Search results

  1. ngonyani

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Hii ni video ya mwaka 2017 nadhani ilishapita mijadala yake haina haja tena kuirudia watu wanaoendelea kuirusha wana nia ya kujenga chuki na kutia doa umoja wetu katika Muungano na kutaka kutonesha jeraha ambalo limeshapita katika Imani za dini zetu.
  2. ngonyani

    Shughuli ya kuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam

    Mbona sasa mnatuchanganya tuliambiwa JK na ENL 1995 walikuwa na lengo moja la kuunda team ya kushinda Urais, sasa imekuwaje Lowassa awe na kinyongo Jina lake kutofika CC wakati swahiba wake alifika hadi tatu bora za 1995.
  3. ngonyani

    Siyo mara ya kwanza kwa CCM kumtumia mtu na kumtupa. John W. Malecela alitumika mpaka akajiita "Tingatinga"

    Mwaka 1985 wakati mwalimu nyerere anang'atuka madarakani na kuingia mzee Mwinyi malecela hakuwa na nguvu hiyo unayoisema na nafasi ya Waziri mkuu aliipata ndugu warioba.
  4. ngonyani

    Zanzibar wanatoa wapi mafuta, mbona bei zao ni tofauto na bara?

    Usisahau kama Mwinyi amekuja na mfumo wa kubana matumizi yasiyo ya lazima ya Serikali na kubana mianya ya uvujaji wa mapato kwa kukusanya kodi na tozo kwa mifumo ya kielkroniki, aidha Rais Mwinyi amekuwa Rais mwenye mawazo mapya kuliko watangulizi wake ameamua kuvikodisha visiwa ambavyo kwa...
  5. ngonyani

    TPA na ZPA sasa watakuwa Washindani halisi wa Kibiashara!

    ZPA ndio nini ? Zanzibar hadi Sasa hakuna Taasisi inayoitwa ZPA
  6. ngonyani

    Sigara "Clipper" aliyokuwa akivuta Mwalimu Nyerere miaka ya 1950's

    Miaka ya hamsini hadi 70's sigara ilikuwa fashion hasa kwa viongozi wasomi wa walati huo nakumbuka hata Rais wa awamu ya Pili ya Zanzibar sheikh Aboud Jumbe alikuwa anavuta sigara tena hadharani kabisa
  7. ngonyani

    Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

    Kitu gani ambacho Mama Samia amekifanya ambacho kinaonesha dalili za kuipa Zanzibar mamlaka kamili. .? ni ziara zake za mapumziko huko Zanzibar...? Kama ni hilo hata mwendazake alikuwa anatumia muda wa mapumziko kwenda Chato na hatukuwahi kusikia chato inataka kuwa Jamhuri ndani ya nchi yetu, au...
  8. ngonyani

    Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

    Kilichopunguza bei ya mafuta kwa Zanzibar ni kupunguza tozo na Serikali ya Zanzibar ku subsidies katika bei ya mafuta
  9. ngonyani

    Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

    Tutajie Kamishna gani wa Police Zanzibar ambae hakuwa muislam ..?
  10. ngonyani

    Sipati Picha Uhuru Kenyatta amfunge Raila Odinga then Afanye ziara Kisumu

    Anakusudia tuanze kufanya siasa za kikanda na za kikabila
  11. ngonyani

    Kosa moja kubwa alilofanya Hayati Magufuli ni kumteua Samia kuwa mgombea Mwenza

    Ndio Mkuu Mwinyi huyu huyu wa Octoba 2020 bado hajamaliza kuunda serikali yake huko visiwani mwaka wa pili huu
  12. ngonyani

    Kosa moja kubwa alilofanya Hayati Magufuli ni kumteua Samia kuwa mgombea Mwenza

    Kwa hiyo bora Mwinyi kuliko Samia...? Unayaona yanayoendelea Zanzibar kuna lipi la kujifunza..? Zanzibar kwa sasa imepoteza dira kuliko awamu yeyote iliyopita.
  13. ngonyani

    Rais Dkt. Mwinyi anafaa kuwa Rais wa Tanzania

    Imemshinda Zanzibar yenye wakaazi Mil moja atawezaje Jamhuri ya Muungano , tusihadaike na majina ya watoto wa viongizi wengine hawana uwezo wala maono ya uongozi
  14. ngonyani

    #COVID19 Kumbe Zanzibar imepata Tsh 200 bilioni tu katika ule mkopo wa COVID tofauti na inavyoelezwa na Wanasiasa uchwara!

    Zanzibar ilijivua mamlaka yake kama nchi huru kwa ajili ya kuunda taifa jipya la Tanzania, sasa inapotokea kuwepo kwa mgao kama huo wa fedha za mkopo tusisahau pia wenzetu Zanzibar waliacha sovereignty yao kwa ajili ya muungano huu kwa hiyo tuwe na kuvumuliana ili taifa letu lisonge mbele, hata...
  15. ngonyani

    Uhafidhina, Deko na kujuana kwa wana CCM, kunamkwaza Rais Mwinyi Zanzibar

    Unaposema chama kinamfunga miguu sikubaliani nawe kwani kuna maamuzi ya uendeshaji Serikali hayahitaji vikao vya chama, tatizo ninaloliona Urais wa Dr Mwinyi umezongwa na washauri wengi kila mmoja anamvuta rais katika muongozo wake matokeo yake anapoteza dira na kutojua jambo la kufanya, mfano...
  16. ngonyani

    Uhafidhina, Deko na kujuana kwa wana CCM, kunamkwaza Rais Mwinyi Zanzibar

    Kwa tathmini ya haraka inaonesha kuwa Rais Hussein Mwinyi hakuwa amejiandaa kuwa Rais wa Zanzibar,hakuwa na ajenda juu ya nini anakusudia kukifanya katika kuiongoza Zanzibar zaidi ya kutegemea mbeleko ya Rais magufuli, kutoijua kwake Zanzibar na watu wake kwa kiasi kikubwa kunamfanya kuonekana...
  17. ngonyani

    Uchaguzi 2020 Catherine Ruge tumia pesa za kiinua mgongo kufanya kampeni

    Catherine Ruge ameingia bungeni May 2017 hivyo hajafikisha muda wa miaka mitano bungeni hata hivyo jambo la kuchangia campaign ni kawaida tu sio geni
Back
Top Bottom