Search results

  1. PierreLiquid

    Nateswa sana na jini mahaba

    Habari za muda huu ndugu zangu. Mimi ni kijana Me 26 nimekulia maisha yenye furaha sana mpaka nilipofikia umri wa miaka 24 na kugundua mwili wangu haupo sawa. Yani nasumbuliwa na kiumbe aitwa jini mahaba apo awali nilikuwa nahisi furaha kupata ndoto ya jima na mwanamke ila hasara za huyu...
  2. PierreLiquid

    What are the best driving schools in Tanzania

    Habari wakuu, naomba kuuliza. Ni Chuo gani chenye gamba zuri linalothaminiwa kwenye mafunzo za udereva ya awali
  3. PierreLiquid

    Mwanamke ninayeona anafaa kuwa mke hakubaliki mbele za watu, ninayemtilia shaka ndiye naambiwa anafaa

    Habari, JF ni sehemu sahihi ya majibu sahihi. Nipo kwenye hatua za mwisho kufanya maamuzi ya kupata mama watoto. Wapo mabinti wawili imekuwa ni mchuano mkubwa wa kupata selection. Yupo mmoja yeye kila ninapomuonyesha mbele ya watu wangu wa karibu wanasema huyu ndio sahihi kuwa mke, kwangu...
  4. PierreLiquid

    Natafuta kazi ya Afisa Mikopo

    Habari, Kwa majina naitwa Peter Bernad, miezi kadhaa niliwahi kutoa tangazo la kuomba nafasi angalau ya kuonyesha njaa yangu ya kujituma ili kutimiza mafanikio yangu kimaisha. Uzi wangu uliwagusa wengi, na nashukuru wengi wenu mlikuja DM kwa lengo la kutimiza hitaji langu la nafasi ya ajira...
  5. PierreLiquid

    Natafuta kazi, yeyote utakaeguswa Mungu akubariki

    Habari ndugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 Me ninaishi Dar es salaam, nina stashahada ya ugavi ya chuo cha biashara. Ni muda nimeangaika na ajira mpaka ilifika hatua nikaamua kujiajiri kuanzia 1, nimefanya biashara Soko langu kuu likiwa online, ila nimeaanguka mara kwa mara na...
  6. PierreLiquid

    Nahisi nina tatizo la kisaikolojia, linaniathiri kwenye ngono

    Habarini, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo langu huenda nikiandika naweza kupunguza yaliyopo kichwani na moyoni. Mimi ni Me26 Kuna tatizo linanikumba tofauti na awali nikikutana kimwili na mwanamke kwa sasa nashindwa ku erect yani nakosa hisia kabisa nimekuwa nikiwaza mpaka naona...
  7. PierreLiquid

    Recruitment Company [Job Junction] wanapatikana Makumbusho ni matapeli, kuweni makini nao

    Wanajijta Recruitment Company wanapatikana Makumbusho kituoni jengo la Choppers Supermarket floor ya tatu. Wanachukua cv kwa ajili ya kukutafutia watu interview wanajazishi form yao kwa Tsh20,000/=, wanakutafutia interview ya kubeba kutembeza bidhaa usipokubaliana na matakwa ya kazi ndio imetoka...
  8. PierreLiquid

    Nani anaisubiri Simba vs Yanga kwa hamu kama mimi?

    Habarini wanamichezo, aise nikiangalia hiz sajili zinazoendelea kweny hizi timu za watani wa jadi, mimi ni Simba Ila kuna vyuma viwili ndgu zetu wamevitoa AS vita bwana bwana. Obviously sisi tupo vyema wachezaji safi tunao na tunawasajili, ila utopolo siku hizi nao wanajitahi hvyo hvyo. Iyo...
  9. PierreLiquid

    Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

    Habari za jioni, aise leo nimefikiria zamani hizo kuhusu shuhuda za watu mbali mbali waliowahi kukutana na aina ya watu wafupi sana wakati wa usiku hasa boarding schools (vibwengo) je kwenye hili kuna ukweli kwenye hili wewe ni miongoni mwao ilikuwaje na wanafananiaje, na lengo la hawa viumbe...
  10. PierreLiquid

    Simba sports club hii ni aibu haswa kwenu

    Hii iwafikie viongozi wote wa club pendwa ya Simba sports club. Hii sio sawa hii sio sawa kabisaa kwa hadhi ya club ya Simba Mimi ni shabiki tena kindaki wa hii timu. Mara ya mwisho mimi nilikodi canter kama hii ikanichukulia vitu vya ndani kutokea g/mboto mpaka mbezi kwa Tsh 80,000/= za...
  11. PierreLiquid

    Ipi ni tarehe sahihi ya kumalizika mkataba wa kodi ya kupanga

    Habari, Kuna suala huwa linanitatizaga kwenye majibu ya tarehe sahihi ya mkataba wa pango. Ngoja niongelee kwa mifano huenda tutaelewana vizuri. 1-Mpangaji katoa Kodi tarehe 23 January. Kodi ya miezi 6. Tarehe sahihi yakumalizika Kodi hii ni tarehe 23 June(6) au tarehe 23 July(7). 2-Mpangaji...
  12. PierreLiquid

    Wakala wa kusajili laini za simu

    Habari wakuu. Kwa anayefahamu ni jinsi/njia gani zinahitajika ili kupata uwakala wa kusajili laini za simu ili kujipatia kamisheni. Nina mpango wa kuongeza kabiashara na naona hii biashara inawiana na ninachokifanya kwa Sasa. Na ningefurahi zaidi kama kuna mwenye uzoefu angenipatia elimu...
  13. PierreLiquid

    Historia fupi ya Korea Kaskazini na Ukomunisti

    Wakati wa uhai wake Kim Jong-il baba mzazi wa Kim Jong-Un, Kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini alioa wanawake wawili ambao ni Hong Il-chon na Kim Young-sook. Lakini aliishi kinyumba na wanawake wengine watatu na kufanya jumla ya wanawake zake kuwa watano. Hawa watatu hawakuwa wake wa ndoa bali...
  14. PierreLiquid

    Mdogo wangu anatafuta kazi

    Umri 19 Jinsia KE Uzoefu Alishafanya Butcher la samaki kwa mwaka. Makazi Dar es salaam Sifa mtiifu na ana adabu sana. Mawasiliano: 0712605935 Nipo tayari kumdhamini kwa lolote Sent using Jamii Forums mobile app
  15. PierreLiquid

    Simuelewi huyu mjamzito

    Habari zenu, Mambo yasiwe mengi ni hivi apa nilipopanga kuna binti makamu ya 23 ni mjamzito na kama ilivyo desturi watu wa aina hii huwa wanakuwa na upendo wakati mwingine na mtu fulani si kwamba anamuhitaji kihisia ila ni hali aliokuwa nayo ndio humpelekea kuwa hivyo. Nisirefushe mada ni...
  16. PierreLiquid

    Yoyote mwenye uelewa na kampuni ya Tunakopesha LTD

    Je, kuna mdau yoyote alishawahi kufanya nao kazi? Ilikuwaje? Kazi zao zinafanyika kwenye mazingira gani hasa sales/consultancy category? Ni sehemu sahihi kikazi kwa maslahi ya kusongesha siku? Unanishauri vipi mimi kama ndugu yako kwenye hii ajira? Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  17. PierreLiquid

    Kununua laini za uwakala zilizosajiliwa na mtu mwingine

    Habàri wakuu.. Nahitaji kufahamu je ni sahihi kununua laini za uwakala zilizosajiliwa na mtu mwingine usiemfahamu? Madhara yake ni yapi: Na je nikifanya hivyo naweza kujiingiza kwenye matatizo kabla haijawa tatizo. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. PierreLiquid

    Naomba ushauri wa Kozi ya kusoma ili nikimaliza niweze kujiajiri

    Habari wakubwa, Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 20. Nilibahatika kusoma na kupata Diploma ya (Ugavi na Uchukuzi) (Procurement & supply Menegement). Niliwahi kubahatika kuajiriwa katika micro credit pahala fulani kama sales & credit officer kwa kipindi cha mwaka mmoja ila mkataba...
  19. PierreLiquid

    Nahitaji kufahamu hii hali kukojoa mkojo wenye damu

    Habari, wakubwa heshima yenu. Mimi ni kijana umri ni 25 Me, kwanza nianze kwa msemo wa kiswahili usemao "mficha maradhi kifo humuumbua" nimeona leo nifunguke apa ili nipate ushauri kabla ya kwenda mbele zaidi. Miezi 2 sasa kuna tatizo la kiafya kwenye mwili wangu silielewi. Nimekuwa natoka damu...
  20. PierreLiquid

    Kagoma mimi kuishika simu yake

    Habari wakuu, natumaini mu wazima katiaka pilika za kimaisha. Leo mimi ndugu yenu, mdogo wenu naomba kujua maana ya ili linalonikumba. Mimi ni kijana makamu ya 25Me nipo kwenye mahusiano na binti mmoja nimemzidi 3years na mahusiano yetu naweza kusema yana zaidi ya miaka miwili changamoto...
Back
Top Bottom