Nafundisha private chuo sikaji kama mhadhiri ila nalipwa mpunga zaidi wa huo aloweka mdau wa UDSM
Inawezekana sana private mshahara ni negotiations kama sio muelewa wa mambo watakupa scale pungufu
Kwa hiyo inadepend na private kupata cheo ni haraka, disadvantage ya private huwezi kukutana na...
TCU imetoa third edition ambayo imekuja na mabadiliko mengi.
Moja ya hayo ni kubadili kigezo cha kufundisha kuwa 3.5 kwa undergraduate badala ya 3.8 kwa vyuo vya serikali kama ilivyokua awali lakini 4.0 kwa Masters imeendelea kua ileile
Hii itatoa fursa kwa wanataaluma wenye sifa kupata nafasi...
Mimi ni Mwalimu wa Masomo ya sayansi. Nataka nirudi shule 📘
Vipi kuhusu hii course ya Public Health nasikia inalipa.
Naomba maoni yenu wakuu. Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.