Search results

  1. C

    Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

    Kama CHADEMA wana msimamo wa kukataa watu wanaowakejeli na kwenda tofauti na wanachokiamini, WANASUBIRI NINI KUMFUKUZA SHIBUDA?
  2. C

    Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

    Bila juhudi zake za kufichua maovu ya serikali kule bungeni na kujitoa muhanga kwa kukubali kupewa kifungo cha kutokuhudhuria vikao vya bunge kufuatia msimamo wake juu ya Karamagi kusaini mkataba nje ya nchi hatua iliyopelekea CHADEMA kuanzisha Operation Sangara iliyowafanya kupata supporters...
  3. C

    Kiwanja cha Makazi kwa Millioni Mbili

    Habari wanajamii, naomba msaada kwa yeyote anaeweza kunipa taarifa sahihi ya uwezekano wa kupata kiwanja cha makazi maeneo ambayo ni nje kidogo ya mji wa Dar es salaam lakini si mbali sana kwa kiasi hicho cha fedha. Natanguliza shukurani.
  4. C

    Wanaume wenzangu dalili 5 za mke aliyetoka kukusaliti

    Kwanini akimbilie kuoga? Cku hzi self contained rums za kumwaga tu!
  5. C

    Niurudiaje ualim jamani?

    Hata hizo za diploma hawezi kupata sababu hana diploma ya ualimu, aliyokuwa nayo mwanzo ni leseni tu na miaka mi5 ya uhai wa leseni hiyo imekwisha. Kama kweli anaupenda ualimu, akasome Post Graduate Diploma in Education, akichanganya na hyo BBA yake ndio ataweza kupata tena ajira kamili kama...
  6. C

    Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

    Nakuombea kwa Mungu kaka, Inshaalah upasuaji huo utakuwa salama na wenye matokeo mazuri.
  7. C

    RIP Rahma Swai - Miss Mtwara 2011/12

    Naomba niku2kane tusi kubwa ambalo kamwe hutolisahau. @*¥&€#@! I wish u knew the girl ndo uongee huu uharo wako.
  8. C

    Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

    Unayo mwenyewe kaka, ulikopa elf 10, umetumia 9900 yaan 9700 umenunua nguo, mia 2 umewapa dada na kaka so mia 1 bado unayo.
  9. C

    CHADEMA waamua kuchimba visima 11 Igunga na Kafumu haonekani tena Igunga!

    Hongera CDM kwa kupanga kulipa uaminifu wa wanaigunga elf23 plus waliowapigia kura.
  10. C

    Natafuta Mwenzi wa Maisha

    All the best!
  11. C

    Ni wapi nitapata mwanamke wa kuoa?

    Im the 1 u r luking for my dear. PM me 4mo.
  12. C

    Hello!

    Nikaribisheni wapendwa...
Back
Top Bottom