Search results

  1. M

    Uchaguzi Zanzibar itakuwaje 2010?

    Kweli huyu bwana kajaa kejeli tupu. Anawadhalilisha madereva tax kuwa hawakusoma au vipi. Je, amesahau kuwa Marehemu baba yake aliukwaa urais wakati alikuwa "KULI TU WA BANDARINI?". Kweli Nyani haoni KUNDULE.
  2. M

    Spika aahirisha safari ya Marekani

    WanaJF isije ikawa danganya toto. Nina wasiwasi huyu Spika asiwe ana maagizo ya siri kuhusu naman atakavyomaliza swala hili la RICHMOND bwana.Kwa nini alikuwa anakataa isijadiliwe mpaka awepo?. Hii inanitia wasiwasi. Nini maana ya kuwa na makamu wake pale kama hataki afanye kazi wakati yeye...
  3. M

    Tanzania na Sheria: Rais Mwinyi Aliua Wengi Zaidi!

    No. siyo Kassim Hanga. Kuna yule Mzungu mmoja alimuweka mkewe kwenye gari halafu akaisukuma kwenye milima huko kusini na mkewe akafa na yule bwana akadanganya kuwa kapata ajali na akaenda kudai Insurence akalipwa pesa nyingi sana.Nasikia Mwalimu aliita mpaka Scotland Yard kufanya uchunguzi na...
  4. M

    Usalama wa Taifa: Mpo likizo?

    Ni hivi ndugu yangu, naomba uwaangalie hawa watu wa usalama wa Taifa ambao wako kule bandarini kwa ajili ya kuangalia mali inayoingia na kutoka yaani 'import and Export' ili serikali isije ukahujumiwa kwa namna mojqa au nyingine. Lakini wapi !. Wale wamekuwa very rich kwa sababu ya kujihusisha...
  5. M

    Hain's Resignation- Mfano Bora kwa Wahusika wa skendo la BOT.

    My dear friends this can not happen in any African Government.African Leaders do dream on how to temper with their Constitutions in order to to become life Presidents. See Uganda,Zimbabwe and i do not hesitate to say that even this sickness was nearly to happen here in the past regime had it not...
  6. M

    Nawezaje kuirudisha meseji nilitotuma kwenye yahoo messenger !! ndoa iko hatarini!

    Mwambie mkeo kuwa uliiacha simu mezani na kuna mtu aliichukua kwa muda bila wewe kujua akaitumia kutaka kukuvunjia nyumba yako.Mwabie si unajua tena watu hawapendi maendeleo ya mtu bwana? Halafu leo uongeze ufundi zaidi utakapokuwa nae faragha basi utakuwa umemmaliza. Lakini bwana acha haya...
  7. M

    UFISADI Kila Kona: Baraka za CCM KINGA ya Ufisadi BoT na Viongozi Mafisadi

    Hapana.Tuache mambo ya UCCM na UCHADEMA na tuangalie hoja hapa ni nini.Hapa tunaona kuwa nchi au inji kama mzee wa Kiraracha anavyoita inaishia kwa Mafisadi.Awe CCM au Chama kingine chochote.Ufisadi hauna chama.Wapo watu ambao ni mafisadi lakini hawana UCCM au Uchadema. Kuondoa hili tatizo ni...
Back
Top Bottom