Search results

  1. waneemayote

    Somo: Inawezekana kabisa kuepukana na tamaa ya uzinzi

    *MAHUSIANO, UCHUMBA NA NDOA.* *SOMO: INAWEZEKANA KABISA KUEPUKANA NA TAMAA YA UZINZI.* Mafungu elekezi: Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe. Wimbo Ulio Bora 3:5 Usizini. Kutoka 20:14 Tazama...
  2. waneemayote

    Ukweli wa kutafakari kuhusu ngono

    Kuna kitu wazee na vijana wadogo hawajui chochote kuhusu. Kanisa pia limefumba macho juu ya suala hili. Hakuna mtu anayetaka kuizungumzia lakini ni ya kweli. Ikiwa haujui ndugu zangu, nataka kukuambia kuwa: NGONO ni risasi ya mwisho ambayo ufalme wa giza umetupa dhidi ya kanisa la Mungu, na...
  3. waneemayote

    The Truth about sex

    THE TRUTH ABOUT SEX .. There is something both the aged and the infant do not know anything about. The church also has closed her eyes on this particular issue. Nobody wants to talk about it but it is very real. In case you are not aware my brethren, I want to tell you that: SEXUAL IMMORALITY...
  4. waneemayote

    Dalili tisa (9) za mtumwa wa ngono

    DALILI 9 ZA MTUMWA WA NGONO 1. Akili yako imejaa picha za ngono, na ubongo wako umejaa mawazo ya ngono. 2. Uwezo wako wa kufikiri umeshuka hadi chini ya asilimia 5, na uwezo wako wa hisia umepanda hadi zaidi ya asilimia 95, na akili yako haitofautiani sana na akili ya mbuzi. 3. Huwezi kufanya...
  5. waneemayote

    Tuna la kujifunza zaidi kwa Laizer wa Tanzanite

    Baada ya Laizer kupiga hela ya TANZANITE mengi yamezungumzwa, Mimi nimelitazama Jambo hili katika Kona nyingine. Nimeaangalia matajiri wetu wakubwa Tanzania kuanzia wa kwanza Hadi wa 12 list yao Ni Kama ifuatavyo:- 1.Mohammed Dewji. 2.Rostam Azizi. 3.Said Salim Bakhresa. 4.Reginald Mengi...
  6. waneemayote

    Usisubiri Watu wakuonee huruma

    *USISUBIRI MPAKA WATU WAKUONEE HURUMA* --------------------------------------- Katika vitu nilivyo jifunza kwenye maisha ya mwanadamu ni watu kupenda kuonewa huruma. Kuna watu wao wanataka kila muda waonewe huruma! Yaani ni watu wa kujiona wao ndio wanashida sana wao wana matatizo sana, hawa...
  7. waneemayote

    Men empowerment inahitajika

    Miaka michache ijayo kutakuwa na kizazi ambacho wanawake watakuwa watawala wtu wenye nguvu na kujitegemea kuliko wanaume hii ni kutokana na 1. Mwamko wa wanawake katika maswala ya kujitegemea 2. Kampeni za haki sawa 3. Kampeni za kuinua wanawake N.k Nini mtazamo wako kuhusu hil!!!
  8. waneemayote

    Jinsi "Spritual Bonds" zinavyotesa ndoa za sasa

    Nimekuwa nikifuatilia mafundisho ya dini na makala tofauti tofauti huku JamiiForums, leo ninanvyoandika Uzi huu nimeona makala inayosema kuchunguza ma-Ex za wake watu something like that nimeusoma ule Uzi nikaunganisha na yale masomo ya dini kuhusu ndo niliyoyasoma miunganiko ya kihoro. Uzi wa...
  9. waneemayote

    Ananipima uvumilivu wangu au kuna lingine?

    Wandugu ni story ndefu ila kifupi ni kwamba nilipata mpenzi huyu ofcourse yeye ndio alinianza kunitafuta kwa group. Acha niende kwenye point, nimekuwa nae mieizi miwili mpaka sasa lakini cha kushangaza hataki nimshike, hata kiss hataki, anataka tuongee. Kiukweli nashndwa kuvumilia, nafikiria...
Back
Top Bottom