Search results

  1. nizakale

    Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

    Pwani ndio ni mojawapo ya mikoa maskini Tanzania
  2. nizakale

    Ramadhani ile haipo

    Sorry ni Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai
  3. nizakale

    Ramadhani ile haipo

    Yesu ndio Kila kitu.
  4. nizakale

    Makonda nilikuonya ulipokuwa Mwenezi hukusikia, sasa huko Arusha sikuonyi tena ila utakuja kunikumbuka

    Wana nini hao ? Arusha overated hizo bangi zao zitatulizwa tu.
  5. nizakale

    Makonda nilikuonya ulipokuwa Mwenezi hukusikia, sasa huko Arusha sikuonyi tena ila utakuja kunikumbuka

    Kwani Arusha Kuna nini pale. Acha vitisho wewe. Huo usera ndezi wa Arusha ndio umtishe mteule wa Rais ! Arusha pa kawaida sana tu.
  6. nizakale

    Ramadhani ile haipo

    Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai
  7. nizakale

    Ramadhani ile haipo

    Bila kumpokea Yesu Kristo utaendekea kulalamika. Yesu ni njia, kweli na uzima, mtu haendi kwa Baba ila kwa njia ya Yesu tu.
  8. nizakale

    Mbowe kijana wa CCM kwa kivuli cha upinzani

    Wewe ndio umejua Leo ?
  9. nizakale

    Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

    From my inner heart ninakuunga mkono kabisa. Mimi nilipoona Mzize kaanza badala ya Musonda nikajua Leo kazi ipo. Pamoja na Mzize kufunga goli lakini tayari alikuwa amekosa magoli mawili ya wazi kabisa. Pacome alipoumia mtu sahihi wa kuingia alikuwa ni Okra lakini dah, akaingizwa Guede ! Hapo...
  10. nizakale

    Tanzania haipo katika Orodha ya nchi zenye nguvu kijeshi duniani 2024

    Nigeria wangekuwa na nguvu za kijeshi wangesumbuliwa na na magaidi ?
  11. nizakale

    Makao makuu ya wilaya ya Iramba, Mwigulu anahusika

    Yuko sahihi kabisa. Kiomboi Iko pembeni sana. Misigiri panafaa kuwa makao makuu ya Wilaya ya Iramba. Hata Wilaya ya Kwimba wafanye haraka mchakato wa kuhamisha makao makuu ya Wilaya kutoka Ngudu ambako ni pembeni kwenda Hungumalwa kwenye barabara kuu.
  12. nizakale

    Waziri wa Afya kazi imemshinda tishio la Hospitali binafsi kuikataa NHIF

    Hospitali binafsi ni jipu. Mgonjwa unapewa dawa nyingi zingine hata hazihitajiki lengo wao ili wapige pesa.
  13. nizakale

    Wastaafu wasirudishwe kwenye ajira

    Unasema kimafumbo yule wa Mhimbili
  14. nizakale

    Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

    Duh, huyu atastaafu lini ?
  15. nizakale

    Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

    Yule ni Karibu mwenezi ulitaka afanyeje wakati Boss wake Nchimbi alikuwa pale ?
  16. nizakale

    Wasichana wa kiislamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma, inayosadikika kupewa elimu ya dini

    Naijua sana historia ya uhuru wa Tanganyika, lakini narudia Tena wakati wa TAA na hatimaye kuundwa kwa TANU mwenye elimu ngazi ya Digrii alikuwa ni Kambarage tu na mwenye hela kuwazidi wote alikuwa John Rupia. Wengine walikuwa na elimu ya kawaida na hela kiduchu.
  17. nizakale

    Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    Hata wewe inaelekea ni Tapeli tu, kwanini utoke nao posta Hadi huko ? Hii ni chai tu.
Back
Top Bottom