Search results

  1. Billy philip

    Mwenye taarifa zozote kuhusu mikopo HESLB

    Duh.hatari sana.kweli aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa
  2. Billy philip

    Mwenye taarifa zozote kuhusu mikopo HESLB

    Wadau tujuzane juu ya hawa Loan Board kuhusu wale appellant. Maana hatujui kama kuna batch nyingine tena au kama haipo. Maana watu bado tupo njiapanda.
  3. Billy philip

    Jamani vipi kuhusu hizi batch za HESLB

    Hivi kama chuo kikiweka dedline siku name za usajili huwa wanaweza Ku extende
  4. Billy philip

    Jamani vipi kuhusu hizi batch za HESLB

    Bado hiyo batch .mbona bado kwenye account hakuna chochote bado in analysis on progress
  5. Billy philip

    Jamani vipi kuhusu hizi batch za HESLB

    Kwani hiyo batch ya NNE wamwsema inatoka link?
  6. Billy philip

    Jamani vipi kuhusu hizi batch za HESLB

    Nimeona jana kwenye habari kiongozi wa HESLB akisema tayari ametoa mikopo kwa wanafunzi zaid ya 45 elfu, na kundi lililobakia kupewa ni dogo sana hasa kwa wale ambao ndiyo wanafanya marekebisho ya dosari zao. Sasa swali ni kwamba inakuwaje kwa mtu ambaye tangu first batch anaandikiwa "complete...
  7. Billy philip

    HESLB vipi kuhusu batch two mliyoahidi?

    Batch three tayari imeshatoka wadau angalieni status kwenye account zenu.japo wengine bado NATO imetutema
  8. Billy philip

    Mwenye tetesi kuhusu batch three

    Wadau naomba kujua kama kuna mdau wa chuo cha takwimu kile cha pale Changanyikeni EASTC tuwasiliane. Pia vipi kuhusu tetesi za batch three?
  9. Billy philip

    Maelfu ya watoto wa wanyonge wenye Division one wakosa mkopo HESLB

    Ukiona abilia anashabikia kupanda gari bovu ujue ndani kuna mzigo wake
  10. Billy philip

    HESLB vipi kuhusu batch two mliyoahidi?

    Sasa hawa jamaa inabidi tumuulize waziri mwenye dhamana maana kama wao walijinadi kuwa watahakikisha mikopo inawafikia walengwa kabla ya vyuo kufunguliwa na vyo ndo hivyo tayari kesho watu wanaripoti .sasa inakuwaje tena kuendelea kusema bado kuna batch zinaendelea hawaoni kama kuna watu...
  11. Billy philip

    Tuliokosa mkopo awamu ya kwanza na ya pili wenzangu mnajiskiaje

    Vipi kuhusu muda wa usajiri maana pia huwa kuna time limit ktk zoez LA usajiri maana pia usajiri ukifungwa wakati we haupo chuoni bado hata mikopo ukitoka ww huwezi kwenda kusajiliwa maana muda unakuwa ulishakwishs.
  12. Billy philip

    Tuliokosa mkopo awamu ya kwanza na ya pili wenzangu mnajiskiaje

    Kwani batch ya pili tayari mbona hawajatangaza wala kupost kwenye website yao
  13. Billy philip

    Ushauri: Utafanya nini kama umekosa mkopo na muda wa chuo umefika?

    Kuna wakati hawa jamaa wa loan bord wanafanya mambo ambayo hatuyaelewi maana kwa changamoto kama hizo lazima wahusika wazijue ili watu wasiwe wanakwama kama hivyo ili hali kwa tafsiri halisi mkopo ni deni ambalo lazima ulipe bila kujalisha ni mtoto wa maskini au tajiri .kumbuka Leo ni kukopeshwa...
  14. Billy philip

    Bodi ya Mikopo(HESLB) waachia majina ya wadaiwa sugu kuanzia mwaka 1994 hadi 2014

    Jambo hili cyo ww peke yko mwenye stutus hiyo.hata mm iko hivyo.
  15. Billy philip

    HESLB vipi kuhusu batch two mliyoahidi?

    Jamani hivi hawa Loan Board mbona wanazingua? Walisema kuwa batch two watatoa kabla ya tarehe 25. Mbona kimya?
Back
Top Bottom