Search results

  1. F

    Maiti zaidi za wana CHADEMA zaokotwa Igunga!

    Kulalamika hakusaidii, toeni elimu kwa ndugu zenu watanzania wasiotaka kupiga kura, kwani hawa majambazi kwa kiasi kikubwa huwa wanashinda ktk chaguzi kwa sababu WAPINZANI WA UTAWALA WAO WALIOWENGI WANASUSA KUPIGA KURA HIVYO KUTOA NAFASI KWA WACHACHE WSIOELEWA KUWAWEKA MADARAKANI. angalia...
  2. F

    Maajabu ya nafasi za kazi UDOM... Kuna nini hapa?

    Uko sawa mtu wangu, lakini kama mtu anatoka mbali sana na kahela kenyewe hana ASIJISUMBUE kwani safari hii atakwenda kupata uzoefu tu, hawa jamaa nawafahamu kwani wamewahi kuajiri watu dili lilipo wekwa wazi wasio na sifa wakakimbia kazini wenyewe kulinda heshima za waliowaweka
  3. F

    Maajabu ya nafasi za kazi UDOM... Kuna nini hapa?

    Data umepewa kama unataka analysis fanya mwenyewe. Naona wewe ni mzito kuelewa jamaa anamaanisha ilikuwa haina haja ya kuita watu wote hao kwani mtawala MWENYE AKILI anafanya uchambuzi wa awali kupata cream anayotaka then hiyo cream inashindanishwa yenyewe kupata watu wanaohitajika. HAWA JAMAA...
  4. F

    kweli udom awaja waandaa watu wao na sisi tunaenda kuwasindikiza?

    ah! hawa viongozi wetu wa juu nao hamnazo, kwani uongozi wa UDOM unajulikana kuwa UMEOZA KABISAAA kwni kuna wakati secretari alikuwa analipwa kuliko mwalimu hadi ukatokea mgomo, that means walikuwa wakifisadi kuanzia JUU
  5. F

    Kazi za Tutorial Assistants, Lecturers, Associate Professors na Professors wameishaitwa UDOM?

    jamani huko UDOM kuna ubabaishaji kupita kiasi, nimeomba mara mbili bila majibu na kati ya hizo mojawapo nilipeleka na kukabidhi barua mimi mweyewe, cha ajabu nilipofuatilia baada ya muda mrefu kwa kutumia mtu niliyemfahamu too late ilionekana katika barua zilizopokelewa yangu haikuwepo, hii ina...
Back
Top Bottom