Search results

  1. KUN

    Algerian airline loses contact with plane carrying 110 passengers

    Ndege ya Algeria yapoteza mawasiliano UPDATE
  2. KUN

    Tecno m5

    Wakuu ninatumia simu aina ya Tecno M5 ila imekuwa ukisumbua kwenye battery, haikai na chaji kwa mda mrefu maximum 1.5 days! Nimejaribu kutafuta beattery kwenye maduka lakini sijafanikiwa kupata, kwayeyote anayejua wapi naweza pata battery kwa hapa Dar es Slaam naomba anielekeze. Asante sana.
  3. KUN

    Diamond trust bank (dtb)

    Wanajukwaa, hivi hawa jamaa ni vipi mbona wamekuwa kimya sana? kuna mtu yeyote aliyepigiwa simu kuitwa kuanza kazi au kufanya interview? mwenye taarifa kamili tafadhari anijuze, miezi mi3 sasa imekatika tangu tangazo lao limetoka....
  4. KUN

    Kikwete anaanza kupata wasiwasi kuwa anaweza asitimize ahadi zake za 2010

    Source: www.mwananchi.co.tz Alisema iwapo kutakuwa na ahadi zitakazoshindwa kutekelezwa kipindi cha uongozi wake, hakuna sababu ya wananchi kuilaumu Serikali kwani yapo mengine ya miaka ya nyuma ambayo alianza nayo. “Kama yale niliyoahidi sitaweza kuyatimiza yote, lakini baadhi nimeshayafanya...
  5. KUN

    Kikwete anajua Pinda hajui kilichopo uamiaji…

    Wachina wanazidikushika kasi hapa nchini, wengine wakiwa na sifa za kufanya kazi hapa nchiniwengine hawana kabisa, ninavosema hawana ni hawana uwezo sababu nimefanya naokazi. Sio wachinatu hata wageni wengine wanazidi kuingia nchini na kuteka soko la ajira na sisivijana tunakosa hizo fursa...
  6. KUN

    Miguu inanisumbua kweli

    Wana JF, habari za leo! Nimekuwa na tatizo la kusumbuliwa na miguu kwa mda wa mwezi mmoja sasa, hili tatizo huwa linanikuta hasa ninapokuwa nimekaa kwenye kiti nimetulia au nikiwa nafanya kazi maana kwa siku moja muda wangu wa kazi nakuwa nimekaa masaa 7 hadi 8! miguu huwa inauma, kuwasha...
  7. KUN

    Eric Shigongo bado anaendeleza vita ya maneno.

    Nimesoma moja ya Column kwenye gazeti la Championi la leo yenye kichwa cha habari " Chamelleone atapeli tena Norway" Nimejiuliza maswali mengi lakini nimekosa majibu ya uhakika, binafsi me ni msomaji wa magazeti ya shigongo sana sana hili la Champion. Wiki kadhaa zilizopita hili gazeti lilitoa...
Back
Top Bottom