Search results

  1. LEGE

    Ni hatari sana ,usifanye hivi gari yako itawaka moto

    Wakuu kumekuwa na mtimdo sasa hivi wa kupimp gari na kufunga taaa taa nyingi sana za urembo kwenye gari..ikiwa pamoja na kutoa taa kubwa original za kuja na gari na kufunga zingine ili gari iwe na mwanga mkali zaidi..wengine hufunga taa za boostar ni hatari sana usifanye hivyo kwenye gari zenu...
  2. LEGE

    MSAADA CYBER CYIME LAW IN SWAHILI

    nilikuwa naomba msaada wa kupatiwa soft copy ya sheria ya makosa ya mtandao kwa lugha ya kiswahili.. au kama kuna mtaalam wa sheria anaweza nifafanulia sheria inasemaje juu ya kosa ,kesi hii UCHOCHEZI KWA NJIA YA MTANDAO
  3. LEGE

    All Toyota manual / self diagnostic

    nimeleta huu uzi ili uweze kutatua matatizo madogo madogo ambayo unaweza kuyatatua kwenye gari yako pindi linapo leta hitilafu upande wa umeme na kuwasha taa za tahadhari kama taa ya CHECK ENGINE, ABS,O/D,VSV,TRS,SRS or AIRBAG n.k hapa tutafahamishana na kusaidiana kuweza kuipima gari yako bila...
  4. LEGE

    Je, ni Application gani inaweza kufanya hii kazi?

    naamini humu kuna wataalam na watu wenye uelewa tofauti na wajuzi wa mambo katika fani mbali mbali. naomba nielezee shida yangu naamini mtaelewa nini nataka. naomba nianze na mfano. aplication gani inaweza nifanyia kazi hii au ni vipi naweza fanikisha hili?? mfano .mtu mmoja awe mwenge na TV...
  5. LEGE

    QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    kaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo makubwa sana. ALBERTOS kundi hatari linalotaka kuitawala dunia limeingia pia tanzania
  6. LEGE

    Natafuta wiring diagram ya harrier new

    wa kuu naamini humu kuna mafundi nawatu wanaojihusisha na magari sana kama sio kutengeneza kutumia au kuuza.shida yangu ni wiring diagram ya pin za control box.gari yenyewe ina engine ya 1MZ FE na control box yenyewe ina maboya matano na ningazi 4. usije ukanishauri kuwa niende toyota wao...
  7. LEGE

    Hizi ndo kazi za warning light kwenye raum new model

    Kuna taa huwa inawaka kwenye raum new model inakuwa nyekundu ni triangle katikati ina alama ya mshangao. Watu wengi wamekuwa wanapigwa hela kwa mafundi huku wengine wakisema kuwa wana wapimia na mashine na wengine mafundi wanahangaika nayo sana. Taa hiyo huwa inawaka kama utawasha gari au...
  8. LEGE

    Ni vipi unaweza pata details za gari kwa kutumia vin /chasis number

    Wakuu salama nilikuwa naomba kuuliza mwenye softwere inayotumika kupata detail za gari mfano mtu unataka spare ya gari flan unaambiwa utoe au umtumie chasisi au vin number ili uweze kupewa spare ya gari lako.. hasa hasa kwa wauza spare ndio hutumia sana hii njia CC mshana jr
  9. LEGE

    STORY: Miss Tanzania

    MISS TANZANIA SEHEMU YA KWANZA MTUNZI: PATRICK .C.K ========== Haki zote zimehifadhiwa hairuhusiwi kunakili, kuchapa maandiko ya kitabu hiki bila idhini ya wahusika wakuu. “Patrick amka darling, inakaribia saa nne sasa”, alisema Veronika kwa sauti laini ya kubembeleza. “‘Mmmmhhh” Akaguna...
  10. LEGE

    Wataalam wa IT, Programing na Electronics piteni hapa

    nataka kufaham ufanyaji kazi wa remote control.ni vipi remote zinafanya kazi na kwanini remote haziwezi kuingiliana ? na wakati remote ina oparate kipi huwa kinfanyika?? na je kwenye saketi ya remote ile chip inayokuwa na data au CODE huwa zile data unaweza kuzisoma na kama inawezekana unaweza...
  11. LEGE

    Simulizi: Before I die

    BEFORE I DIE SEHEMU YA KWANZA Ni Edson Benard pekee ambaye hakuungana na familia yao jioni hii ya katika mapokezi ya mdogo wake Innocent anayerejea nyumbani baada ya kuhitimu shahada ya kwanza ya uchumi na fedha katika chuo kikuu cha Columbia jijini New york Marekani. Mzee Vincent Benard...
  12. LEGE

    Peniela (Story ya kijasusi)

    SEASON 1 SEHEMU YA KWANZA MTUNZI : PATRICK.CK Ni saa sita za usiku sasa bado jaji Elibariki chukuswa yuko sebuleni akiendelea kupitia kitabu chake cha sheria .Katika meza ndogo kulikuwa na vitabu vingine zaidi ya saba vya sheria.Aliendelea kufungua ukurasa baada ya ukurasa.Alionekana kuwa na...
  13. LEGE

    Jinsi ya kutambua gari iliyoshushwa Km!

    Technolojia ina mengi na inaumiza wengi tusio kuwa na uelewa nayo. Kumbe kuna wimbi kubwa sana la watu wana agiza magari kutoka nje na hata kununua kwenye show room za hapa bongo kwa kigezo cha kuangalia kilomita zilizotembewa na kufanya ndio kipimo cha ubora na ubora wa gari. Hapo wengi...
  14. LEGE

    Rotary engine {mazda rx8}

    wakuu kuna hizi gari zenye rotary engine.zinaonekana kama ni ngeni sana ingawa ni engine ambazo zipo mda mrefu sana lkn kwetu hapa naona now watu ndio wanazinunua nunua.ili tusidindokee kule kule kwenye garin zenye engine ya d4 kuwa ni kimeo.kwa wale wenye uelewa ,ujuzi na utaalam tu share hapa...
  15. LEGE

    Ulaji wa mafuta upo wapi kwenye gari?

    wakuu hembu naomba mm mnijuze kidogo nafikiria sana juu ya watu wanao sema kuwa gari yenye cc kubwa ndio hula sana mafuta.kwa mbali na kubali na kwaukubwa nakataaa. kukataa kwangu kuna ambatana na kuwa gari kutumia mafuta mengi inategemeana na techonogia gani iliyotumika kwenye hiyo engine na...
  16. LEGE

    Mafundi magari wa JF

    wakuu najua hapa nimahali sahihi ambapo watu wanashauriwa na kupewa ufafanuzi wa matatizo ya vyombo vya moto .hivyo ingekuwa si vibaya sana kwa wale mafundi au wenye ujuzi katika sekta fulani wakajitambulisha ,kuwa wamebobea kwenye fani gani ikiwezekana wanapatikana wapi na mawasiliano yao...
  17. LEGE

    Wimbo wa Gaidi

    AYA: Wimbo wa Gaidi MTUNZI: Hussein Tuwa UTANGULIZI Ni miaka mitatu tangu kuuawa kwa Osama bin Laden nchini Pakistan. Wanamgambo wa Al-Qaida wamesambaratika. Wengi miongoni mwao wameuawa, wengine wamekamatwa na majeshi ya marekani nchini Pakistani…na kikundi cha wachache wengine kimefanikiwa...
  18. LEGE

    Air bag control kwenye gari ni sawa na black box kwenye ndege ??

    Wakuu salama nyote ? mm ni fundi umeme wa magari baada ya kukaa nakufikilia nimehisi kuwa control ya air bag/SRS yaweza kuwa sawa na black box kwenye ndege kwa kuwa ndege ikipata ajari huwa kinatafutwa hicho kisanduku cheusi ambacho huwa wanasema kinahifadhi kumbukumbu za ndege hili siwezi...
  19. LEGE

    Njia nzuri ya kufanya diagnosisi kwenye gari

    wakuu kuna njia kuu 2 za kufanya diagnosis kwenye gari. kwakutumia mashine na kwakutumia softwere ambazo huwa una install kwenye laptop or pc au phone na kuzitumia. mm nimekuwa natumia mashine na kiukweli bado hizi mashine hazijitoshelezi unakuta kuna baadhi ya gari zinagoma au unakuta...
  20. LEGE

    Kushtua gari ya automatic

    Wakuu kuna hiki kitu ukimuuliza MTU yoyote hata mafundi wazamani wakongwe ukimwambia suala LA kustua Gari ya automatic atakwambia haiwezekani kabisaa.ukimuuliza why na akupe sababu atakupa sababu za kawaida kabisa ambazo mm kwangu zinajibika na zinakuwa na njia mbadala na bado zinabaki kutozuia...
Back
Top Bottom