesa

    Ninapata wasiwasi wa kuoa

    [emoji23][emoji23][emoji23] Daah
  15. Niite Profesa

    Wakulima mwakani tunategemea muwe matajiri

    Hii kitaalamu inaitwa THE COMPOUND EFFECT [emoji123]
  16. Niite Profesa

    Wazo simple la kujipatia kipato

    Huku mikoani Wali unaanzia Tsh 500/=
  17. Niite Profesa

    Maisha yamekuwa magumu sana siku hizi

    Monopoly/Ukiritimba hii kitu ndio matajiri huwa wanafanya
  18. Niite Profesa

    Phone4Sale Waungwana nauza simu yangu Redim 10S ina miezi miwili tu bei 450000/=

    [emoji23][emoji23] Mtoa uzi jiongezee wateja wanataka waone picha ya hiyo simu
Back
Top Bottom