Search results

  1. Nyaluhusa87

    Msaada kwenye hotspot ya iPhone 4s

    Habari zenu wakuu!! Natumia iPhone 4s na nimeupgrade iOS mpaka 7.1.Nilikuwa natumia vizuri tu hotspot mpaka juzi sijui imejifuta au nimefuta bila kujua lakini haipo kwenye setting,nimejaribu kutafuta solution kwenye internet kila nalojaribu nimeshindwa mpaka nime reset all setting na vitu vyote...
  2. Nyaluhusa87

    Webcam for dell laptop

    Habari zenu wanaJF! Mimi nina laptop aina ya dell aina ya insprion d5010, ina 320 gb hdd, 3gb ram na ni 64 bits, nimejaribu kudownload webcam ya hiyo dell nimeshindwa. Naomba mnisaidie niweze kupata driver zake. Ninatumia window 7 professional.
Back
Top Bottom