Search results

  1. A

    Nachukia umaskini lakini naona kama umri umenitupa mkono siwezi kutoboa

    Habari wanajamvi, mimi ndugu yenu nimeajiriwa nipo serikalini na huu mwaka wa 13 lakini kila nikijiangalia kuaga umaskini naona ni kitendawili kigumu kwelikweli. Sasa hivi nina miaka 39 na kila ninaoshauriana nao au kusoma comments za watu kabisaaaa ndoo zinanikatisha tamaa. Maana wengi...
  2. A

    Msaada kutoka kwa yeyote aliyewahi kukopa mkopo kutoka Cash X

    Waungwana habari za asbh, Naomba kujua kama kuna mtu amewahi kukopa mkopo kutoka Cash X ambayo ni application iliyopo on line. Naomba kujua kwnye interest zao zinakuaje na sio wahuni kama wahuni wengne wanavyofanya kuwatapeli watu? Ni hayo tu waungwana.
  3. A

    Nataka kufungua biashara ya kuuza chips Dar es Salaam

    Habari wanajamvi, Niende kwenye mada moja kwa moja. Nataka kufungua banda la chips hapo Dar, mm nikiwa makazi yangu yapo Tanga .Nataka nimueke kijana afanye kazi ili kila siku anitumie faida au kila mwisho wa week. Kwanini Dar kwa sababu fursa kuwa kubwa kwa sababu ya mzunguko wa watu kuwa...
  4. A

    Msaada wa vitabu vya ujasiliamali

    Habari za asubuhi ndugu zanguni Naomba mwenye vitabu vya ujasiliamali vya kiswahili na kingereza soft copy naomba atupie hapa nitakushukuru Sana.
  5. A

    Msaada: Nawezaje kujua mtu anayetumia Whatsapp yangu bila mimi kujua?

    Habari ndugu zangu, Tuna group letu la familia na huwa tunajadili mambo yetu mengi tu kwa ajili ya maisha yetu kwa ujumla. Sasa katika wajumbe hao mmoja wapo ambae ni mdogo wangu no yake ya WhatsApp imekuwa haiwezi kuunganishwa kwenye group lolote, alikuwa akiambiwa no yako ipo secured. Sasa...
  6. A

    Kuwashwa mwili baada ya kumaliza kuoga

    Ndugu zangu habari za asubuhi? Mdogo wangu wa kike kila akimaliza kuoga lazima maji yamuwashe mpaka unamuonea huruma anavyojikuna.Hata akipigwa na mvua kidogo basi inakuwa taabu kweli kweli. Sasa naulizia kama kuna sabuni ya kumsaidia labda akiitumia atapona au dawa yoyote. Nitashukuru kwa...
  7. A

    Ramani ya nyumba

    Habari wanajamvi, Mwenye ramani ya nyumba yenye vyumba vinne vya kulala yani mater moja na vitatu kawaida, yenye dinning room, sitting room, jiko na store. Ramani za kisasa ndo naiomba, tafadhali mwenye nayo namba yangu watsap 0712222751. Nitashukuru. Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums...
  8. A

    Mahali pa kuweka mashine ya juisi ya miwa

    Habari ndugu zangu, Nilinunua mashine zangu mbili za kukamua juice ili nibangaize miamoja au miambili nione kama nitaongeza kipato. Mashine zipo Dar, niliwakabidhi vijana walikuwa wanaziweka kando kando ya barabara hapo Buguruni. Sasa kutokana na Mgambo kuwakamata kila mara na mashine moja...
  9. A

    Mwanangu hataki kula

    Habari zenu watanzania,mwanangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi mitatu.Tatizo lake hataki kula chochote tofauti na kunyonya tu. Nilishanunua dawa za minyoo katumia mpaka basi,nikanunua vitamni B complex labda atapata hamu ya kula wapi, najitahidi kumbadilishia vyakula yofauti. Anachokunywa ni...
  10. A

    Viongozi wetu wa juu wa elimu wamelogwa sio bure

    Niwasalimu kwa upendo wa dhati kutoka kwangu ,mm nijitambulishe ni mkuu wa shule hapa hapa Tanzania. Tarehe 16/1 waziri wa Tamisemi na Naibu katibu mkuu elimu Dr Msonde walituita wakuu wote msingi na sekondari.Lengo ni kutuelezea na kututwisha maazimio yao 21 kwa mwaka huuu kuhusiana na ufaulu...
  11. A

    Huyu mwanamke ni sahihi kuniambia maneno haya?

    Habari za harakati za maisha wananzengo, Niiende kwa hoja moja kwa moja. Nina mke wangu ambae leo tunamiaka mitatu kasoro. Tumekuwa tukiishi vzr tu bila ugomvi na kama upo ile kupishana tu kauli. Sasa kabla ya chirismas nilipanga safari ya kwenda mkoani Kagera, nikanunua mahitaji yote mf...
  12. A

    Mimi shabiki wa CR7 naomba kombe lisiende Argentina

    Nisimungunye maneno ,kwa moyo wangu wa dhati na kama ningekuwa namjua mganga wa kuloga ningeomba awaloge Argentina wasibebe World Cup. CR7 umri umekwisha hope hataonekana kwenye next world cup, lakini amepambana sana kwa kuipambania Ureno lakini Mungu hajawa upande wake .Sasa naomba Mungu Sana...
  13. A

    Mipango yangu: Miaka 10 ijayo nataka kuwa nina milioni mia tano benki

    Habari ndugu zangu ,kwa sasa nina miaka 38, miaka kumi ijayo nitakuwa na miaka 48.Malengo yangu nataka kuwa nimeweka pesa benki kiasi cha Tsh 500,000,000. Mpaka sasa sijaanzisha mradi wowote ,ila kuanzia mwaka 2023 naanza kufanya biashara .Nitaanza na biashara ndogo ya kuingiza 15,000/= kwa...
  14. A

    Mikopo mingine ya Rais Samia hashauriwi vizuri kwenye kukopa hizo fedha

    Habari za kulitumikia taifa wana jamvi, nianze kwa kumpongeza mama kwenye baadhi ya mambo mazuri anayoyafanya katika kuhakikisha anatuletea maendeleo nchini mwetu. Mama amekuwa akichukua mikopo katika harakati ya kukamilisha miradi aliyoikuta lakini pia kwenye miradi alioanzisha yeye. Mimi ni...
  15. A

    Naomba ushauri kuhusu hii biashara ya mashine ya miwa

    Habari ndugu zangu, kuna jamaa yangu ameniomba nimfungulie mashine ya miwa jijini Dar, akasema atakuwa ananipa sh 15,000/=kwa siku. Sasa ndugu zangu mnisaidie kujua gharama ya kila kitu na je sio kwamba atakuwa ananipiga? Make mimi sijawahi kufanya hiyo biashara. Mwenye uzoefu anisaidie jamani...
  16. A

    Naomba ufafanuzi kuhusu vifurushi kwenye ving'amuzi vya DSTV

    Habari wakuu wangu, Nimeona ving'amuzi vya dstv vikitangazwa kwenye msimu huu wa kuindea kombe la dunia. Wanasema bei yake 79,000/= sasa swali langu ukinunua king'amuzi hicho kwa gharama hiyo itakubidi tena kujiunga hicho kifurushi cha kutazama word cup? Au wanakuwa washaaunga moja kwa moja...
  17. A

    Kusema eti ukikipenda kitu unachokifanya utafanikiwa yaani kitakutoa, ualimu haunipi mafanikio

    Habari wananzengo, mimi kazi yangu ni mwalmu. Elimu yangu ni kiwango cha bachelor. Ninafundisha elimu ya msingi tangu 2010, nilianza na ngazi ya certificate mpaka sasa Degree. Kazi yangu ninaipenda sana hasa somo la hisabati lakini hainipi mafanikio. Yaani watu nilioanza nao kazi wote...
  18. A

    Vyuo vya afya kwa course za diploma

    Habari ndugu zangu,mdogo wangu matokeo yake ya form six alipata two kwa PCB,alikuwa anataka course za sayansi MD,pharmacy,medical laboratory n.k.Lkini ameomba vyuo vingi hajapata.Sasa anataka asome deploma Kwa course hizo ila vyuo ndoo hatujavijua.Mwanye kujua vyuo vinavyotoa deploma ya course...
  19. A

    Mwanangu wa miezi sita (6) anaumwa mafua hatari.

    Ndugu zanguni habari za wakati huu,mwanangu wa miezi sita (6) anaumwa mafua mpaka huruma .Naomba anaejua dawa gani naweza nunua itakayomsaidia huyu mtoto.Nitashukuru kwa majibu matakayonipa
  20. A

    Msaada kuhusu redio ya Boss

    Habari za wakati huu ndugu zangu ,kuna mtu mmoja hapa katuletea mziki aina ya boss ambayo ni bs -1831-2L anasema ni origina anaiuza 400,000 kama ukitaka mkopo ni 450,000. Anasema kuna original na feki kwahiyo hii ya kwake ni original na inaspika 5 mbili ni zile ndefu za kusimama.Naomba hapo...
Back
Top Bottom