Search results

  1. Rurakha

    Mke wangu amepata changamoto ya kupumua na sauti haitoki punde baada ya kujifungua

    Habari za leo Ninaomba ushauri kutokana na changamoto inaomkabili mke wangu leo siku ya 11 tangu ajifungue tarehe 5 February 2024. Ilikuwa hivi mke wangu alikua na changamoto ya uchache wa damu wakati anajifungua hivyo ikapelelea akaongezewa damu. Baadae akaruhusiwa na kuna dawa tumepewa sasa...
  2. Rurakha

    Maoni: TANESCO isimamiwe na jeshi

    Habari za leo Kutokana na hujuma zinazoendelea katika Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme Tanzania (TANESCO) kwa maoni yangu binafsi nashauri Shirika hili Mkurugenzi Mkuu apewe Mwanajeshi na liwe chini ya usimamizi jeshi. Sababu kubwa ni uwepo wa nidham ya hali ya juu Jeshini hivyo...
  3. Rurakha

    Wataalam wa sheria, hakuna uwezekano wa kwenda mahakamani kuishinikiza Serikali iruhusu uwepo wa mshindani wa TANESCO?

    Habari za leo, Natumaini mnaendelea vizuri na utekelezaji wa majukum ya kila siku. Binafsi nimekuwa nikifuatilia utekelezaji wa shughuli za mahakama Nchini Kenya nimeona mamna ambavyo Mahakama ya Kenya imekuwa ikitoa mashinikizo mbali mbali kwa serikali kwa manufaa ya wananchi Tukirudi hapa...
  4. Rurakha

    Mfumo wa polisi unatoa invalid control number unapoomba loss report mtandaoni

    Mimi leo nina wiki naomba loss Report bila mafanikio nikifika hatua ya kulipia nikiingiza control number inaandika number does not exist.
  5. Rurakha

    Serikali imefuta Tozo Kwa muamala ya kutuma na sio miamala ya kutoa kama wanavyojinasibu

    Napenda kuwataarifu kuwa Tozo zilizofutwa ni Kwa miamala ya kutuma pesa pekee Mfano umeweka pesa kwa Wakala na umahitaji kufanya transfer kwa nature ya maumala huo Hauna Tozo Ila ukienda Kwa Wakala au Benki kutoa pesa utakatwa Tozo Mfano nimeambatisha makato ya mtu anaetoa 70k Kwa Wakala...
  6. Rurakha

    Msaada wa ushauri: Nimekosea kulipia control ya malipo ya mwanafunzi wa Chuo cha CBE

    Habari za Leo wadau, Mimi ni Wakala. Leo dada wa kazini amekosea kulipia control number ambayo ni ada ya mwanafunzi wa CBE akamlipia mwanafunzi mwingine wa CBE ambae sio alietoa pesa. Naomba kuuliza hatua za kufuata Ili nitatue changamoto hii, naomba kuwasilisha. MREJESHO: Nilifuta ushauri wa...
  7. Rurakha

    Nahitaji POS ya NMB kukodi au kununua

    Habari mimi ni wakala nahitaji mwenye machine ya uwakala ya NMB aliepo dar es salaam offer ni 700k kununua na kama mtu anayo basi niko tayari anikodishe ntampa 30% ya kamisheni itakayopatikana taratibu za kisheria za makabidhiano zitazingatiwa nakaribisha pm
  8. Rurakha

    Mrejesho kwa huduma mpya za uwakala kwa Benki ya NMB kupitia simu ya mkononi maarufu kama (NMB Pesa Fasta)

    Salaam Naomba kutoa maoni yangu kwa huduma mpya ya uwakala wa NMB maarufu kama NMB pesa fasta Binafsi ninafanya biashara ya uwakala nina miliki mashine ya NMB kwa ofisi moja pia nilifungua biashara nyingine ya uwakala kama sehem ya kuongeza mapato knilifanikiwa kupata pos ya CRDB na nyinginezo...
  9. Rurakha

    Tahadhari kwa mnaotumia mfumo wa malipo wa Selcom Paytech Plc

    Salam kwanza kabisa napenda kushare na nyinyi uzoefu wangu kuhusu mfumo wa malipo wa Selcom Mimi ni Wakala wa benk na mitandao ya simu huwa ninafanya miamala mingi ya malipo kama tra ada ya vyuo vya serikali kwa kupitia mfumo wa malipo wa selcom Sasa nachotaka kuwatahadharisha ni kwamba huu...
  10. Rurakha

    NMB wakala kwa njia ya simu ya Mkononi

    Habari za leo Hivi karibuni kumetokea wimbi la uchache wa machine za NMB kwa mawakala hivyo baadhi ya mawakala walilazimika kutumia NMB via Selcom Lakini kutokana na changamoto kati ya NMB na selcom hii huduma imesitishwa hivyo NMB wakaja na huduma mpya ya kutoa huduma kwa kutumia simu yako...
  11. Rurakha

    Uamuzi wa kuacha kazi baada ya mapato ya biashara kuzidi mshahara

    Habari zenu wadau mimi ni muajiriwa sekta binafsi Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita nilikuwa najishughulisha na ujasiriamali mambo yalikuwa magum sana sikua na mtaji wa kutosha kuhimili soko na ushindani na ilifika wakati hata kodi ilisumbua Namshukuru mungu nilipata ajira kwa mkataba wa...
  12. Rurakha

    CRDB Bank rekebisheni internet upande wa huduma za uwakala

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Benki ya CRDB kwa hasara mnazotupatia sisi mawakala kutokana na mtandao wenu kuwa wa hovyo kushinda benki zote Mimi ni Wakala natoa huduma za uwakala wa kifedha upande wa mabenki binafsi kutokana na uzoefu kidogo katika kazi hii, nimegundua Benki ya CRDB...
  13. Rurakha

    Anahitajika Dada/ Kaka kwa ajili ya Kazi ya Uwakala wa miamala ya Kifedha M-Pesa, Tigo pesa, Airtel Money, TPB Wakala

    Habari za leo, Napenda kuwataarifu kuwa kuna nafasi moja ya kazi kwa Mdada au Mkaka kwa ajili ya Kazi ya Uwakala wa miamala ya Kifedha (M-pesa, Tigo pesa, Airtel money, CRDB, NMB, TPB na Selcome) eneo Ni Dar es salaam-Mabibo jirani na Chuo na Usafirishaji NIT. Sifa na Vigezo 1. Elimu kidato...
  14. Rurakha

    Hodi

    Jamani nimejisajili Leo hii humu Jamii forum nafurahia Sana kwa kupata fursa hii
Back
Top Bottom