Search results

  1. A

    Kijana unayetaka kuoa au mwenye mpenzi soma haya

    Tunawachukulia jinsi mlivyo Joanah
  2. A

    Hivi "kupiga ngenga" maana yake ni nini?

    Nlisikia iyo sentensi kwenye nyimbo ya harmonize inaitwa "kushoto kulia" Harmonize alisema "sipigi ngenga, pesa ninayo", sasa najiuliza kupiga ngenga maana ake ni nini?
  3. A

    Mahakama yapukutisha mali za Bilionea Mrema, yaamuru kupigwa mnada

    Mali za mengi zipo kama alivoziacha ndege JOHN
  4. A

    Toa sababu kwa nini unaenda kununua Dada poa / malaya

    Hata hawa wadada wa mtaani wanaigiza hisia kwasababu unawapa hela, sema ww hujui tu TheChoji
  5. A

    Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

    Adam alimuhonga hawa shilling ngapi ili apate papuchi?
  6. A

    Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

    Kiuhalisia, huyo mwanaume hujampenda toka moyoni na hujavutiwa nae kingono, umemvulia nguo kwasababu ana hela na anakupa pesa za bure, huyo mwanaume asiengekua na hela usingeandika huu uzi..na wala usingemkubali Kama hii story sio chai, basi huyo mwanaume ni fala wa kiwango cha lami, miminimama
  7. A

    Hivi kwanini kwa sisi wanaume wengi, ni rahisi kumpata mdada usiemtaka, ila kumpata mdada unaemtaka inakuwa ni ngumu?

    Dada yangu, ulioyasema sio rahisi kama unavofikiria, mara nyingi kwa sisi wanaume ili tupate wanawake tunaowapenda, inabidi tukubali kupendewa hela, bcoz wanawake tunaowapenda wanakua hawatupendi, na hawana time na sisi.. Sisi wanaume tukipata wanawake tuliowapenda toka moyoni bila kutumia hela...
  8. A

    Hivi kwanini kwa sisi wanaume wengi, ni rahisi kumpata mdada usiemtaka, ila kumpata mdada unaemtaka inakuwa ni ngumu?

    Nimeshaobserve sana hili suala yaani kwa mfano mimi nisipomtamani mdada rohoni, huyo mdada lazima anishobokee, kosa ni kuwa nikiona mdada halafu moyoni nikaanza kumtamani sana na kumpenda na kumuwaza kila siku, bhasi huwa simpati. Hii haijalishi muonekano wake, mdada anaeza akawa mzuri tu, ila...
  9. A

    Jinsi nilivyopitia na kushinda wakati mgumu kimapenzi...

    Ni kawaida, inatokea hivyo bcoz ww kama mwanamke, unakua huna hisia na huyo jamaa aliekupenda, hivyo usijilaumu sana mrsleo
  10. A

    Mbona matajiri hawavai vizuri, hawapendi kula bata na wakati hela wanazo?

    Ingia Facebook kuna walokole flani, zitafte hizi akaunti, tafta Rachael Abigail Mushala Chisulo, au zipporah mushala, wanatoa shuhuda nyingi wanadai wanamuona yesu USO kwa USO ni wana maombi, ila maisha yao ni ya kawaida sana, fungu la kumi wanatoa, kama huyo rachel ana kazi ila anaishi nyumba...
  11. A

    Kwa hatua niliofikia hivi sasa naona bora nife kwa maana nimefeli hatua zote katika maisha

    Umeona eeh Shida ya mtoa mada ni vyeti vya chuo, na jinsia yake ya kiume, mwanamke ukiwa na miaka 36 huna chochote jamii haikudharau, ila mwanaume miaka 36 huna chochote basi jamii lazma ikuone boya, mm naona sometimes ni heri hata MTU uishie form 4 au darasa la 7 Ili upate excuse ya kuanzia...
  12. A

    Mbona matajiri hawavai vizuri, hawapendi kula bata na wakati hela wanazo?

    Mkuu hayo unayosema ni ya kweli na umeyaona kwa macho? Yani sirjeff_denis (ontario) anaishi kwenye hostel za wanafunz huku akilipa tsh elf 60 kwa mwezi?? mng'ato
  13. A

    Hivi kwanini ukiishiwa hela, baadhi ya watu wa karibu wanakucheka, na kukukejeli waziwazi na kisirisiri

    Nimeobserve hili swala, unakuta MTU amepiga bingo, labda kalipwa pensheni, au kashinda betting, au hustle zake zimemlipa pesa nyingi kidogo, watu wa pembeni wanaanza kusema, ahh flani kapata million 200, zile pesa zitaisha tu.. Kwamfano ikitokea umefilisika, watu wa karibu, especially marafiki...
  14. A

    Unaanzaje kumuomba msichana namba ikiwa hata urafiki naye huna?

    Her reply: Sina simu, Two things are involved, aidha- 1) Hana simu kweli: Sasa mdada asie na simu mie wa nini, hata nkimnunulia simu nina uhakika gani kuwa ananipenda na atanikubali. 2)Anayo simu: Hanitaki Paula Paul
  15. A

    Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

    Sisemei uwezo wa mwanaume kupiga mashine, nazungumzia mvuto wa mwanaume kingono, wanaume ambao wana pesa nyingi half wawe na mvuto wa kingono ni wachache mno Noelia
Back
Top Bottom