Search results

  1. Maya Angelou

    Nahisi sina bahati na biashara

    Wametengeneza kitu kinaitwa monopoly Hapo pambana uwapate matajiri wenyewe kwanza uwe chini yao huku ukiusoma mchezo
  2. Maya Angelou

    Loving you Mahondaw

    Tumefika kufunga ndoa na watoto juu mkuu upo Jf hii hii au umelala?
  3. Maya Angelou

    Utajiri upo katika kilimo bora cha mpunga chukua nondo hizi

    Vipi msimu huu mvua hazijaathiri kilimo cha mpunga?
  4. Maya Angelou

    Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

    Bado tupo tunadunda hapa ni kifo ndio kitatutenganisha sio michepuko
  5. Maya Angelou

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Nilileta mrejesho Kuna mwamba yupo Vingunguti alinisaidia kwa Laki na nusu tu Kesi mahakamani nilishinda Na mtesi wangu mpaka leo mambo yake hayaendi amevurugwa soon atarudi kijijini mjini kumesha mshinda
  6. Maya Angelou

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Mbona nilileta hapa kesi nilishinda na huyo adui yangu kavurugwa mpaka leo katulia hana jipya soon atarudi kijijini
  7. Maya Angelou

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    Kwanini mkuu Mdogo wetu wa mwisho ni pisi kali rangi ya mtume akienda huko nna wasiwasi wajinga wasije muharibu uwiii[emoji2304]
  8. Maya Angelou

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    Aisee mi ningeitoa mapema sana uwiii
  9. Maya Angelou

    Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

    Sababu yako ya leo ina mashiko angalau nimeanza kukuelewa[emoji28]
  10. Maya Angelou

    Hivi mtu mweusi sio early version ya binadamu?

    Unamaana dini ndio imetufikisha hapa[emoji848]
  11. Maya Angelou

    Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

    Na mimi nakazia “pombe hizo” Bandiko lako ni ukweli mtupu kuna waliochoka na walionona na wote ni watumishi
  12. Maya Angelou

    Mvua Ya Algeria kama Ya Dar tu

    Simba hao wanapeleka mvua dah yanga safari hii wanalo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  13. Maya Angelou

    Watibeli Hatupigagi Wake Zetu, na Binti zetu hawapigwi

    Utapata stress sana pumzika tu,mchukue mwingine
  14. Maya Angelou

    Watibeli Hatupigagi Wake Zetu, na Binti zetu hawapigwi

    Mimi binafsi huwa nasema mwanaume akinipiga basi hio siku ahakikishe ananiua kabisa,ila kama ananipapasa ipo siku yake ntamuua mimi tena siku asio tarajia Asante Mungu mume sio mpigaji,huyu mwanaume kwenye ukomavu wa kihisia nimemkubali
  15. Maya Angelou

    Fahamu Utajiri Wa Kishirikina wa Matajiri wa Kahama, Shinyanga

    Waongo hao,ni unafiki tu unawasumbua Nani hajui ushirikina upo?
  16. Maya Angelou

    Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

    Siwezi kujisahau ntakuwa na renew time after time siwezi kusahau hilo
  17. Maya Angelou

    Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

    Alinikuta used ila nikaamua kutulia na sijawahi kuchepuka toka uchumba hadi ndoa
  18. Maya Angelou

    Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

    Yes umekua mchungu nime loga na sasa amani imetawala Mambo ya kawaida sana hayo mtaani ni mkiwa nyuma ya keybord mnajifanya kushangaa Bottom line kuna utulivu na amani nyumbani kwangu[emoji4]inamaama mlogo umekolea[emoji91][emoji91][emoji91]
Back
Top Bottom