Search results

  1. T

    Nawafananisha Wafanyakazi na Wajumbe fulani hivi

    Yaani kuanzia zoezi la Uchaguzi limeanza nimekuwa nikiwahoji wafanyakazi kijanja janja kujua kama watampigia kura nani - kuanzia Urais hadi udiwani. Kwa wafanyakazi kama 35 ambao nimewahoji kata ya Idukilo kwa kweli wanagugumia moyoni na kichini chini tu. Wote kwa URais kwa kweli wamekichoka...
  2. T

    CCM yangu tunazidi kuonesha ushamba! Sio kupigiwa kura tu hata kukihama CCM sasa nipo tayari maana tunachukiwa kweli!

    Ndiyo maana tumekuwa tukiitwa "watawala washamba" - hii ni kweli kabisa kabisa! Tena ninashuhudia jinsi tunavyochukiwa - hatuoneshwi wazi lakini CCM wenzangu ukweli ni tunachukiwa kweli kweli! Tunajaribu kuminya uhuru wa vyombo vya habari - lakini simu hizi ndiyo zinatumaliza zaidi. Watu...
  3. T

    Uchaguzi 2020 Kuna dalili CCM itawakata wengi walioongoza na hawataweza kwenda upinzani

    Inawezekana kabisa majina ya wateule wa CCM yakawa ya mwisho kabisa kufikishwa Tume ya Uchaguzi ili kuepusha wale ambao hawatakiwi wakishakata wasihamie upinzani. Kuna nijadala inaendelea kuwa hao watakaokosa na huku wameongoza upinzani wameshajiwekea mazingira mazuri ya kuhamia upinzani na...
  4. T

    Tundu Lissu, jambo lingine ambalo hatukuwahi kuliona enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hili hapa, usiache kulisema kumsaidia kampeni JPM

    Enzi za Nyerere hamna mwaka ulipita bila nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi kufanyika. Inasemekana kuna wakati Nyerere mwenyewe aliwahi kujipunguzia mshahara kidogo lakini nyongeza ya kawaida ilifanyika. Sasa Tundu Lissu katika hotuba zako kumbuka sana kuendelea kuorodhesha yote mageni...
  5. T

    Uchaguzi 2020 Kila siku ninamwomba Mwenyezi Mungu Tume ya Uchaguzi ya CCM isimteue Tundu Lissu!

    Uamuzi huo ndiyo utakuwa mwanzo wa kuufanya upinzani kushinda Uchaguzi wa Mwaka huu. Kaijage shime shime kazana Jaji wangu - hakikisha Tundu Lisu hapiti. Kamanda Sirro nilikuelewa ulivyosema kuwa utampatia Tundu Lissu ulinzi kana kwamba una uhakika atateuliwa. Kama ndivyo big up kwako! Lakini...
  6. T

    Magufuli alijitofautisha, Kikwete anajaribu kusawazisha kumwokoa, Tundu Lissu anamtetea!

    Inawezekana nawe umegundua trend hii. Kila JPM akiongea kuelezea yaliyofanyika anaelezea kana kwamba yamefanyika kwake. Amekuwa hata akidiriki kutumia maneno mabaya kwa waliomtangulia mfano "uchumi ulikuwa mikononi wa majizi", "Waliishi kama malaika sasa wataishi kama mashetani", "mimi huwa...
  7. T

    Uchaguzi 2020 Kutokana na kunyongewa Vyombo vya Habari, Tundu Lissu kampeni zaidi ya nyumba kwa nyumba inahitajika

    Kwa kinyongo cha Serikali hii hadi kuvitishia na ama kuvizuia Vyombo vya Habari kutangaza habari za za Tundu Lissu inabidi CHADEMA wabadili upepo wao wakati wa kampeni. Helkopta itumike kidogo - lakini basi la Nyalandu na gari ndogo zinazoweza kupenya vijijini kwenda nyumba kwa nyumba ndiyo...
  8. T

    Nyalandu basi lako litatumika kutafuta wadhamini wa Lissu?

    Ni MCCM haswa mie. Hata hivyo ninaomba kwa heshima na taadhima Nyalandu fanya kama ulivyofanya mara ya kwanza - zoezi la Lissu liwe bora zaidi. Lile basi libadili liandikwe jina la Tundu Lissu - tembea naye Lissu kutafuta wadhamini. Msiache kuja Shinyanga - hata mkiishia mjini mimi na wenzangu...
  9. T

    Wanataka kuufuta Mfuko wa wafanyakazi wa WFC, hivi Serikali haioni hata aibu?

    Wewe ni Waziri mzuri ndiyo. Unajitahidi kufanya kazi zako vizuri - hulali usiku na mchana ndiyo maana ukafanikiwa hadi kuifukuza corona. nchini mwetu. Uko vizuri sana. Mwanzoni mwa juma lililopita Tarehe 21 Julai 2020 baba mdogo wangu anayefanya kazi mgodini akawa ananipiga stori kuwa Serikali...
  10. T

    Baada ya Uchaguzi huu, mwaka 2025 wapiga kura wataongezeka sana

    Maana halisi ya nguvu ya umma sasa imeonekana. Uwazi wa kura wanazopata wagombea katika hatua ya Vyama inahamasisha sana na wananchi tunaona maana ya kura sasa. Vyama vyote ambavyo kwa vyovyote vile vitabadili wagombea na kuwaacha wale ambao wanaonekana vinara wanatakiwa wafanye hivyo kwa...
  11. T

    Rais Magufuli jifunze kuwa vetting ni muhimu sana kabla ya kugawa cheo

    Leo nakuomba sana sana ukumbuke kuwa wale wapinzani wote mliowanunua na kuwapa mavyeo au kuwashindisha kwenye uchaguzi wa marudio hawakuwa wamefanyiwa vetting ama ya kiserikali ama ya kichama. Mngekuwa mmewafanyia vetting watu kama akina Protabas Katambi, Kafulila, Cecil Mwambe, Karanga, Mollel...
  12. T

    Uchaguzi 2020 Membe au Lissu msisahau kuusema uozo wa "undugunaization", tribalism na nepotism wakati wa Kampeni

    Juma hili hili mtoto wa JPM - Jesca Magu amehamishiwa REA kwenye mishahara mizuri wakati juzi JPM mwenyewe alimsifia Daktari mmoja wa Falsafa aliyekuwa akifanya CCM kuwa alikuwa anapata mshahara wa shilingi laki 5 cha ajabu Magu mwenyewe bila kufuata taratibu amemhamishia mwanae sehemu yenye...
  13. T

    Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

    Haijulikani sababu ni zipi zimeletekeza watumishi wa Umma ndiyo kuwa wengi katika kutia nia kuliko wafanyabishara na wafanyakazi wa Sekta Binafsi. Kuna wengine ambao waajiri wao wamegoma kuwapitishi ruhusa. Kuna wengine kwa kuona mizengwe ya viongozi wao kuhusu kuomba ruhusa wameamua kuondoka...
  14. T

    Hii 'tumbua teua' sio gharama kwa Nchi? Kama sio mbona Mkuchika na Ndumbaro hamfanyi hivyo?

    Rais wangu hujali gharama, anatoka mtu unaweka mtu. Hata kama katoka ncha nyingine ya nchi hujali gharama za kumhamisha. Unawapa ulaji. Hasa wale watumishi wa umma wenye elements za kiCCM. Safi sana! Aliyechukua nafasi ya Katambi wa Dodoma anatoka Geita, anakuja kulipwa mahela na maslahi...
  15. T

    Rais Magufuli unawaonesha cha kuwatendea Watumishi wa Umma lakini Ndumbaro na Mkuchika wao hawajui kuitenda hiyo haki hata sasa

    Rais wangu hujali gharama, anatoka mtu unaweka mtu. Hata kama katoka ncha nyingine ya nchi hujali gharama za kumhamisha. Unawapa ulaji. Hasa wale watumishi wenye elements za kiutumishi. Safi sana! Aliyechukua nafasi ya Katambi wa Dodoma anatoka Geita, anakuja kulipwa mahela na masalahi mengine...
  16. T

    Uchaguzi 2020 Hesabu nzuri inachezwa - Wapinzani kupata zaidi ya 50% ya Wabunge

    Nimempenda sana Membe. Ukweli nakipenda sana Chama changu cha Mapinduzi yaani CCM. Lakini pia sioni ubaya wa upinzani na zaidi Membe kanibadilisha. Nilikuwa nikimpalilia mno Tundu Lissu lakini kwa sasa ni Benard Membe na Tundu Lisu ndiyo wanashindania kura yangu. Ninajua sana kuwa ni kura moja...
  17. T

    Na CCM yangu tulivyofanya kufuru Dodoma kuanzia Tar 09 hadi 12 Julai, 2020

    Ndugu yangu aliyeshiriki vikao vya Chama changu Dodoma akitokea Shinyanga ametamba kwa majidai ya KiSukuma kuwa CCM walifanya kweli Dodoma. Walianza na kuwaita wafanyabisahara wote wa Hoteli na Loji wakaamrisha kuwa kuanzia Tarehe 10 hadi 12 Julai vyumba vyote vya Hoteli na Loji zao wasipokee...
  18. T

    Uchaguzi 2020 Kadri siku za Kampeni zinavyojongea kufika kiroho changu kinaongezeka kudunda ile mbaya!

    Acha kabisa! Watu wanajipanga na hoja maridhawa. Inaonesha kabisa CCM wataula wa chuya kwa kuzuia ile mikutano. Unajua ni kwa nini nasema hivyo? Ni kwamba watu washaona kuwa kwa muda mrefu wao ni wanyonge hawana nguvu tena wasemee wapi na wasikie kutoka wapi na kwa nani. Wakati wa Kampeni ule...
  19. T

    Uchaguzi 2020 Ya Sonjo na mie kumpigia kura Membe hata kama nitakuwa peke yangu

    Majibu yalimtoka Mkulu kujibu hoja ya MNEC kutoka kama Kanda za Nyanda za Juu ilikuwa inamgeukia Mkulu mwenyewe. Kwamba mtu yeyote ana nafasi ya kujiunga Chama chochote cha sisasa na ndiyo maana wale wapinzani walikuwa na haki ya kujiunga na CCM. Mkulu hapo naona hakuwa anajibu hoja - hoja...
  20. T

    Uchaguzi 2020 Faida zitatazotokana na upinzani kumweka Tundu Lissu au Bernard Membe kugombea Urais

    Hata kama hakutatokea Vyama vya Upinzani vikashinda lakini kutakuwa na faida kubwa sana kati ya hawa wawili wakipewa kipaumbele cha kugombea Urais hapa nchini. Kwangu mimi wote wakigombea ni sawa au hata mmoja kati ya hao ni sawa. Ukiacha hao hata Zitto Kabwe pia inagwa sijamtaja ila ana uwezo...
Back
Top Bottom