Search results

  1. K

    SoC02 Jinsi sensa ilivyo badilisha maisha mtaani kwetu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. K

    Naomba kueleweshwa

    Habari Wana jamii Naombeni kueleweshwa hili swali nililoulizwa ila sijaelewa maana yake Iko hivi.. niliagizaga mzigo Sasa nilivyoenda kulipia nikakutana na rafiki angu wa zamani kumbe anafanya pale akasoma karatasi yangu akaniuliza unatumia jina lako? Nikamwambia ndio basi ikaishia hapo sasa...
  3. K

    Naomba mnipe kazi, Mimi ni dada fundi nashona nguo za aina zote

    Habari za leo JF members, Happy new year. Mimi ni dada fundi nashona nguo za aina zote nikimaanisha za kike na kiume. Nashona kwa ustadi wa hali ya juu. Naombeni support yenu ndugu zangu kama ni kitenge au kitambaa. Niko Dar Kinondoni, wa mkoa tuma vipimo. Kuna wale ambao mko busy na kazi...
  4. K

    Naomba mnipe kazi, Mimi ni dada fundi nashona nguo za aina zote

    Habari za leo JF members, Happy new year. Mimi ni dada fundi nashona nguo za aina zote nikimaanisha za kike na kiume. Nashona kwa ustadi wa hali ya juu. Naombeni support yenu ndugu zangu kama ni kitenge au kitambaa. Niko Dar Kinondoni, wa mkoa tuma vipimo. Kuna wale ambao mko busy na kazi...
  5. K

    Yaani kumzuia tu mke wangu kwenda Moshi nimezua ugomvi!

    Sa kwann hutaki aende na unajua wachaga wanapenda kwenda kwao dec?
  6. K

    Kicheko wa Efm achukuliwa Clouds

    Mimi pia nimemshangaa yaani kajimaliza tena kwa majina mh
  7. K

    Sipendi wanawake ambao Makalio yao hayatikisiki

    Hata mimi sipendi kiukweli tako gumu km jiwe
  8. K

    Kadinda atoa wanawake udenda

    Huyo mchicha mwiba nae anataka kiki tu huo mguu autoe wapi!mcheki minjono yake ovyooo
  9. K

    Kajala: Nampenda sana Wema, ila bado ana chuki na mimi

    Wema akimsamehe akamfanya shoga nitamdharau zaidi ya sasa!
  10. K

    Mama Kanumba, Mama Lulu kimenuka

    Nahis mama k anataka awe anahudumiwa na lulu km si walivyokubaliana kipind kile cha kesi ss akisikia au kuona lulu yuko vzuri mapati halafu hamkumbuki kwa chochote ndio anapoumia na kuanza manung'uniko
  11. K

    Duuh! Kupata umaarufu kweli kazi

    He makubwa haya !!naona aibu Mimi jamani sugu umemtoa wapi hiki kimeo uwiiii
  12. K

    Faiza Ally, saga continue

    Huyu Dada simwelewagi yuko kama amedata hv?yaan sugu aliona mbali sn Kwa huyu ajuza akajisepea zake
  13. K

    Jackline Wolper akifanya mazoezi

    Hilo ndo kubwa kigogo,haha hana cha zoezi huyo anaonyesha michoro na kiuno chake kipana km pazia
  14. K

    Zamaradi acha makelele, hamuwezi ku-control kila kitu

    Ni kiherehere huyu demu yaan kila kitu anajifanya anajua nikisikilizaga Leo tena ananichefuaga anatakaga aongee yy tu ndo anajua zaid na kutupia kiswangilish kwenye maongez yake!anapenda kudakia mambo Leo tena
  15. K

    Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

    We we ndo wale wale zumbukuku nilichoandika sijakurupuka
  16. K

    Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

    Jamaa mshamba kinoma halafu anashobo mno na mastar yaan ukiwa star yy ndo anakuona mtu tena wa maana
  17. K

    Matumizi ya ARV

    Ina maana madr hamna humu wala watumiaji wa hizo dawa maana kimya hamjachangia
  18. K

    Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima amrithi!

    Bibi bombaaaaaa hatukutakiii unaonekana mama kabisaa au umetumika saaaana?tupishe bibi wee
  19. K

    Nani kama mama ni dedication kwa Sitti Mtemvu

    Bora kavua nimepoa sasa loh siti subiri mashindano ya bibi bomba kwa babu wa kitaa mwaya naona taji unalipenda na unalitaka haswaa
  20. K

    Rose Ndauka: Sifagilii tena Wanaume

    Mtu mwenyewe wa kigogo dampo atajuaje mawigi ya ukweli uchafu kazoea
Back
Top Bottom