Search results

  1. Bondpost

    Diddy ashtakiwa tena, adaiwa kumlazimisha Ngono na Dawa za Kulevya Mtayarishaji Muziki wake

    Diddy kila kunapokucha anazidi kuwa.na hizi kashfa. Msomali anapenda michezo ya tope.
  2. Bondpost

    Martin Chacha mkazi wa Tegeta inadaiwa ameuawa kwa kipigo na ASAS akishirikiana na SUMA JKT

    This is a criminal case, wafungue jalada la kesi ya jinai halafu ndipo mengine yafanyike kuliko kuendelea kutafuta political milleage ambayo haiwasaidii wafiwa kupata haki jinai pamoja na stahiki zote.
  3. Bondpost

    Diddy ashtakiwa tena, adaiwa kumlazimisha Ngono na Dawa za Kulevya Mtayarishaji Muziki wake

    Usher Raymond nna Meek Mill nao wameingia kwenye hamsini za jamaa alishawapasua
  4. Bondpost

    Matapeli wa simu wamekuja na mbinu mpya

    Ushapigwa ya kwanza unarudia ya pili what a waste of sperm
  5. Bondpost

    Saninu Laizer wa madini lipa pesa za watu. Ulituonyesha una madini ya mabilioni leo hii mchina anataka bilioni 8 zake

    Bilionea chawa haijawahi kutokea. Alipe pesa ya watu kwanza ndio wakae wajadili mkataba mpya aache janjajanja. Mtu alipata chance nzuro akaishia kujiweka kwa media kama baba levo. Minyii
  6. Bondpost

    Je, vijana mmesahau hukumu ya kuchoma mali ni miaka thelathini au kifungo cha maisha jela?

    Kijana wa boda amefariki lakini naameacha wapendwa wake wanasikitika. Basi limechomwa kama kisasi lakini kijana hajafufuka. Basi limeteketea p0na tajiri ataclaim bima Pata wa ila maisha ya kijana hayatarudi na hakuna bima itakayolipa hasara ya maisha yake wapendwa wake. Abiria mizigo yao...
  7. Bondpost

    Bar ya Royal tour Iringa mjini

    Hamia bar nyingine au acha uchawa inaonekana kuna pahala mmepishana na meneja.
  8. Bondpost

    HR, Waajiri walalamika wahitimu ni weupe vichwani

    Waajiri wamekuwa wabinafsi sana, ni kweli vijana wanamaliza vyuoni wakiwa na distinction kwenye vyeti ila vichwani hawana ubunifu lakini ni mwajiri gani ametumia muda kumoatia induction course hata ya wiki mbili mwajiriwa mpya? Policy zao zinatoa hiyo nafasi? Wakati mwingine ndio maana vijana...
  9. Bondpost

    Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa

    Wanauchelewesha mradi kwa makusudi ili wautumie kama silaha ya uchaguzi. Washeni umeme watanzania tutawapima kwa vingine vingi ambavyo mmekuwa mnachelewesha kwa makusudi kqma mtaji wa kisiasa badala ya kuwapa wananchi hudumu wanayolipia kwa kodi zao.
  10. Bondpost

    Kadogosa: Tumetumia umeme wa 336,000 kwenda na kurudi Dar - Morogoro

    Waongeze mzigo plus kupunguza vituo ili kupunguza muda wa kukaa barabarani pamoja na umeme unaotumika kuanzisha mwendo ambao huliwa zaidi. Nadhani engineers plus wachumi wa biashara ya treni watakaa kuangalia best alternative way ya kupunguza gharama kwa abiria by substituting to the cargo na...
  11. Bondpost

    Kwa masikitiko makubwa, mwandani wangu ananisaliti na wanaume zaidi ya wa 5

    Na wewe mgeuze mcheps wako tu wala asijue. Tafuta demu mwingine unakuwa nae serious huyu unamuweka pending unajilia ukiwa na hamu na hakikisha unamfokoa hata kule kwingine akishaona haumshobokei kama zamani akileta mboyoyo mchane live kwamba una demu wako unayemheshimu na akae mbali nawe...
  12. Bondpost

    Azim Dewji: Uhaba wa umeme unatokana na maendeleo ya wananchi

    Babu wa kihindi kakupumulia kakujaza ute huko kwenye kikalio basi unarojoka tu ukidhani kila mtu ana umasikini wako uliokupelekea kupumuliwa. KLMY.
  13. Bondpost

    Mke wangu ana pepo mchafu sana, je nawezaje kumsaidia bila kumvunjia heshima yake?

    This thread without a supporting photo is useless.
  14. Bondpost

    Mke wangu ana pepo mchafu sana, je nawezaje kumsaidia bila kumvunjia heshima yake?

    Kama umemchoka tuachie sisi.... nasemajeeee?..... sisi ndio mafisi. Nimeachikaaaa sasa naburudika...... Mjomba endelea kuzubaa hivyohivyo.
  15. Bondpost

    Kuchelewa kufungwa mashine, kutasababisha maji kufunguliwa bure Bwawa la Nyerere

    Umeme is a scam in Tanzania. Tuuze shirika then kila mtqnzania apewe milioni 10 ajiwekee solar au generator. Mambo yasiwe mengi.
  16. Bondpost

    Kundi jingine linalojumuisha watu wajinga ni mashabiki wa mpira wa miguu

    Wewe endelea na tamthilia za sinema zetu kaa na mkeo mfurahie mkojani hatujakuzuia zuzu wewe usitupangie starehe.
  17. Bondpost

    Azim Dewji: Uhaba wa umeme unatokana na maendeleo ya wananchi

    Huyu mzee azuiwe kuongea sasa. Uchawa gani huu na umri wote ule na utajiri walioujenga kwenye mihimili ya wizi wa malighafi za watanzania??? Akae kimya
Back
Top Bottom