Search results

  1. Mcqueenen

    Watanzania tujifunzeni kiarabu

    Ukiachana na sababu kuwa ni lugha ya peponi. Kuna sababu zingine lukuki za kujifunza lugha hii tukufu, kama zifuatazo. أولًا وقبل كل شيء، تعتبر اللغة العربية لغة قرآنية، وهو الكتاب المقدس في الإسلام. لذا، يتيح لمن يتعلمها فهم القيم والعقائد التي تشكل أساس حياة المسلمين. هذا يفتح آفاقًا جديدة...
  2. Mcqueenen

    Everyone's spying on you

    You, Yes you. Hello there! My name is McQueen and I'm delighted here today to share a little secret with you. And that is, the answer to the most fundamental question in which always in 'your everyday life' you try to ask yourself. And that is "who am I really?" And "what is my purpose/role in...
  3. Mcqueenen

    Majani kaachia album, wimbo gani mkali?

    Sote tulijua Majani ni OG pioneer, lakini nimeshangaa kuwa bado hata leo kwenye hiki kizazi ambacho hawana kipya wao wanacopy tu miziki ya Nigeria na south Africa, Majani ndiye ameamua kuwa mkombozi na kuonesha watu what music is all about-innovation. Nilichogundua mtu pekee wa kuiokoa bongo...
  4. Mcqueenen

    Kwanini Hip hop Bongo inakufa?

    Zamani hip hop ndiyo ilidominate charts maredioni mpaka mitaani...enzi za kina prof j, Afande sele, Ngwea nk. Leo hii amapiano, Bongofleva (copy za kinaijeria) na singeli ndio zinadominate kupigwa maredioni mpaka mitaani. Sikuhizi hakuna wasanii wa hip-hop wanaoshikilia soko kwa kuuza nyimbo...
  5. Mcqueenen

    Hii ndoto ilinifanya nikasilimu

    True story: Tea time, Nilizaliwa katika ukristo na kukulia kwenye ukristo. Mwaka Jana nilihamia Tanga kikazi, mtaa niliokuwa Ninaishi ulikuwa una Waislam tupu. Nyumba nliyokuwa Ninaishi ilikuwa jirani na msikiti, Kila siku pale msikitini walikuwa wanaimba aya za Quran Usiku kucha. Sijui...
  6. Mcqueenen

    Does a spider know it is a spider?

    One of the tough nuts humans have struggled to crack is consciousness. that is because it is tough to even define it. However, today I Mr. Mc, would argue that the best definition of consciousness is the one that leans towards explaining about consciousness as the ability to know. And to know...
  7. Mcqueenen

    Do we need religion or religion needs us?

    Spoiler alert: We need religion. Tunahitaji dini. Over time, we (humans) learnt that we need to establish order to rule society for our human race to thrive. We do this by putting in place systems and codes that can govern our daily conducts. Every society has specific patterns and guidelines...
  8. Mcqueenen

    Hawa madogo wa country boy (Fresh boys) Wana kuja kuja

    Kuna Hawa madogo wa country wizzy wanajiita fresh boys Wapeni sikio mtoe marks Wanakuja kuja
  9. Mcqueenen

    Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Sayansi ni somo kuhusu ulimwengu ulivyo na unavyofanya kazi, kwahyo ningetarajia mungu aliyeuumba ulimwengu ndio awe baba wa sayansi. Na kitabu chake kiwe kimejaa sayansi za kutosha. Mimi kama mfuasi wa sayansi nikaanza kufuatilia sayansi kwenye vitabu vya dini. nilipoanza kufuatilia s Quran na...
  10. Mcqueenen

    Weka aya/ mstari kutoka kitabu cha dini yako unaoona umeandikwa kwa ustadi, weledi na hekima ya hali ya juu

    Ukisoma vitabu vya watu mashuhuri kama shakespeare, kuna ile unakuta mwandishi ameandika kwa ustadi wa hali ya juu...yani ametumia maneno vizuri, yani maneno ameyatumia kama rangi vile kuchora picha nzuri sana inayovutia kutazama machoni. Bila stori nyingi au maelezo mengi, weka fungu la kitabu...
  11. Mcqueenen

    Reincarnation (kuzaliwa mara ya pili) ni pointless

    Reincarnation (kuzaliwa mara pili) ni ile imani/filosofia kuwa mtu anapofariki, basi roho yake inazaliwa upya kuwa mtu mwingine au mnyama mwingine au kiumbe cha kiroho (mzimu,malaika etc.) Kulingana na ubora wa maadili aliyoishi mtu huyo. Yani kwa mfano kama alikuwa mzuri sana anakuwa malaika...
  12. Mcqueenen

    Nani mkali wa Pasi kati ya Kevin De Bruyne Vs Lionel Messi?

    Wasalaam, Kevin De Bruyne na Lionel Messi ni wachezaji wawili wenye vipaji vya kipekee katika soka na wote wawili wanajulikana kwa ustadi wao wa kupiga pasi. Hata hivyo, wana mbinu tofauti za kucheza na kuandaa pasi. Kevin De Bruyne, ambaye ni kiungo wa kati wa Manchester City na timu ya taifa...
  13. Mcqueenen

    Tusizungumzie habari za kujiua (Suicide)

    Kuzungumzia kuhusu maswala ya kujitoa uhai hadharani kunaweza kuwa na athari tofauti kwa watu tofauti,. Hata hivyo, kuna baadhi ya mambo ambayo yanaweza kuchangia kuongezeka kwa idadi ya visa vya kujitoa uhai ikiwa suala hili litazungumziwa kwa njia isiyofaa au isiyo sahihi. Hapa kuna mambo...
  14. Mcqueenen

    Atheism sio kuamini Hakuna Mungu, ila ni kutoamini kuwa kuna Mungu

    Wanaoamani Mungu hutumia uumbaji kama hoja kuu ya kuamini Mungu yupo, siwalaumu because after all bila uumbaji tusingekuwepo kubishana hapa kama mungu yupo au la! Na uwepo wake usingekuwa na maana. Hoja yao ipo hivi: 1. kila kitu kilichopo kina chanzo hakiwezi kutokea from nothing, 2. Hivyo...
  15. Mcqueenen

    Rapcha vs kontawa

    Twende kazi! Hawa wote ni storytellers Rapcha-lisa, Kontawa-Dungamawe Rapcha ana bars, ana flow na anaimba hiphop/trap Kontawa ana melody, bars kwa mbali,na anaimba hiphop/Bongo fleva Nani mkali??
  16. Mcqueenen

    Hakuna kabila linalompenda Rais Samia kama Wamasai

    Jambo lafiki, Katika malaisi waliowahi kupita Tansania hakuna kama Laisi Samia. Sisi wamasai tunampenda kuliko makabila yote. Kwansa, tumefulahi sana anavyoongosa kwa haki na demokrasia. Pili, tunafulahia kututoa mapolini huko Ngorongoro ambako hakukuwa na Huduma sa muhimu kama maji, umeme...
  17. Mcqueenen

    Tucheze kamchezo: Unaijua hii mitaa?(Dar)

    Hii ni kwa wanaojiita born town..Born iya iya..wazurulaji, watoto wa streets, Hii Sio kwa wakuja, wale wakifa wanasafirishwa, na wale getikali Wengine wote: Unaijua Dar weye?? Twende kazi….. 1. Unapajua Tabata Sanene pale?kuna shule gani ya private kubwa? 2. Unapajua Mwenge mitaa ya...
  18. Mcqueenen

    Hivi hawa masai wanaotembea wakiuza dawa ni za kweli au matapeli?

    Hola Amigos, Jana nmekutana na mmasaai anatembea akiuza dawa mbalimbali kwenye kigunia, alikuwa ameshikilia kama kimenu cha dawa alizonazo na bei zake, ukikutana naye haongei sana anakupa kipeperushi tu. Baadhi ya dawa nlizoziona kwenye menu Mkongo puturu-10,000 Mkuyati-15,000 Dawa ya...
  19. Mcqueenen

    Tukubaliane: Wanaohubiri kwenye mabasi, masokoni na njiani ni Omba omba kama ombaomba wengine

    Bila kupepesa macho au kumung’unya mung’unya maneno lets keep it one thousand. Hawa watu wanaohubiri kwa maspika, kwa makelele iwe masokoni,njiani au kwenye mabasi au wale wanaoimba gospel barabarani kisha kuweka bakuli au kuomba sadaka ni omba omba tu kama omba omba wengine. Na Wala hawapo...
  20. Mcqueenen

    Makosa ambayo watu wengi hufanya katika kujenga au kujibu hoja humu jukwaani

    Kupitia mijadala mingi humu jukwaani,nimegundua watu wengi hawajui kujadiliana na mara nyingi hoja zao huwa na makosa,kasoro au upotofu. Ni tofauti na mijadala ya Quora au reddit inavyoenda. Kasoro za kimantiki ni makosa yanayotokea wakati hoja au maelezo yanayotolewa hayafuati misingi ya...
Back
Top Bottom