Search results

  1. switch Off

    Nimezaa na mke wa mtu watoto wawili na ana mimba ya tatu

    Ukiwa Bado unasubiri Dala dala yeye akaja na ki IST chake...Miaka 40 Unasema Ki IST...Unazeeka na Upumbavu Wako.
  2. switch Off

    Car4Sale IST inauzwa

    picha
  3. switch Off

    Car4Sale IST inauzwa

    picha
  4. switch Off

    Car4Sale IST inauzwa

    *TOYOTA IST YEAR OF MANU 2005 ENGINE CC 1290 REG NUMBER #DHJ *PRICE 8.7M * IKO VIZUR IWAHI[emoji91] 0719921552 call Mimi ndiye mmiliki ,Nimefulia sana Nahitaji Hela
  5. switch Off

    Huyu Jamaa kweli kafanana na Diamond Platnumz

    Leo nimebahatika kutazama video ya huyu Jamaa alie fanana na Diamond..mwanzoni sikiweza kutofautisha yaani nilijua ni Mond mwenyewe Toa maoni yako kuhusu huyo Jamaa !
  6. switch Off

    Je mwanamke anahusika vipi kuwa chanzo cha mali za mwanaume

    Habari wakuu..kuna sehem nimepita nimekuta mwanamke ana lalamika kuwa ameachana na mume wake mwaka 2016. Anadai hakudai Mali kabisa ila kwasasa anataka aanze mchakato wa kudai Mali ili apate mgawanyo wake..anadai yeye ndie alie kuwa chanzo cha mume wake huyo kufanikiwa kimaisha na kuwa na mali...
  7. switch Off

    Taa hii ya dashboard ina maana gani?

    Habari wakuu, Hii taa ya bluu Ina maanisha nini? Imekuwa ikiwaka muda ninaowasha gari na inapotea baada ya gari kutembea kidogo Naomba kujuzwa ina maana gani?
  8. switch Off

    Mwenye gari IST njoo uniuzie

    Pia kama una Subaru Impreza itanifaa mkuu..sio lazima its
  9. switch Off

    Mwenye gari IST njoo uniuzie

    Mshtue mkuu
  10. switch Off

    Mwenye gari IST njoo uniuzie

    Habari wakuu Nahitaji gari ya kutembelea hapa mjini Dar. Gari iwe imenyooka sana na bajet yangu haizidi milioni 8 NB. Nataka gari nzuri iliyo nyooka na yenye muonekano mzuri
  11. switch Off

    Natamani kununua Subaru Impreza, nini changamoto zake?

    Habari wakuu Nilikuwa na wazo la kununua Toyota IST kwaajili ya mizunguko yangu ya kazi, lakini ghafra mawazo yangu naona yanabadilika na kuhamia kwenye Subaru impreza ...nimetokea kuipenda hii gari pia hazitofautiani sana bei na toyota IST .. SWALI Je, kuna uwezekano wa kuipandisha juu hii...
  12. switch Off

    Dalili mpya sita za COVID-19

    Ulitumia dawa gani mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. switch Off

    Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

    Habari wakuu, Leo ni siku ya nane siskii harufu yoyote. Mwanzoni nilikuwa naona labda ni kawaida ila Leo nimeona huwenda litakuwa ni tatizo. Nimechukuwa dawa ya chooni ambayo harufu yake kawaida inakuwa kali sana,lakini baada ya kuimwaga chooni Mimi sijaskia harufu yoyote. Nikaamua kunusa iyo...
  14. switch Off

    Kwanini wasomi wengi akili zao ni Madudu

    Habari wakuu, (R & L kwangu ni tatizo ) Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa Kitanzania ambae elimu yangu ni kidato cha nne, yaani nilifeli kidato cha nne. Kwa sasa naishi maisha ya kawaida. Nimekuwa nikishangazwa sana na hawa binadamu ambao elimu zao zimefikia chuo. Nimekuwa nikiwaajiri hawa...
Back
Top Bottom