Search results

  1. samilakadunda

    Nawaaalimu waugwana, naomba mwenye program ya video converter

    Wapendwa natakaa kuconvert video iliziweze kuomekana kwenye tv na radio maana nikiweka kwenye tv napata ujumbe not supported. Natanguliza shukrani. Na heri ya mwaka mpya 2022
  2. samilakadunda

    Darasa huru, Jifunze hapa kusuka amplifiers

    Nimependa sana somo ila kwa sisi beginners ni changamoto hasaa tunahitaji michoro ya kutosha, asante sana.
  3. samilakadunda

    Mwanafunzi avaa mabango na kukaa barabarani akipinga kuchaguliwa masomo ya ECA ambayo hajayasomea

    Sikuungi mkono, kila mmoja anakitu amambocho yeye akisomea na kukifanya anakuwa comfortable na anafanya kwa moyoo wote, huwezi mchagulia mtu nini cha kufanya na kusoma, hayoo mambo yalishapitwa na wakati, umeshawahi pita kwenye taasisi mbalimbali mtu anakwambia hatasijuii kwanini nilisoma hii...
  4. samilakadunda

    Sifa za mwanamke afaaye kuitwa mama

    Labda umzae wa kwako
  5. samilakadunda

    Bei ya Vifurushi itamuondoa mtu next week..

    Hakuna lolote, ikumbukwe tangazo la mabadikiko ya virushi lilikuwa ni agizo la waziri mwenye dhamana, maanayake alipewa maagizo toka juu, na sababu kubwa nikuona watu hawatunii Social media, hilo lipo wazi, kitu ambacho mama hawezi kukubali ukandamizahi wa hivi maana hakuwa moja wa maamzi ya...
  6. samilakadunda

    Serikali ipo katika mpango wa kupitia utaratibu wa malipo kwa wanufaika wa mikopo ya Elimu

    Na wapitie kweli hii imekuwa kero kwa vijana walio nufaika na mkopo huo, sasa imekuwa adhabu na mateso makali.
  7. samilakadunda

    Naomba kujuzwa taratibu za uuzaji wa mali za umma zikizobaki katika ujenzi

    Naomba msaada Sheri ya manunuzi inasemaje endapo, ikiwa vifaa kama nondo, bati etc vimebaki, jee vinaruhusiwa kuuzwa? Kama ndio kwautaratibu gani?
  8. samilakadunda

    Kijana wangu wa kazi amempa mimba dada wa kazi, ndugu wa dada wamempeleka Polisi kijana

    Sio mwanafunzi, ila nimefika police ndio nimeambiwa binti anamiaka 17.
  9. samilakadunda

    Kijana wangu wa kazi amempa mimba dada wa kazi, ndugu wa dada wamempeleka Polisi kijana

    Wapendwa naomba kujua kosa linaloweza mtia hatiani kijana huyu, kijana wangu wa kazi amempa mimba binti wa jirani, ndugu wamempeleka Dawati la jinsia na kumpeleka Polisi, wakidai kosa ni kukataa mimba na Polisi wamemweka maabusu, swali kumpa mimba mtu mzima mwenzako nikosa kisheria? Na kama...
  10. samilakadunda

    Umewahi kukosea kutuma Meseji?[emoji53]

    Acha kuchatchat ovyo piga siku ukishajigundua unautopolo kichwani
  11. samilakadunda

    Msaada namna ya kupata namba inayotumika katika simu iliyopotea

    Mwizi huyoo na tapeli tcra ndio suruhisho
  12. samilakadunda

    Je, Toyota IST itanifaa kwa urefu wangu wa 6. 1 feet?

    Shafeli hahaaaaa, wamekupa cheti oooooh
  13. samilakadunda

    Je, Toyota IST itanifaa kwa urefu wangu wa 6. 1 feet?

    Tafuta IST omba ingia kaa chukua vipimo kisha utajua unaagiza au laaa
Back
Top Bottom