Search results

  1. Cyangungu

    Serikali iwalipe pesa yao Strabag ili mradi wa barabara Isaka-Lusahunga kipande cha Nyakanazi-Lusahunga kikamilishwe

    Nipo safarini kurejea kwetu Cyangungu,Kamembe Rwanda lakini hii adha ya kipande cha barabara tajwa hapo juu ni kero! Toka juzi maroli yamekwama na njia mbadala imeharibika vibaya kwa sababu ya mvua na mkandarasi inadaiwa anadai pesa zake na amegoma kumalizia kipande kifupi tu cha km 5 hadI...
  2. Cyangungu

    Inatarajiwa madiwani kumi na wawili wa Chadema Arusha mjini watajiunga na CCM kuanzia kesho

    Acha wale watano waliounga juhudi leo kuna namba kubwa zaidi tena ikitarajiwa kuamua kwa pamoja kurejea CCM muda wowote kuanzia kesho. Duru zinatabanaisha maombi ya madiwani hao yapo mezani yakifanyikiwa kazi na Ofisi ya CCM Mkoa wa Arusha na hata wangeruhusiwa leo kufanya hivyo wangefanya...
  3. Cyangungu

    Tusichotambua wengi wetu ni kwamba pesa za mkopo inazokopa Serikali kwa ajili ya miradi mbalimbali ni pesa zetu

    Wengi wetu tumekuwa mabingwa wa kukejeli pale ambapo Serikali inapokopa pesa kwenye mabenki mbalimbali eti si pesa yetu ya ndani bali ni mkopo jambo ambalo si kweli! Ukweli ni kwamba pesa inayokopwa na Serikali hurejeshwa kwa wale waliotukopesha kwa makusanyo yetu ya kodi kwa makubaliano ya...
  4. Cyangungu

    Unadhani kutakuwa na msisimko tena wa kisiasa hapa Tanzania?

    CCM na Magufuli hatimaye wameshinda! Kama kuna kosa kubwa wapinzani walifanya ni kususia Uchaguzi wa Viongozi ngazi ya Serikali za mitaa unaofanyika hii leo wakidhani wanaikomoa CCM na Serikali pasina kufahamu kwa kufanya hivyo wanawasaidia Watanzania kutokuwa na morali tena wa kushiriki siasa...
  5. Cyangungu

    Mwaka 2011 nilipewa elfu themanini (80000) na Rostam ya kula sasa endapo ilikuwa ni kodi ya wa Tanzania naomba msamaha

    Mapema mwaka tajwa hapo juu niliambulia kiasi hicho cha pesa kutoka kwa gwiji RA kwa ajili ya soda na biscuits. Muda huu nafsi imenisuta pengine nilikula ya kagoda au ya Richmond. Kwa mantiki hiyo nakuja kwenu wa Tanzania kuwaombeni msamaha na nipo tayari kuirejesha. Ee mwenyezi Mungu nisamehe
  6. Cyangungu

    Jumanne Kishimba Mbunge aliyetabiriwa kutokuleta utulivu wa siasa ndani ya Jimbo la Kahama.

    Wengi wa Wananchi hasa wenyeji wa Jimbo la Kahama mjini hawakutarajia kabisa endapo ndugu Jumanne Kishimba Mbunge wa Jimbo lile angeleta utulivu wa kisiasa pale Kahama mjini kwasababu ya hali ya kisiasa wakati wa kampeni za Uchaguzi wa mwaka 2015 ilivyokuwa tete. Leo,Kahama kupo shwari kabisa...
  7. Cyangungu

    Mbowe kwa unyenyekevu mkubwa naomba lipokee na ulifanyie kazi jambo hilo...

    Tumeshuhudia chaguzi za kuwapata Viongozi wa Chama unachokiongoza Chadema katika ngazi mbalimbali kote Nchini zoezi ambalo limeendelea vyema;hongera! Lakini hili jambo la shutuma za eti Viongozi wengi waliochaguliwa hasa nafasi za Wilaya na Mkoa ni wa Kabila la kutoka kaskazini ni habari...
  8. Cyangungu

    Uwezekano ni mkubwa wa CUF kuwa chama kikuu cha upinzani

    2020 ni bayana sasa na dalili zote zinaonyesha kuwa Chama cha Wananchi CUF kinaelekea kuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Na hii ni kwasababu ya CHADEMA kuonesha kuzidiwa kimbinu na fitina na CCM. Ikumbukwe hadi wakati huu CUF hawajatangaza kujitoa katika mbio za Uchaguzi wa...
Back
Top Bottom