Search results

  1. LydEar93

    JamiiForums naomba mnipokee

    Nimekupa jibu hapo chini naomba hoja kwa hoja useme tena mimi huyu au sio
  2. LydEar93

    JamiiForums naomba mnipokee

    Demu wa south au sio
  3. LydEar93

    JamiiForums naomba mnipokee

    Acheni uongo na uzandiki wapuuzi msijua vitu mimi nimtanzania na na sina akaunt instagram na facebook akaunti yangu ina miaka 5 huyo mdada simjui na wala sio mimi ....account yangu ni fb tu na anaesema ni muafrika kusini tuangalia account hii na picha hizi
  4. LydEar93

    JamiiForums naomba mnipokee

    Asante, Najua
  5. LydEar93

    JamiiForums naomba mnipokee

    Mimi ndio huyo na sio mwingine so sijajakumtamanisha mtu maana hata mkiingia hapa mtaishia kuchunwa hela za vocha tu bora mtulie
  6. LydEar93

    JamiiForums naomba mnipokee

    Nimekuwa nasoma kupitia ukurasa wao wa instagram na facebook kwetu
  7. LydEar93

    JamiiForums naomba mnipokee

    Hahahahaha watakutana na block au huku hakuna?
  8. LydEar93

    JamiiForums naomba mnipokee

    Mimi ni huyu nisifananishwe na watu siwajui jamani
  9. LydEar93

    JamiiForums naomba mnipokee

    Maamuzi yako kulazimisha naweka utambulisho waku wa sura basi
  10. LydEar93

    JamiiForums naomba mnipokee

    Mimi ni Lydia sio Dennis sijui demis
  11. LydEar93

    JamiiForums naomba mnipokee

    Asante sana nimeshakaribia
  12. LydEar93

    JamiiForums naomba mnipokee

    Za leo wakubwa kwa wadogo mimi lydia james leo nimejiunga na mtandao huu kwa lengo la kukuza ufahamu katika mambo mbalimbali naomba mnipokee kama mgeni wenu tushirikiane
Back
Top Bottom