Search results

  1. T

    Mitihani kwetu sisi wachora tatoo

  2. T

    Game live! Brazil vs Argentina

    Wakuu kwa wale wenzangu Na mimi tuliotoroka job mapema, muda huu kuna game inaanza live! International friendly, Brazil vs Argentina! Supersport 3!
  3. T

    John Heche naye kanunua cheti??

    Wakuu suala la vyeti naona Ni tatizo kubwa kwa viongozi wetu wengi! Sio wa chama tawala tu bali hata wa upinzani pia! Kuna tetesi Kama zile zile zinazomuandama mkuu wa mkoa wa Dar Es salaam, mh Paul Makonda Na zilizomuandama waziri wa mambo ya ndani Mh Mwigulu, sasa tuhuma zinahamia upande wa...
  4. T

    Msaada: kukosa hamu ya kugegeda

    Wakuu niko kwenye mtihani mkubwa ambao sijui chanzo chake ni nini! Nimepatwa na tatizo, nakosa msisimko wa kugegeda kwa muda wa miezi miwili sasa, Leo nilikuwa na demu hata yeye akanishangaa na kuniambia mbona huna nyege? Ukweli ni kwamba najijua niko vizuri kitandani kwani kama miezi mitatu...
  5. T

    Walisema hataweza kuleta mabadiliko ndani ya mfumo, sasa anatekeleza ilani yao

    Ndugu zangu wana jf! Hawa marafiki zetu wa upinzani kwa maoni yangu ni watu wa kutafuta tafuta sababu za kujitetea! Wakati CCM inampitisha Magufuli kuwa mgombea urais, jamaa wakajaribu kuja na hoja kwamba hata aje malaika hataweza kuleta mabadiliko Kwasababu ya mfumo uliopo!! Hoja yao ikawa...
  6. T

    The most powerful man on the world

    Wapendwa habarini za jumapili!? Weekend huwa napenda sana kuangalia movies zikiwemo series mbali mbali! Sasa kuna series inaitwa "the fixer" inaonyeshwa MNet movies! Kwenye hii series kuna jamaa ame igiza kama Raisi wa marekani na katika moja ya vipande anaigiza akiwa na mkewe wa kiwa...
  7. T

    NMB mtimueni Meneja wa Tawi Handeni

    Wakuu leo niko Handeni huku Mkoani Tanga kwenye mishe zangu! Kutokana na business nilizofuata ikanilazimu niende bank ya NMB kufanya transaction! Bahati mbaya nikiwa kwenye foleni nikisubiri kuhudumiwa umeme ukakatika! Huwezi amini huduma zilisimama eti tusubiri hadi umeme urudi! Sijawahi...
  8. T

    FOB & CIF ufafanuzi

    Wakuu hivi ukiagiza Gari kuna hizi costs! Swali langu ni je CIF costs zina include FOB costs? Au CIF ni costs nitakazo lipa baada ya kulipia FOB? Asanteni!
  9. T

    Bidhaa toka China

    Wakuu naomba kwa wale wenye uzoefu mtupatie mauzoefu hapa! Huko China kuna bidhaa gani ambazo naweza kununua na nikaja bongo nikapiga hela ya maana? Unafuu wake ukoje kwenye isue ya kodi?
  10. T

    Msamaha wa kodi kwa makampuni

    Wakuu naomba ufafanuzi Kwa muda sasa nimesikia kwamba kuna makampuni ambayo hupata nafuu ya kodi( Tax holiday) lengo likiwa ni kuvutia uwekezaji nchini! Naomba kuelewa katika hili 1. Ni makampuni yenye sifa zipi ambayo hunufaika na Msamaha huu? 2. Ni kwa makampuni ya kigeni tu au hata ya...
  11. T

    Hebu nipatie uzoefu hapa

    Wakuu niko interested ku nunua share za bank ya CRDB, na nimekuwa nikizifuatilia kwa ukaribu kwa wiki 3 sasa. Japo kuwa zimekuwa zikipanda hadi Tshs 495 wiki ya jana, lkn wiki hii ziko kwenye 470 jambo ambalo sio zuri kiuwekezaji! Lkn bado naamini on the long run, zitapanda so bado nataka...
  12. T

    Lugha ya Kiarabu

    Wana jf wenzangu naomba mnisaidie ni wapi nitaweza kujifunza lugha ya kiarabu?? Kulingana na nature ya mishe mishe zangu, kuna uelekeo wa kufanya biashara na partners ambao wengi wao lugha yao pekee ni Kiarabu! Sasa mimi ni mweupe kabisa katika hiyo lugha! Wapi nitajifunza hata basics tu??
  13. T

    Vijana wa Matolori Ubungo Bus Terminal na 'vipaseli'

    Jana nilikuwa nasafiri kwa bus kwenda Mkoani. Wakati nasubiria muda wa kuondoka, nikawa nabadilishana mawazo na baadhi ya vijana wanaobeba Mizigo kwa matolori. Mara likaingia basi la Meridian kutoka Mkoani Arusha, abiria wakashuka akiwemo binti mmoja wa miaka Kati ya 17-18 hivi. Inavyoonekana...
  14. T

    CHADEMA kushindwa kusimamia agenda zao

    Wana JF kwanza niwaombe wale wote ambao labda walijiunga na mtandao huu kwa bahati mbaya basi wausome tu huu uzi wasichangie. Wawaachie wale wenye uono mpana wajaribu kutoa maoni yao pamoja kudadavua zaidi ili labda kama nitakuwa nimekosea nipate sababu yakujirekebisha. Ni kiri kwa uwazi kabisa...
  15. T

    Chadema kushindwa kusimamia agenda zao

    Wana jf kwanza niwaombe wale wote ambao labda walijiunga na mtandao huu kwa bahati mbaya basi wausome tu huu uzi wasichangie. wawaachie wale wenye uono mpana wajaribu kutoa maoni yao pamoja kudadavua zaidi ili labda kama nitakuwa nimekosea nipate sababu yakujirekebisha. Ni kiri kwa uwazi kabisa...
  16. T

    Wapi nitapata standby generator?

    Wakuu kuna biashara nafungua ila inahitaji umeme masaa 24/7. Hitaji langu ni kuwa na standby generator yenye uwezo wa kuendesha Majokofu matatu, TV, kiyoyozi pamoja na taa! Wapi naweza kuipata na kwa bei gani?? Naomba msaada kwa hili!!
  17. T

    Huyu itabidi asubiri sana

    Hii nimeikuta sehemu! wanasema picha huongea zaidi ya maneno:smile:
  18. T

    Nina Makosa kweli hapa?? Nishauri tafadhari!

    Wana MMU, salamu kwenu! Hii ni thread yangu ya kwanza kwenye kwenye hili jukwaa, imenilazimu kuja kuomba ushauri kwa hili lililonikuta. Issue iko hivi, Mwaka 2010 nilikutana na binti mrembo mmoja hapa mtaani kwetu, alikuja kukaa kwa mama yake Mdogo hapa mtaani. Binti alikuwa mrembo kweli...
  19. T

    Kwaheshima zote!

    Wakuu kwa heshima zote nimejiunga na jamii ya wana-great thinkers. Naombeni ushirikiano wenu kwa kipindi chote tutakachokua pamoja. Asanteni!
Back
Top Bottom