Search results

  1. Kaparatus

    Jinsi ya ku-unlock router mifi ya smile 4g lte

    Nahitaji mtaalamu wa ku unlock router ya flanklin 4g lte inayotolewa na kampuni ya smile.
  2. Kaparatus

    Faida ya kula samaki aina ya dagaa kiafya tiba ya lishe

    Dagaa wana madhara kwa watu wenye vidonda vya tumbo??
  3. Kaparatus

    Fundi wa Computer (hardware)

    uko pande zipi, ni pm
  4. Kaparatus

    Laptop inauzwa! Sony vaio

    NIPIGIE NO. 0713 464830 AU 0754446651 SONY VAIO VGN-FZ38M Specifications. Operating SystemGenuine Windows 7 ® Professional Technical Platform Architecture Intel PM965 CPU Section Processor NameIntel Core 2 Duo Processor Processor Manufacturer Intel Processor Speed...
  5. Kaparatus

    Fundi wa computer aliyebobea katika software na hardware

    Tazizo la computer ni km linavyoonekana kwenye picha, nimebadili hard disk, ram, screen tatizo bado liko palepale, hiyo mistari inakuja na kupotea wakati mwingne inajizima na kujiwasha. na kuna wakati nikiizima kuja kuwasha inagoma kuwa kwa kawaida inawakia kwenye safe mode. mataalam ani PM...
  6. Kaparatus

    Pc technian !!!!! Laptop sony vaio vgn-fz38m dispay problem

    Mr. clajago ahsante kwa ushauri wako ila hivyo vote nimeangalia na kubadilisha na kuweka vipya mpaka hard disk nayo nilibadili, pamoja na kutafuta monitor nyngne tatizo lipo ndani wala sio hivo vitu ulivovisema.
  7. Kaparatus

    Pc technian !!!!! Laptop sony vaio vgn-fz38m dispay problem

    Screen haina taizo kabisa wala huo mkanda, kwani kuna wakati inaniandikia display not.....ila hasa kuna driver inaitwa NVIDIA GEFORCE 8400M GT yenyewe haina tatizo tazizo ni hardware ya hiyo nvidia ndo maana nikahitaji mtaalamu anaeweza anisaidie
  8. Kaparatus

    Pc technian !!!!! Laptop sony vaio vgn-fz38m software and hardware

    Wadau nina tatizo na Laptop yangu ina zingua sana inakuwa inazima na kujiwasha na kisha inaleta blue screen na maandishi mengi sna kisha ikitulia inafanya kazi wakat mwingine inaleta mistari kwenye screen hasa napoanza kuplay video yoyote ile. mtaalamu yeyote anisadie.
  9. Kaparatus

    Pc technian !!!!! Laptop sony vaio vgn-fz38m dispay problem

    Wadau nina tatizo na Laptop yangu ina zingua sana inakuwa inazima na kujiwasha na kisha inaleta blue screen na maandishi mengi sna kisha ikitulia inafanya kazi wakat mwingine inaleta mistari kwenye screen hasa napoanza kuplay video yoyote ile. mtaalamu yeyote anisadie.
  10. Kaparatus

    Nahitaji pc computer yenye hali nzuri pamoja na flat screen monitor

    mie ninayo, tafadhali ni PM kwa maelezo zaidi.
  11. Kaparatus

    New job vacancy today 24th november 2012

    Mishahara ya house girl hiyo....salesman huwezi kumlipa 160,000 labda unataka akuibie tu.
  12. Kaparatus

    Dawa ipi ya Meno(Mswaki) ni bora?

    Tumia COLGATE PRO RELIEF SENSITIVE itamaliza tatizo lako mkuu, pole sana.
  13. Kaparatus

    Dawa ya meno Whitedent ichunguzwe

    Colgate ndo dawa ya meno pendekezo nambari moja la madaktari wa meno Duniani...... haina mpinzani kote duniani.
  14. Kaparatus

    Msaada wa internet nokia c6-01

    Hakuna kitu km hcho mkuu.......
  15. Kaparatus

    Msaada wa internet nokia c6-01

    wadau mie natumia nokia C6-01, tatizo inakuwa online wakati wote, anaejua setting anisaidie.
  16. Kaparatus

    Msaada jamani.

    Mwenye drivers z hp anisaidie tafadhali
  17. Kaparatus

    Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

    Wakuu naona Gomel amenisaidia kutoa jibu mapema. kama upo nje ya mji wa Dar itakuwa ngumu na pia km unaking'amzi cha mwanzo kabisa nacho sina imani nacho kupata hizo chanel jaribu hapa Frequency units ni:- 650 kuna channel 8; 682 kuna channel 7; 714 kuna channel 7; 746 kuna channel 6; 778...
  18. Kaparatus

    Msaada jinsi ya kupata idm full

    Kaka asnte nimefanikiwa mungu akuongezee maujanja.......
  19. Kaparatus

    Msaada jinsi ya kupata idm full

    Nimepata lkn file kwangu halifunguki kabisa lipo ktk rar
Back
Top Bottom