Search results

  1. K

    Maofisa hawa kwaheri!

    Nape tunangoja kwa hamu uamuzi wa vikao hivyo, lakini chonde chonde, tumeibiwa sana, tukadhurumiwa sana na hao mafisadi, sasa malizeni suala la kuachana nao, ili tuone na mengine yakifanyiwa kazi!!
  2. K

    Nape: LIVE ON MLIMANI TV LEO TAREHE 13/10/11 SAA MBILI NA NUSU USIKU

    Ni afadhali utetee unachoamini kuliko kulazimishwa kutetea usichoamini, hivyo ndivyo Nape anavyofanya, na daima hawezi thaminiwa hata kidogo, lakini ipo siku tutatambua anachopigania, na kukithamini. Nape usikate tamaa, ungana na jopo pana linaloamini katika kutumia rasilimali za nchi yetu kwa...
  3. K

    Nape: LIVE ON MLIMANI TV LEO TAREHE 13/10/11 SAA MBILI NA NUSU USIKU

    Nape amesema ukweli, vijana tujitathmini na tushiriki katika kuhakikisha tunatetea rasilimali zetu kwa pamoja, kwani hizi ndizo zitakazotufanikishia na kutuboreshea maisha yetu ya sasa na baadae.
  4. K

    Nape: LIVE ON MLIMANI TV LEO TAREHE 13/10/11 SAA MBILI NA NUSU USIKU

    Hivi watz wenzangu, ni nini tunakipigania kama watanzania, ni mivutano ya maneno ambayo haina mwelekeo wa kuinua uchumi wa taifa letu? au ni kuunga mkono watu ambao wametumia muda wao katika madaraka kujilimbikizia mali na na kuwa sehemu ya kuyumba kwa uchumi wa taifa letu kwa kufakamia kila...
Back
Top Bottom