Search results

  1. T

    Wahudumu wa baa, hotel acheni kubana chenji za wateja hata kama ndogo

    Mkuu chenchi ni fidia ya kushika tako ukiwa bar.
  2. T

    Ushuhuda wa ndoa ya wazazi wangu, baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama amekuwa ndio kila kitu

    Acha hizo, hakuna cha trust wala nini! Mwanaume akifulia hakuna amani tena! Kifo nje nje kwa stress sababu kuu ni mwanamke! Mimi niliponea kiduchu kufa kabla sijapindua meza
  3. T

    Msaada ameyakanyaga Bank ya ABC

    Msiba umeisha, chukua hela fanyia issue zingine za maendeleo, kuna shida hapo?
  4. T

    Mume wangu kanitukania Mama yangu, naombeni ushauri jamani

    Hata mimi ningetukana kama huyo mumeo
  5. T

    INAUZWA Jipatie TV, redio, home theater, pasi, majiko soundbar n.k kwa bei ya store

    Hivi ukisema normal unamaanisha ni UHD au FHD au HD??
  6. T

    Jinsi polisi walivyonusuru maisha yangu last night

    Hivi ukihisi unafuatiliwa kama ulivyosema wewe, kwanini usiendeshe gari moja kwa moja hadi kituo cha polisi? Au nawaza ujinga?
  7. T

    Nang'atuka kwani ualimu siyo baba yangu wala mama yangu

    Kuna jamaa namfahamu aliacha ualimu kama huyu, leo hii kila nikikutana nae ananiomba buku apate chakula.
  8. T

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Go go go the Palestine. Pelekeni moto. Kama mbwai mbwai tu. Leo niko na nyie dhidi ya umagharibi.
  9. T

    Bodaboda hawana Haki

    Hii ajari nimeishuhudia live. Tukiwa tumesimama kusubiria kwasababu taa zilikuwa zimeruhusu Mwendokasi zipite, boda boda yule akaona anachelewa, akaangalia upande mmoja akaona kweupe akataka kukatisha kuingia Lumbumba hamadi Mwendokasi hii hapa. Mengine ni history. Ni uzembe wa bodaboda kwa...
  10. T

    Vipimo vinaonesha nina UKIMWI

    HIV sio issue, isikufanye ukose raha. Zingatia tu ushauri wa wataalam wa afya.
  11. T

    Uagizaji magari - We are looking for Sales manager

    With at least more than :rolleyes:
  12. T

    Dhambi ya Zinaa, Ngono, Uzinzi na Uasherati

    Mengi kati ya hayo sio dhambi, eti kuangalia picha ya ngono ni dhambi? acha kupotosha watu
  13. T

    Nimepoteza hamu ya kushiriki tendo

    nyeto extream ina matokeo mabaya sana
  14. T

    Car4Sale Karibu Katika uzi wenye magari Kwa Bei nafuu zaidi.

    Siwezi kununua mali ya mtu aliyeshindwa kurejesha mkopo inayouzwa na taasisi iliyomkopesha. labda kama huyo mdaiwa anauza mali kwa hiari yake mwenyewe. Mauza uza yamekuwa mengi kwenye hizo mali
  15. T

    Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu

    hii kitu imekwama wapi? mbona haiendelei?
  16. T

    Naomba uzoefu na wadada wanaofanya kazi Benki, wanaona kama maisha wameyapatia

    Ongeza salio lako la akiba hapo benki, utawala kwa urahisi sana. Nimetumia njia hiyo kuwala enzi za ujana wangu. Ukishapata namba yake Mpigie tu akusaidie kukuangalizia salio la akaunt ukimwambia kuna mzigo unausubiria uwekwe kwenye akaunti yako. akikuta salio la kutosha hutahitaji kumtongoza...
  17. T

    Msemaji wa Yanga SC Haji Manara kwa Uongo wako huu mkubwa Umejiaibisha na Umewadharaulisha wana Yanga SC wote duniani

    Simshangai Manara, nawashangaa wale waandishi wa habari waliokuwepo; yawezekana kichwani mwao wako duni sana
Back
Top Bottom