Search results

  1. V

    Natafuta mpenzi

    taja sifa zako.wewe una kazi inayotambulika? au tegemezi? umesoma?
  2. V

    Ushauri jamani

    mwambie msimamo wako ulivyo kuhusu kuilea hiyo mimba na kamwe asifkirie kuitoa.akiitoa dhambi hiyo iwe juu yake na itakiwa mwisho wa mahusiano yenu.full stoop.hapo akiitoa hauhusiki.
  3. V

    Wana MMU tushirikiane kuboresha Jukwaa letu

    me wanaoniudhi ni wale wanaoanza kusalimiana kwenye thread za wenzao.mtu ametoa mada flani au jumbe ya kuomba ushauri badala ya watu kushauri eti wanaanza kusalimiana.kwani huwezi ku pm huyo mtu unaetaka kumsalimia au kumwambia ulikuwa/utakuwa wapi week end.Tena wengi utakuta ni member wa siku...
  4. V

    Akipigiwa simu haeleweki/anakua kama hapendi

    Kama si mkeo Piga chini tuu.hakuna mapenzi ya kujipendekeza.love is mutual.kila mmoja hana budi kuwajibika kwa mwenzie.Let it Go
  5. V

    Mjamzito anaruhusiwa kufanya tendo la ndoa mara ngapi kwa wiki?

    mara zozote atakazojiskia.hamna shida au tatizo lolote katika hilo
  6. V

    SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    hao jammaa hawako serious hata kidogo.mbona waislamu wanafanya mitihani siki ya ijumaa? wakristo wengine hufanya mitihani hadi jumapili kwa baadhi ya vyuo.hapo ni suala la kuwa LOGICAL tuuu
  7. V

    Kwa nini hakushika ujauzito?

    hii ni kwa sababu mzunguko kwa mwanamke is not constant.hubadilika
  8. V

    Kwa nini hakushika ujauzito?

    jaribuni kukutana siku mbili kabla ya siku ya 14 ,siki ya 14 na siku mbili baada ya siku ya 14 kutoka alipopata hedhi mara ya kwanza
  9. V

    Nimeolewa na golikipa nifanyeje?

    kwani kabla ya kuolewa naye ulikuwa hujui kuwa ni golikipa? ulitafuta.ushauri? .au kwanini hukukataa kuolewa naye.sasa.tukushauri nini.Ndo uamuzi liofanya.ulikubali kutake risk for him. Komaa naye.hatuna cha kukushauri hapo.mfungulie biashara afanye muendelee na maisha
  10. V

    Njia nzuri ya kuvunja mahusiano na mpenzi ambaye umemchoka ni ipi?

    Hiyo sababu ndo ameiona baada ya miaka 2? kwa nini muda wote huo asimpige chini mpaka miaka 2 ndo anataka kufanya huo uamuzi.Mwambie aache kuchezea maisha ya mtu.Kwanini asimshauri huyo mdada apatane na mama yake kama ameweza kuvumilia kwa miaka yote hiyo?
  11. V

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Birds of the same feathers fly together
  12. V

    Mpenzi wangu kagegedwa nampenda nifanyeje?

    Huyo mpenzi wako si mwaminifu.Kama aliweza kufanya mapenz na mwingine kisa alihitaji pesa then hata ukishamweka ndani siku hela zikipungua kwako atafanya tena.si mwaminifu na si mvumilivu.Achana naye,kama uko serious.
  13. V

    huyu mrembo nikweli nitampata?

    Hakuna Kambi ya wakimbizi ktk nchi ya senegal.Me nlishawahi kukutana na email ya aina hiyo ikanibidi nifuatilie kwenye neti kama kuna kambi ya wakimbizi Senegal sikupata. we mwambie mbona hakuna kambi ya wakimbizi ktkt nchi ya senegal hatakisumbua tena.Ni wezi tu hao
  14. V

    Hapa hutoki kama hujasoma!!!!

    Hahahahaha.hiyo ni noumaaa.kwa kweli kama hujasoma huwez kufaulu hapo.full ulinzi mpaka wajeda.duuuh.unaweza shangaa hata point zako zinayeyuka
  15. V

    Kijana wa miaka 23,kaoa bibi wa miaka 85,je ni mapenzi ya dhati au kijana kafata pesa na karatasi

    sidhani kama ni mapenzi ya dhati.Haiwezekani.Kuna kitu tu huyo kijana ametargeti kwa huyo bibi.Vijana tujishughulishe tuache kupenda mambo ya mitelemko.Tutakula kwa jasho jamani
  16. V

    Hivi kung'ang'ania siti ya mwingine ni ustaarabu?

    Basi lina konda.konda kaja jamaa anakomaa tu.Duuuuh.kuna watu wengjne wana confidence za ajabu.Hawa wanaweza hata kukusimamisha na Gari au baiskeli yako na kusema ni ya kwao
  17. V

    Hivi kung'ang'ania siti ya mwingine ni ustaarabu?

    nimepanda gari la Ngorika kwenda Moshi.nimeamua kumwachia aliyekaa kwenye siti yangu na kumtoa yule aliyekaa siti nyingine nq kuacha siti yake nyuma. Watu wanakera asubuhi tu wanataka tuanze kugombana kwa vitu vidogo tuu
  18. V

    Hivi kung'ang'ania siti ya mwingine ni ustaarabu?

    Utakuta mtu umepanda gari la mikoani,umekata tiketiya dirishani siku mbili kabla ya safari. Kuingia kwa basi unakuta siti yako amekalia mwingine,unajaribu kumwambia kistaarabu mtu anakomaa kwamba ni yake mpaka anaamua kunyamaza ili usimsumbue. Pia unakuta upande wote wa siti umejaa,unaanza...
  19. V

    Nimepata Msichana wa Kikenya ila

    we ndo muamuzi wa mwisho coz unamjua.jinsi alivyo. ila kuwa makini sana.wengi wao wapo.kiuchumi na Good life. Anaweza kukutema na kwenda kwa mtu mwenye uwezo kuliko wewe.Wanapenda sana kuangalia Uchumi wako unaendaje.nshawahi kuwa ns mmoja wao.sahivi kaolewa na mhasibu flan.Alisepa ghafla...
  20. V

    sijui nimvue pete yangu ya uchumba nisepee?

    kaa naye uongee naye.kama hatabadilika sapa fasta ukiwa bado una muda kuliko kwenda kujuta ndani ya ndoa.
Back
Top Bottom