Search results

  1. moyo wenye aman i

    Ndugu zangu hili sitalisahau kabisa

    Wanajamvi poleni na harakati za hapa na pale. Jamani nakumbuka hili tukio mpaka saivi ilikuwa 2020 ndo nimetoka kambi-jkt nipo zangu nyumbani pale bomangombe nikamuona Dada kama 23 years mambo yakawa fleshi nikampa taarifa ilikuwa jtano kuwa nitafika mjda wa chai. Basi Siku ilipofika nikaazima...
  2. moyo wenye aman i

    Natafuta kazi ya uandishi wa habari (only radio)

    Salam sana. Rejea kichwa tajwa juu. Nimekuwa mhariri wa kituo cha redio hapa kanda ya kasikazini kikubwa tu kwa mda mrefu sana ila nimechoka kukaa ndani natamani kutoka nje mwenye msaada tafadhari fanya kitu (mimi ni ke 28 years) Be blessed.
  3. moyo wenye aman i

    nataka kujua haki ya likizo ya lazima

    Wanajamvi kwema? tusichoshane. mwajiri kanipa likizo ya lazima kwa wiki mbili je malipo yanalipwa kawaida?
  4. moyo wenye aman i

    Mkurugenzi wa insite security naomba upite hapa

    Mkurugenzi wangu wa insite security tafadhari nakuomba meimosi hii fanya haya 1.usicheleweshe mushahara tena kama ilivyo kuanzia 7-12 2.Tuongezee mushahara kiwango unachotulipa ni kidogo sana kabisa na chenyewe kinakatwakatwa vipande sijui ni wasaidizi wako ndio wanaotufyeka hivi au...
  5. moyo wenye aman i

    Mzazi hata akinikosea atabaki kuwa mzazi tu

    wanajamvi pole na majukumu kwenye mada tafadhari wakati wa mizunguko yangu ya hapa na pale nimekutana na mzee age kama 88 anaonekana kuchoka sana katika maelezo ametembea km 15 mavazi yake yanatia huruma sana nimemsaidia ninapopaweza ila chakushangaza kanitajia kijana wake wa kwanza mwenye...
  6. moyo wenye aman i

    Jipime kama ulishapita huku

    Wapendwa pole na majukumu nisichoshe mtu twende kwenye mada maisha yangu hayakuwa mazuri wala mabaya ila uhakika wa mahitaji ya familia ulikuwepo nikapata mtoto amefikisha miez 6 kamukataa mama mpaka ashikwe na mim nikachukulia kawaida kila msaidizi anakataliwa nikamuchukua mdogo wangu. Natoka...
  7. moyo wenye aman i

    Plot4Sale Shamba zaidi ya hekta 3 linauzwa

    Nawasalimia wanajamvi. Pole na majukumu naomba nijielekeze kwenye mada mzee mmoja tunaefahamiana akanifuata kunitaarifu kuwa anauza shamba lake na ametafuta wanunuzi kwa mwaka sasa hafanikiwi tatizo watoto wake wanamzunguka kwa wanunuzi kwa kuwatishia kuwa baada ya kifo cha mzee wataleta...
  8. moyo wenye aman i

    Tanzania hatuna waamzi wa mchezo wa mpira?

    Wakati nasoma orodha kamili ya marefa watakaochezesha AFCON kuna marefa kutoka uganda kenya rwanda na burundi ila cha ajabu hakuna refa aliechaguliwa kutoka tanzania hii ni aibu aisee
  9. moyo wenye aman i

    Natamani kufahamu zaidi kuhusu Jaji Lugakingira

    Katika pitapita zangu nikasikia watu waliokuwa wamekaa kijiweni wakimsifia Jaji aliyekuwa anaitwa LUGAKINGIRA kuwa alikuwa akisimama kidete kwenye nafasi yake bila kufuata maagizo au kuegemea upande wowote. Naomba mwenye CV yake atuwekee hapa tafadhali
  10. moyo wenye aman i

    Naona CCM inakwenda kumeguka

    CCM wakiacha Polepole akaendelea kutamba kwa ujasiri na msimamo alionao basi hakika itameguka kipande kikubwa maana nguvu ya upinzani inamega hapa na wanamuacha Polepole anamega kule KAZI IENDELEE.
  11. moyo wenye aman i

    Tuwekane sawa

    Helloo nawasalimia wote. Twende kwenye mada hivi kupata mwenzio wa kuishi nae kwa hii dunia ili badae tukutane mahari tumepangiwa ni lazima umpate ambae hajadadavuliwa au hata kama amedadavuliwa bora tabia na umakini wake?
  12. moyo wenye aman i

    Wanajamvi sielewi hapa

    Pole na majukumu wanajamvi Mimi ni mzima wa afya tele ila namshukuru mungu kwa kunijalia vile nilivyo ila Leo nikiwa nimezama kwenye usingizi nikakumbuka Mdogo wake na baba jess ndani ya kijiji hasikiki na nimkimyaaa sasa sielewii siasa zimekuwa ngumu au kaka mzee baba na Mdogo katibu kaka...
Back
Top Bottom