Search results

  1. M

    Lowassa azungumzia afya yake, Rushwa katika Chaguzi za CCM...

    Nimeipenda hotuba ya rais wangu Eduardo Ngoyae Lowasa! Viv Presidaaa!!
  2. M

    Daktari Pekee wa upasuaji wa watoto wachanga Muhimbili aondoka

    Watz wa kawaida hawazimudu huduma zam hospitali binafsi na ni wachache wenye bima. Kusema atafuatwa huko huko ni sawa na kuunga mkono kauli ya JK.
  3. M

    Daktari Pekee wa upasuaji wa watoto wachanga Muhimbili aondoka

    Katika kuonyesha kuitika mwito wa Rais kikwete aliyetangaza kuwa Madaktari wasioridhika na malipo kiduchu na mazingira mabaya wanayofanyia kazi hapa nchini waondoke, Daktari pekee bingwa wa upasuaji wa vitoto vichanga (paediatric surgeon) ameondoka muhimbili na kuhamia hospitali moja ya binafsi...
  4. M

    Mwenyekiti TAHLISO anagombea ujumbe wa NEC-CCM

    Mtoa taarifa tunakushukuru. Lakini kama unaijua vyema historia ya TAHLISO ni kuwa kwa sasa ni taasisi ya CCM hasa pale Ridhiwani na Kingunge walipoinunua rasmi katika ule uchaguzi mkuu uliofanyika dodoma miaka kama mitatu iliyopita. Hii ilitokana nahofu kuwa vyuo vikuu vyote vya nchi vikiwa na...
  5. M

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Huu ni ushenzi wa hali ya juu. Kazi ya udaktari na ualimu si ya kuhamisha matofali ili baadae uhesabu ni matofali mangapi mtu kahamisha. Akili ya mwalimu na ya daktari anayo yeye peke yake na ni uamuzi wake kuona aitoe kiasi gani kumhudumia mgonjwa au kumfundisha mwanafunzi. Kitendo cha mahakama...
  6. M

    Marufuku kuhesabu wamasai sensa> ukitia mguu tu njale

    Wazee wa Kimasai (MALEIGWANAN) wamepiga marufuku mtu yeyote kufika katika maboma yao kwa ajili ya sensa vinginevyo watakiona cha moto. Hii ni kutokana na ukweli kuwa serikali imepeleka wawekezaji manyara na Arusha ambao wanawaua wamasai kila siku bila hata kuchukuliwa hatua yoyote. Na hata...
  7. M

    Ndugu wa Ahmed Msangi: Maisha yetu Hatarini; Hemedi Katumiwa!

    Wataingia mikononi mwa madaktari mmoja mmoja. Yule mwenzie wa Kawe tayari yko MOI madaktari wanadili nae. Bado watampeleka na Msangi muda si mrefu!
  8. M

    Picha: Ulimboka na JK

    We acha uongo na speculation zako. Deousiku ule hakulala, alitoa taarifa kwa madaktari wote usiku ule ule na kwa watu wa human rights na polisi. Jibu alilopewa na polisi ni kuwa "Nyie msihangaike, mtamwona tu asubuhi" kwa tafsiri kuwa "mtamwona tu asubuhi mabwepande akiwa amekufa". Au na wewe...
  9. M

    Tuyavumilie mabalaa na mateso yote haya kwa kuwa tulimwasi Mungu

    Wandugu, katika utawala wa CCM awamu ya nne, Mungu alituinulia watu miongoni mwetu akatuonyesha jinsi serikali ya CCM inavyotenda maovu, akatuonyesha ufisadi mkubwa kama wa EPA, Meremeta radar nk. Katika ufisadi ule hakuna aliyekana kuhusika ikwemo serikali yenyewe. Cha kushangaza wezi walewale...
  10. M

    Tarehe alizoteswa Ulimboka, Mambo ya Kova na Mistari ya Biblia inavyosema (26:6:12) (27/6/'12)

    Haleluya! Hili neno halijatoka akilini mwako tu, bali ni Roho wa Mungu amekufunulia upate kuwaambia mataifa!
  11. M

    Mtekaji wa Ulimboka Joshua Mhindi ni mgonjwa wa akili

    Hii ni kwa mujibu wa mahojiano ya WAPO radio na wachungaji waliompeleka Joshua kituo cha polisi. Msomi ukisikia jambo lazima uliangalie analytically! Maelezo ya Gwajima tuyasubiri, hofu yangu tu ni kuwa amechukua muda mrefu kuyaandaa, na hii ina impact yake kwa atakachosema, yaani ikiwemo...
  12. M

    Mtekaji wa Ulimboka Joshua Mhindi ni mgonjwa wa akili

    Pia habari za uhakika zinasema kuwa kabla ya kutoa habari hizi, Kova kwa mkono wake mwenyewe aliwagawia hela nyingi waandishi wa habari ili wauaminishe umma kuwa aliyowaeleza ni ya kweli. Hii ni kwa mujibu wa shuhuda aliyemwona kova kwa macho yake mwenyewe.
  13. M

    Mtekaji wa Ulimboka Joshua Mhindi ni mgonjwa wa akili

    Yule jamaa wa Kova anayedaiwa kumteka ulimboka ni mgonjwa wa akili. Alikutwa kanisani anafanya fujo kwa kupiga watu na kutukana ovyo. Wakamkamata wakamfunga akawa anatoa vitisho kuwa yeye ni mtu hatari ndiye aliyemtesa ulimboka. Akapelekwa kituo cha polisi ili kanisani pawe shwari, hapo ndipo...
  14. M

    Mahakama ni kichaka cha serikali cha kujificha

    Mahakama ni kichaka cha serikali cha kujifichiaKuna imani kuwa taifa limeundwa na mihimili mitatu mikuu yaani BUNGE, MAHAKAMA na EXECUTIVE(BARAZA LA MAWAZIRI) ambalo rais ndo mwenyekiti. Tunadanganywa kuwa mihimili hii ni huru, yaani haiingiliani katika maamuzi na kazi zake. Lakini...
  15. M

    "Uchekibobu" unawaponza madaktari nchini Tanzania.

    Kuna imani kuwa taifa limeundwa na mihimili mitatu mikuu yaani BUNGE, MAHAKAMA na EXECUTIVE(BARAZA LA MAWAZIRI) ambalo rais ndo mwenyekiti. Tunadanganywa kuwa mihimili hii ni huru, yaani haiingiliani katika maamuzi na kazi zake. Lakini tunachoshuhudia si kweli. Ni vigumu mtanzania kutofautisha...
  16. M

    Mgomo wa wabunge wa CCM unaendelea

    Ule mgomo wa wa wabunge wa CCM unaendela licha ya mkwara wa spika kuwa hakuna kutoka buneni bila idhini yake na waziri mkuu. Sasa bajeti zote zinajadiliwa na kambi ya upinzani na amebaki Lukuvi tu kutetea hoja. Kama unabisha, angalia bunge sasa hivi!
  17. M

    Mwenyekiti wa MAT atakiwa kuripoti polisi

    We POLISI lazima uwe updated. Muda wote wa sakata hili hujui nani kaitisha mgomo!? Au mpaka ulishwe mdomoni. MAT si chama cha wafanyakazi na walioitisha mgomo ni wafanyakazi wa hospitali za Umma! Haya meza hiyo, nimeshakutafunia!
  18. M

    Mwenyekiti wa MAT atakiwa kuripoti polisi

    Hizi ni habari zilizotufikia hivi punde kuwakuwa Mahakama kuu division ya kazi imetoa kibali cha kukamatwa mara moja kwa Rais wa MAT Dr. Namala Mkopi. Na kwa sasa anaelekea Central Police Station Kujisalimisha. Kosa ni kuwa Hakutoa tangazo la kusitisha mgomo. (Ikumbukwe mgomo hakuuitisha yeye...
  19. M

    Mgomo wa wabunge hasa wa CCM

    . Habari hizi zina ukweli mkubwa ndani yake. Na leo limetolewa tamko bungeni kuwa mmbunge yeyote hapaswi kuondoka bungeni bila ruhusa ya spika na waziri bila ruhusa ya W.Mkuu!
  20. M

    Mgomo wa wabunge hasa wa CCM

    Umeonaee!! Wengi wako mjini wanazurura zurura tu, hawana la kufanya maana wameshaambiwa ni lazima bajeti ipite na ole wake atakayeipinga!! Pia wameambiwa kuwa madaktari wanataka kuiangusha serikali (eti mgomo wao una siasa nyuma yake), ole wake anayewaunga mkono na kuletaleta hoja za kutaka...
Back
Top Bottom