Search results

  1. O

    tafsiri ya LGBTI

    Tafiti zangu zimenielekeza kwa fasiri hizi: Lesbian - msagaji. Gay - shoga. intersex - huntha. homosexual - basha. transgender - wavukajinsia. bisexual - ngonokuwili. transexual - wabadilijinsia. Hizi ni dhana ngeni japo zimefika Afrika. Mapendekezo yoyote ?
  2. O

    condom.......kwa kiswahili.....

    ikiwa tutakopa kila neno jipya, basi kiswahili kitapoteza usanifu wake kwa vile kitakuwa na msamiati asilia finyu kabisa. Ni vema kuunda istilahi kwa kila dhana mpya ifikapo. tusiwe omba omba. Kati ya Kifudusi na shakoshi, ni lipi bora zaidi?
  3. O

    tafsiri ya LGBTI

    Tafsiri ya maneno haya kwa kiswahili (lgbti) lesbian gay bisexual transgender intersex transexual.
  4. O

    Tafsiri ya vifupisho.

    Shukrani Kilembwe japo nilikusudia vifupisho vitafsiriwe kwa vifupisho wala si kwa maneno kamili. Naomba kupata mifano ya vifupisho vinavyotafsirika Kwa Kiswahili kama Vifupisho. Mifano zaidi ni : Etc - nk ( na kadhalika) Eg - km ( kwa mfano) Tafadhali mnichangie.
  5. O

    Tafsiri ya vifupisho.

    Nawaamkua mabingwa. Natafiti tafsiri ya vifupisho (abbreviations) kutoka Kiingereza hadi Kiswahili. Naomba mchango wa kuendeleza orodha hii. Mr. - Bw. P.O.B. - S.L.P. AIDS - UKIMWI
  6. O

    Methali mpya

    upendo haudumu ila kwa shilingi.
Back
Top Bottom