Search results

  1. Mangulason

    Natafuta fundi anayeweza kutengeneza vifaa vya chuma na Mbao

    Nataka fundi anaetengeneza vifaa vya chuma mixed na mbao, mfano kitanda, meza ya jikoni, meza ya viatu nk
  2. Mangulason

    Jokes

    Hivi Tanzania [emoji1241] nzima tukinyamaza kimya pasipo kupiga kelele, kwani hatuwezi kusikia kelele za Kenya [emoji1139]??
  3. Mangulason

    Kuoa mwanamke aliyekuzidi umri ni sawa?

    Jamani kuoa mwanamke aliyekuzid umri ni sawa. Ushauri Jaman!
  4. Mangulason

    Tecno camon 11 inahitajika

    Wajamen anayeuza simu tecno camon 11 aje hapa na ofa yake hapa Location: DSM Mobile: 0715 445298.
  5. Mangulason

    Mwanamke wangu kila akimaliza "mshindo" wa kwanza anadai amechoka

    Wadau naombeni ushauri, niko na mwanamke wangu kwa muda mrefu ila tukiwa katika mchezo mwenzangu akimaliza tu haja zake anasema amechoka anataka tupumzke na kwa upande wangu nakuwa bado sjiamaliza haja zangu. Naombeni ushauri, nifanye nini
  6. Mangulason

    Fundi bombi (Plumber)

    Nafanya kazi zote za plumbing za maji taka + maji safi kwenye ofisi na majumbani. 0715 445298 Email: mangulajames8@gmail.com Welcome
Back
Top Bottom