Search results

  1. APA CHICAGO

    Kwanini Mtandao wa TIGO unakula Data kwa kasi sana?

    Wanajukwaa mnaotumia laini ya TIGO kama mimi naomba msaada.Mimi data nikiingia internet zinakwanguliwa faster sana.Issue hii imeanza juzi je ?na kwa wengine iko hivi au kuna nini? Lakini kwenye mtandao wa Airtel data consumption kawaida tu. Changamoto airtel internet kwa maeneo nilipo ni slow...
  2. APA CHICAGO

    TAMISEMI kuweni na utu japo kidogo

    Leo nikiwa zangu Maeneo ya Mtaa wa Isevya mjini Tabora nimekutana na mlinzi mmoja wa shule ya sekondari ya serikali akaniambia ya kwake ya moyoni kuwa ana miezi miwili sasa hajalipwa yaani wa Saba na wa nane. Akasema mhasibu wa shule Kila akimpigia anajibiwa mfumo haujafunguliwa wa kuwawezesha...
  3. APA CHICAGO

    Kuna watu wenye roho mbaya na roho za husuda nchi hii

    Kuna watu wanaroho za korosho,roho mbaya kwa watumishi wa Umma katika nchi hii.Hawataki kuona watumishi wa umma wanaongezewa kipato. Baada ya taarifa ya ikulu Jana kutoka ikisema mhe Rais Samiah Suluhu Hassan amekubali kufanya nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3% kwa watumishi wa umma...
  4. APA CHICAGO

    Asante CCM kujisahihisha

    Chama tawala CCM chini ya mwenyekiti wake na Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu mpendwa Samiah Suluhu Hassan kinazidi kujisahihisha hasa kwa makosa yaliyotokea miaka kadhaa iliyopita.Ninakipongeza sana kwa hatua hizi za makusudi kinazochukua.CCM ya leo inanikumbusha CCM ya miaka...
  5. APA CHICAGO

    Rais Samia Suluhu Hassan na Elimu

    Kama Kuna sector mhe Rais Samia Suluhu Hassan ameitendea haki ni sector ya elimu, kwa kweli amejenga madarasa mengi Kila Kona ya nchi yetu bila upendeleo wowote. Hajaishia hapo lkn pia ameamua kujenga shule maalumu za tarafa huko Kanda ya ziwa nimekuta shule hizi zinajengwa kwa Kasi ya ajabu...
  6. APA CHICAGO

    Tumpongeze Rais Samia kwa hili la Ndugai, Spika aliyejiuzulu

    Ni kawaida ya binadamu kusahau huo ndiyo ubinadamu wenyewe lakini kwa bahati mbaya kabisa Watanzania tu wasahaulifu kupita kiasi, au ni siasa tu kwa kila jambo hapo sielewi vizuri. Kwa maoni yangu Mhe. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sakata hili la Spika yuko sahihi kwani...
  7. APA CHICAGO

    Hongera Samia Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Leo ilikuwa kilele cha mbio za Mwenge kitaifa huko Chato -Tanzania.Mwenge wetu wa Uhuru ulizimwa rasmi kule Chato. Masikio ya wanachato yalikuwa kisikia Chato ikipewa hadhi ya kuwa mkoa lakini haikuwa hivyo. Nideclare interest kuwa Mimi ni mwenyeji wa kanda ya Ziwa na ninajua maeneo mengi huko...
  8. APA CHICAGO

    Je, kuna baadhi ya Watumishi hawalipi kodi?

    Naomba kusaidiwa kujua kama kuna watumishi wa umma wanalipwa mishahara na serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ila hawakatwi kodi. Nimeuliza swali hili kutokana na Uzi wa mmoja wetu humu ndani jana kutaja baadhi ya watumishi hawalipi kodi.
  9. APA CHICAGO

    Samahani Kwa Wabunge wetu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Salaam kwenu wanabodi wa jukwaa hili kubwa na lenye heshima ndani na nje ya nchi yetu.Sio tu linaheshima lkn pia lina taarifa za kuaminika. Nimeanza na neno samahani kwa wabunge wetu kwa sababu kelele zimekuwa nyingi sana huko bungeni wengi wa wabunge wanaopata nafasi ya kuchangia wamekuwa...
  10. APA CHICAGO

    Asante Rais Samia kwa kuelekeza kero ya namna ya ukusanyaji kodi, Lakini sijasikia kero ya Bodi ya Mikopo wa Elimu ya Juu

    Huwa sipendi kuwachosha wanajukwaa naenda moja kwa moja kwenye maada.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa " kuna kero ya board ya mikopo ya elimu ya juu hususni sheria mpya ya mwaka 2016. Sheria hii mhe Rais ni kandamizi kwa sababu ya mambo mawili,mosi sheria hii inatumika kuwakata...
  11. APA CHICAGO

    Pongezi Waziri Mchengerwa kwa kuahidi kushughulikia kupanda kwa madaraja ya watumishi wa umma

    Sina maneno mengi sana ya kusema nimeona na kusikiliza clip moja hivi " Unasema kazi ya kwanza ni kushughulikia kupanda kwa madaraja ya watumishi wa umma Tanzania. Kama ulichokisema ni dhamila yako ya dhati na Serikali ya Mhe, Rais Samia Suruhu Hassan imedhamilia kwa dhati, pokea hongera na...
  12. APA CHICAGO

    Vyama vya upinzani hebu tusemezane kidogo

    Mwaka huu hapo October kutakuwa na uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Ninaimani mtasimamisha wagombea wa urais, wabunge na madiwani. Nataka tusemezane jambo moja kubwa kwa kuwa wabunge na madiwani wa upinzani baada ya uchaguzi wanahamia CCM hatimaye taifa linaingia gharama za kurudia...
  13. APA CHICAGO

    Karata waliocheza CHADEMA kwenda kujiweka karantini imewalipa?

    Chadema walipo amua kufanya maamuzi ya kujiweka quarantine ili kujikinga na kuwakinga wawapendao na virus vya COVID-19. Walifanya jambo jema lakini pia ilikuwa na kitu kinaitwa political gain. Bahati mbaya sana kwa siku 14 za quarantine ya CHADEMA hakuna Mbunge aliyepoteza maisha hadi walipo...
  14. APA CHICAGO

    Ombi kwa Serikali yetu kwenye Sheria za Uchaguzi

    Ninaombi kwenye sheria zetu za uchaguzi kipengele kimoja tu kibadilishwe au kiongezwe. Kwa maoni yangu ningependa iwe hivi Mbunge yeyote " Akijihudhuru au kuhama chama" basi aliyekuwa anafuatia kwenye kura wakati wa uchaguzi Mkuu yaani wa pili aapishwe ili kuchukua nafasi iliyoachwa wazi...
  15. APA CHICAGO

    Uchaguzi 2020 Kuna haja ya kuchagua wabunge hamahama?

    October 2020 kuna uchaguzi mkuuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. 2015-2020 baada ya uchaguzi kuisha baadaye tulishuhudia wabunge na madiwani wakihama vyama vyao na bahati mbaya sana wamelitia taifa hasara kwa faida zao binafisi. Tumeingia gharama za kurudia uchaguzi katika maeneo mengi fedha...
  16. APA CHICAGO

    Tusikwepe wajibu wetu katika jamii yetu

    Kuna watu wengi wanakwepa majukumu yao katika jamii yetu kwa kisingizio kuwa haya au hayo ni mambo ya kisiasa. Binafisi huwa ninawaza watu hawa uelewa wao wa mambo ni mdogo sana au wameamua kwa makusudi wawe vipofu? Tuelewane kidogo iko hivi siasa ndiyo inaendesha kila kitu katika maisha yetu...
  17. APA CHICAGO

    Hongera Rais Magufuli kwa kumaliza mgogoro na Kenya

    Hongera Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuongea na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na kisha kuumaliza mgogoro uliokuwa unataka kutokea katika mipaka yetu wa Tanzania na Kenya. Ieleweke kuwa mahusiano mazuri kati yetu na nchi majirani zetu ni kitu muhimu kiuchumi nk.Nitoe...
  18. APA CHICAGO

    Tatizo letu lilianzia hapa

    Baba wa taifa hayati mwalimu JK -Nyerere aliwahi kusema tuko vitani bahati mbaya tumechagua silaha ambayo hatuna wengi wetu. Silaha yenyewe tumechagua ambayo wengi hawana SILAHA hiyo ni FEDHA. Kuna siku moja niliweka hapa post inayoonesha posho na allowance ya Mbunge mmoja Dodoma per day ni...
  19. APA CHICAGO

    Ombi kwa Benk kuu ya Tanzania (BOT)

    Jana ilitolewa taarifa ikisema BOT, imeshusha riba kwa Mabenki kutoka 7% hadi 5%. Ili Mabenki yaweze kushusha riba kwa Wateja wake ambao ni wafanya biashara, wakulima na watumishi. Kimsingi ni jambo jema lakini ikumbukwe kuwa mabenki yamewaachia wateja wao ghrama zote za uendeshaji wateja...
  20. APA CHICAGO

    Swali kwa great thinkers wa JF

    Je ni uzembe wa khali ya juu kwa mbunge ambaye anatetea nafasi ya ubunge wake kushindwa kwenye kula za maoni ndani ya Chama?
Back
Top Bottom