Search results

  1. mjusilizard

    Namna nilivyofunga ndoa kwa harusi nzuri na kubwa (ya ndoto yangu) bila kuchangisha wala kukopa

    Wasalaam, Kuna wadau wanaumizwa sana na madeni ya harusi baada ya kufunga ndoa, inampelekea mtu mpaka muda wa miaka minne akilipa tu deni la harusi ya ndoa yake. Kuna jamaa mmoja kwenye Ofisi yangu ya zamani alifunga ndoa kwa sherehe kubwa na baada ya miezi mmoja akawa anadaiwa karibia na kila...
  2. mjusilizard

    Nilivyosave Milioni 10 kwa miezi 6 na kujenga nyumba mbili na kununua gari zuri

    Wakuu salaam, Nimeona kuna mada ya mambo ya kusevu nikaona nishee story yangu inaweza kuwa msaada kwa mtu fulani sehemu fulani.. 1. Take home ilikuwa ni 1,300,000 baada ya makato yote kazini pamoja na benki wakati wa kutoa 2. Tulishusha maisha tukawa tunaishi nyumba ya kupanga ya chumba...
  3. mjusilizard

    Feeling tamu, kumkuta mkeo akikupikia huku amevaa shati lako oversize!

    Wakuu Hakuna feeling tamu kama umkute mke wako amevaa T-shirt lako oversize, no Bra, Halafu Anakuandalia Chakula Aisee, kama nawe unayo hebu zitaje tuone!
  4. mjusilizard

    Vijana na Kilimo

    SIKU vijana tusio na ajira zisizotusaidia tukiamua kutoa ubishoo wa kukaa kwa mashemeji zetu Dar na kuamua kwenda mikoani kutafuta mashamba na siku serikali ikiamua kutufata huko shamba na kutuunga mkono kwa kutupa pembejeo na soko... HAKIKA SIKU HIYO HISTORIA YA UTAJIRI KWA VIJANA NA PUMZIKO...
  5. mjusilizard

    Namna ya kuishi kwa kipato cha chini ya Tsh. 330,000/- kwa mwezi

    Wasalaam, Watu wengi maeneo ya mijini vipato vyao ni wastani wa Tsh. 10,000 kwa siku, hii inafanya wengi wafikishe angalau Tsh. 330,000 kwa mwezi. Kwa kipato hiki wapo wanaishi vizuri kabisa kwa familia za watu wachache na wanaishi bila kuwa na madeni. Mchanganuo rahisi ni kama huu hapa chini...
  6. mjusilizard

    Gari kutoa moshi mweupe na kula mafuta sana ikiwa silensa ni shida ya nini?

    Salaam wakuu, Nimeona changamoto kwenye gari manual ya petrol ambapo ikiwashwa inatoa moshi mweupe kwa bomba la moshi na pia wakati huo huo mafuta yanalika sana, inaweza kuwa ni shida ya kwenye nini kabla sijawapelekea mafundi?
  7. mjusilizard

    Nifanyaje niweze kumudu kukata kona?

    Vipi wakuu? Nimeanza kujifunza kuendesha gari, ninawezaje kumudu kukata kona kwa uzuri kabisa bila shaka? N akuhakikisha ninakaa kwney line yangu bila kukwangua pembeni. Nipo ninasoma komenti.
  8. mjusilizard

    NInatafuta coolant ya Honda, anayejua inapouzwa nisaidie

    Salaam, Kama yupo anayejua ninakoweza kupata: Honda All Season Antifreeze/Coolant Type 2 Ninaomba nisaidie. Ni muhimu sana niipate, nip Dar ila kokote ndani ya nchi ninaweza agiza. Ninatanguliza shukrani.
  9. mjusilizard

    MSAADA: Mabati ya 'reject' yamekufikisha wapi baada ya muda gani?

    Salaam wakuu, Ninataka niezeke kwa mabati yanayofahamika kama reject, nimetembelea wanapouza nimeona ni mapya kabisa hayana tofauti kubwa na yale ya madukani ambayo siyo reject. Kuna mtu ameshawahi kuyatumia haya mabati au anafahamu mtu aliyewahi kuyatumia na hali yake ikoje mpaka sasa kwenye...
  10. mjusilizard

    Pima DNA kwa njia ya asili yenye ukweli kwa zaidi ya 90%

    HUU NDIYO UKWELI WA DNA YA KIUTAMADUNI Ewe Mwanaume mwenzangu uliye na Mtoto hapo ulipo awe bado mdogo au tayari ameshakuwa Mtu mzima chukua mkono wowote uwe wa Kulia au wa Kushoto wa Mtoto unayeamini kabisa kuwa ni wako kisha kwa umakini kabisa huku ukiwa umetulia angalia pale katikati ya...
  11. mjusilizard

    Msaada: Nilitakiwa kujibu vipi hapa?

    Salaam wanabodi, Mwaka 2018 nilipata bahati ya kuitwa interview ya shirika la Ujerumani ambapo katika usaili waliniuliza endapo ningekuwa nimefanikiwa kwenda kufanya kazi huko Ujerumani na katika majukumu yangu nikakutana na mashoga ningefanyaje? Kazi niliyoomba ilikuwa ni Kusimamia Mradi wa...
  12. mjusilizard

    Mambo ya mji huu waachie wenyewe

    Fikiria umekaa darasani kwa muda wa miaka 16 na zaidi ukisotea elimu from kindergarten >primary >secondary >high school >university/college, halafu miaka miwili tu baada ya kuanza kazi unaanza kujiuguza UKIMWI! Utakuwa na uchungu lakini wazazi walezi wako watakuwa na uchungu zaidi kwani wao...
  13. mjusilizard

    Dawa ya Mafua ni Vitamin C

    sALAAM, Ukiangalia miongoni mwa njia za kujikinga dhidi ya corona virus ipo njia ya kusimama mita moja ili kuongea (Maana Inatakiwa kila mmoja ajione ameshaambukizwa). Kwa msingi huo: Tunaweza kusema - *Wamama wasinyonyeshe wala kuwaogesha tena watoto wao. *Hakuna kuchangia damu tena. *Ndoa...
  14. mjusilizard

    Mwanamke na mbio za sakafuni

    Mwanamke akiwa na umri wa miaka 13 ukimwambia "Mambo? Atakujibu safi shikamoo Mwanamke akiwa na umri wa miaka 15, ukimwambia "Mambo? Atakujibu powa vipi? Hapo ameshaanza kuelevuka hata shikamoo anaiona ni mzigo Mwanamke akiwa na umri wa miaka 18, ukimwambia "Mambo! Atakujibu safi tu huku...
  15. mjusilizard

    Mambo ya kuzingatia unapokuwa Mjamzito

    Salaam, Kipindi cha ujauzito kuna mambo mengi yanatokea kwenye mwili wa mama na kufanya mabadiliko ya mwili wake kwa kipindi cha miezi 9. Mara nyingi huwa na hali tofauti kama kutapika, kichefuchefu na kujisikia mwili umechoka na kuvimba miguu au uso n.k KUHUDHURIA CLINIC ni vizuri mama...
  16. mjusilizard

    Watu wana hela sana!!!

    Unajua Koffie Olomide anafanya Show leo, Tickets zilikuwa zinauzwa 100K na zimeisha kabla kabisa ya show! Huku tunalalamika ugumu wa maisha! :D Hivi wanamudu vipi hawa wenzetu?
  17. mjusilizard

    Kujilinda na vibaka ama wavamizi bila ya kuwa na silaha

    Vipi wakuu? Kuna jamaa yangu alivamiwa beach na vibaka watatu wenye visu, hakuwa na ujuzi ila nafikiri nao walikuwa mateja tu hawakujua kutumia silaha, aliwaweza kwa street fight tu za kuzaliwa, alimmwagia mchanga mmoja usoni akapiga vibaya mno. Ila siku nyingine anaweza kutana na wababe, si...
  18. mjusilizard

    Ongezeko la Mshahara na Uhuru wa Uchumi

    Hongera kwa kuongezewa mshahara! Unadhani sasa ni muda wa kuongeza simu mpya, gari ama nguo mpya? HAPANA! Usifanye hivyo aisee, jitahidi uendelee kuishi kama ulivyokuwa hujaongezewa na helauliyoongezewa itunze yote 100% baada ya miezi 12 hivi au zaiid. Uhuru wa kiuchumi unakuja namna hii...
  19. mjusilizard

    Ushauri wa Bure kwa Vijana

    Vijana tafuteni hela MTUNZE familia zenu, acheni kuelekeza nguvu kuipinga serikali na kujihusisha na SIASA MAJITAKA, kazana kutafuta ugali, ya serikali iachie serikali
  20. mjusilizard

    Msaada: naomba kujua haya kuhusu Chuo cha VETA Arusha

    Habari wakuu? Ninanyenyekea mbele zenu bila bughudha nina shida ya mawasiliano ya VETA Hotel and Tourism Training Institute - VHTTI kwa ambaye anafahamu, na pia hata kama hauna mawasiliano naomba unijuze kwa kozi ya Tour Guide ina bweni ama ni kutwa pekee? Maombi wanaanza kutuma lini na ada...
Back
Top Bottom