Wakati Serikali ikitangaza kurejesha Sh100 katika mafuta, watumiaji wa nishati hiyo watalazimika kufunga mkanda kutokana na bei kuendelea kupaa.
Bei ya nishati hiyo inapanda wakati wananchi wakilalamika kupaa kwa bei za bidhaa mbalimbali za vyakula hasa wakati huu wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
NAMNA YA KUTENGENEZA PESA KWA KUTUMIA MAWAZO (AKILI)
Mtaalamu Albert Eisteirn aliwahi kusema kwamba asilimia 5% ya watu wote duniani ndio wanaoweza kufikiri
Na asilimia 15% ya watu wote duniani huwa hawajui kama wanafikiri au hawafikiri.
Na asilimia 80% ya wanadamu wote wako tayari KUFA...
SAFARI YA KUTAFUTA PESA.
TUMIA NGUVU ZAKO KUPATA PESA.
Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe, walisema wahenga.
Kubagua kazi ni kauli za wasio na maono.
Kuishi bila kazi na kuridhika kuwa duniani bila kujishughulisha na chochote wakati Mungu amekupa Uhai, akili, na afya njema UNAKUWA MZIGO...
Kama ilivyo kwa YouTube pamoja na Blogs na website mbalimbali kuwa na kipengele cha Uvunaji kupitia Maudhui Mtandao hasa kampuni ya Google (Google Monetization) kwa kupitia Matangazo ya Google (Google AdSense)
Hivyo hivyo na Facebook mbioni kuanzisha Uvunaji mapato kwa waandaa Maudhui wa...
Mtandao wa Facebook unamilikiwa na kampuni ya Meta Chini ya Mkurugenzi wake Mark Zuckerberg.
Umefanya Maboresho kwa kubadili Rangi iliyokuwa ikionekana kwenye Hashtag na Mentions. Hapo awali Mtu akitumia alama ya # kama hashtag Yalikuwa yakitokea maandishi Meusi yenye mkolezo, lakini kwa sasa...
Lakini mara nyingi wanaume hatuowi kwa ajili ya ngono au kwa ajili ya mapenzi, huoa kwasababu ya utulivu wa mwanamke.
Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kufanya mapenzi na wewe kwa miaka mingi bila kukuoa.
Lakini mara akipata mwanamke anayeleta amani na utulivu katika...
KUOLEWA ni heshima kwa mwanamke
Heshima hiyo inaenda mbali zaidi hadi kuwagusa wazazi wa binti ambaye ataolewa.
Wazazi wanatembea kifua mbele pindi binti yao anapoolewa, tena wanafurahia zaidi binti huyo anapoolewa akiwa angali bado hajazaa.
Wanamshukuru Mungu kwa binti yao kujitunza...
Makonda kugombea ardhi ni somo kwa Watanzania
Ndani ya Jiji la Dar es Salaam kuna mnyukano. Ni baina ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohammed (GSM). Wanagombea ardhi.
Makonda analalamika kuwa GSM anataka kumdhulumu mali yake. Wakili wa...
Tuzo ya Mwanamke Kinara Kanda ya Ziwa
Kutoka kwa Waandishi wetu Mwanza;
Leo ni siku nyingine tena ambayo ni msimu wa pili wa tuzo hizi kubwa kanda ya ziwa ambapo tutashuhudia Tuzo zikitolewa kutambua michango mbalimbali ya wanawake Vinara Kanda ya Ziwa, waliogusa jamii kwa namna mbalimbali...
Kwenye Galaxy' yetu pekee (Milky Way Galaxy) kuna zaidi ya nyota zinazofikia mpaka Bilioni 400, Na kila Nyota' inazungukwa na sayari zake ambazo zinakadiriwa kuanzia 02 na hata kuzidi 10 ambayo makadirio sayari pekee hufikia mpaka trilioni 03.
Kumbuka: Zipo Galaxies' nyingi zaidi ambazo...
Maisha yana changamoto nyingi sana.
Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia.
Nikaendelea kuishi pia...
"Maisha yana changamoto nyingi sana.
Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia.
Nikaendelea kuishi...
Closing Date
2022/03/23
Reference Number
CCB220309-7
Job Title
Maintenance Planner
Job Category
Manufacturing
Company
Coca-Cola Kwanza (Tanzania)
Job Type
Permanent
Location - Country
Tanzania
Location - Province
Not Applicable
Location - Town / City
Dar es Salaam
Job...
Nchi zinazo zalisha mafuta zaidi duniani 2022, (thousands barrels per day);
1. United States (12,108)
2. Russia (10,835)
3. Saudi Arabia (9,580)
4. Iraq (4,620)
5. Canada (4,129)
6. China (3,823)
7. United Arab Emirates (3,068)
8. Kuwait (2,652)
9. Brazil (2,604)
10. Iran (2,213)
Alaska ilikua ni sehemu ya Russia lakini iliuzwa kwenda kwa Marekani mwaka 1867 kwa $7.2M sawa na Tzs. Bilioni 16.6 ambayo kwa sasa ingekua sawa na $133M (Tzs. Bilioni 307.7).
Sababu ya kuuzwa ni kutokana na ugomvi uliokuwepo kati ya Russia na Uingereza ambao walikua wanatawala Canada hivyo...
Je, Kim Jong Un atasimama upande wa Putin? Unaonekana kuna uswahiba kati yao.
Video ikirejea Siku ambayo Rais wa Urusi Vladimir Putin alivyokutana na Rais wa Korea kaskazini Kim Jong Un.
6174: Kwanini takwimu hii imewatatiza wataalamu wa hesabu kwa zaidi ya miongo 7?
Itazame takwimu hii: 6174.
Kwa mtazamo wa kwanza, huenda sio kitu kikubwa - lakini imewatatiza wataalamu wa hesabu tangu mwaka 1949.
Kwanini? Haya ni mambo ya kustaajabisha na unayostahili kuyafahamu mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.