Search results

  1. Sir Yahaya

    Natafuta ajira/ kibarua/ kazi yoyote

    Mkuu ningependa kujifunza
  2. Sir Yahaya

    Naombeni msaada wana JF

    Ndugu wana JF naombeni mnisaidie soft copy ya vitabu vya Jizatiti katika Hisabati darasa la 7 na darasa la nne.
  3. Sir Yahaya

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Kabla ya kuamua kupunguza uzito, Wengi huchukizwa na muonekano wa sehemu za tumbo, mapaja na mikono. Hivyo ni rahisi zaidi kupunguza uzito kama utaondoa nyama zembe katika sehemu hizo. Ili kuondoa nyama zembe unatakiwa kupunguza ulaji wa vyakula vya wanga na ngano (hasa zilizokobolewa)...
  4. Sir Yahaya

    Zijue faida za Kiafya za Kitunguu Swaumu (Garlic) Featured

    Unameza kama dawa hii kuzuia harufu mbaya mdomoni ila utakuwa unaweza kutafuna ni sawa tu
  5. Sir Yahaya

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Kabla ya kuamua kupunguza uzito, Wengi huchukizwa na muonekano wa sehemu za tumbo, mapaja na mikono. Hivyo ni rahisi zaidi kupunguza uzito kama utaondoa nyama zembe katika sehemu hizo. Ili kuondoa nyama zembe unatakiwa kupunguza ulaji wa vyakula vya wanga na ngano (hasa zilizokobolewa)...
  6. Sir Yahaya

    Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Ningependa nifahamu hilo tatizo una muda gani tangu uwe nalo?
  7. Sir Yahaya

    VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)

    Jaman msaada hivi naweza kuweka nakala ya elimu ya afya zetu kweny forum yoyote
  8. Sir Yahaya

    Njia 16 za asili za kuondoa sumu mwilini

    Njia 16 za kuondoa sumu mbalimbali mwilini Mwili unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika na mwili kwa namna mbili, ama kupitia mazingira tunayoishi (viwanda, migodi nk) au kupitia vyakula na vinywaji ambavyo tunatumia kila siku. Sumu au taka pia zinaweza kuingia mwilini kupitia dawa...
  9. Sir Yahaya

    Dalili 10 za mvurugiko wa homoni kwa wanawake

    Dalili 10 za mvurugiko wa homoni kwa wanawake UPUNGUFU WA HOMONI YA PROGESTERONE Hii ndio aina kubwa zaidi ya mvurugiko wa homoni inayowasibu wanawake wengi sana wa rika zote. Vyanzo mara nyingi huwa ni mfumo wa ulaji pamoja na matumizi ya njia mbalimbali za uzazi wa mpango. Dalili zake ni...
  10. Sir Yahaya

    Zijue faida za Kiafya za Kitunguu Swaumu (Garlic) Featured

    Jitahidi kutumia maziwa ili kukata hiyo harufu.
  11. Sir Yahaya

    Zijue faida za Kiafya za Kitunguu Swaumu (Garlic) Featured

    Sio tiba mbadala bali madaktari duniani wamethibitisha hilo na ni kutokana na faida za matunda katika miili yetu
  12. Sir Yahaya

    Zijue faida za Kiafya za Kitunguu Swaumu (Garlic) Featured

    FAIDA 20 ZA KITUNGUU SWAUMU DHIDI YA MAGONJWA SUGU (CHRONIC DISEASE) 1. Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro) 2. Husafisha njia ya mkojo na kutibu U.T.I 3. Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria wengine 4. Huzuia kuhara damu (Dysentery) 5. Huondoa Gesi tumboni 6. Hutibu msokoto wa tumbo 7. Hutibu...
  13. Sir Yahaya

    Njia 5 za kuondokana na tatizo la miguu kuwaka moto

    Yanasaidia kufanya zile neva za pembezoni mwa mwili yani za miguuni kuwa zifanye kazi na kuzipa uhai neva hizo Na ndo mana tunasema maji ni asilimia 94 ya mwili wa binadamu
  14. Sir Yahaya

    Njia 5 za kuondokana na tatizo la miguu kuwaka moto

    Kuna njia nyingi sana za kuondoa sumu mwilini kwa uchache naweza kukutajia njia mbili au tatu ila nitaweka somo kwa upana baadae kuhusu suala hilo. 1.Njia moja wapo ya kuondoa sumu mwilini ni kunywa maji mengi kwa siku 2. Kufanya mazoezi ya viungo na mwili kwa ujumla 3. Pendelea kula vyakula...
  15. Sir Yahaya

    Njia 5 za kuondokana na tatizo la miguu kuwaka moto

    Kwanza ningependa ufahamu kwamba Mwili unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika na mwili kwa namna mbili, ama kupitia mazingira tunayoishi (viwanda, migodi nk) au kupitia vyakula na vinywaji ambavyo tunatumia kila siku. Sumu au taka pia zinaweza kuingia mwilini kupitia dawa mbalimbali...
  16. Sir Yahaya

    Njia 5 za kuondokana na tatizo la miguu kuwaka moto

    Njia tano za asili za kuondokana na miguu kuwaka moto Huu ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi sana na mara nyingi humfamnya mtu mwenye tatizo hilo kushindwa kusinzia japo anahisi kusinzia. Miguu kuwaka moto ni ugonjwa unaotokea ambapo katika mwili wa binadamu kutakuwa na matatizo kama...
Back
Top Bottom