Habari wadau
Kutokana msimu huu wa mfungo wa ramadhani, kuna Ndugu yangu anataka anitumie kama tani 20( kontena) za tende kutoka Saudi Arabia ili nifanye biashara.
Sasa nataka kujua ni documents zipi za muhimu ninazihitaji au taratibu za kufuata ili niweze kuupokea mzigo huo.
Natanguliza shukrani
Habari za muda huu wanajamvi,
Kuna mtu anataka kuanzisha shule (pre and primary school), hivyo anahitaji mtu wa kumfanyia feasibility study au kuandika project proposal.
Ambayo itaonyesha tathimini ya project nzima kuwa inaweza kugharimu kiasi gani.
Kwa yeyote anayeweza kuifanya kazi hii...
Leo natoa na salamu.
Kutokea pale nilipoishia.
Kwa mwenyeakili atagundua kuwa huu ulimwengu na vyote vilivyomo, havikujiumba vyenyewe bali kuna alieviumba ndio maana vipo katika mpangilio uliopangika sawa sawa.
Swali nani aliyeuumba na akauweka katika mpangilio huu?
Aliyeumba ulimwengu na...
Wanaopinga uwepo wa Mungu, ukiwauliza kuhusu asili ya huu ulimwengu na jinsi ulivyo katika mpangilio ambao hauna dosari ndani yake, watakwambia ni nature au coincidence.
Mimi mtu akinambia hivi swali la kwanza linalokuja akilini mwangu, ni je, hiyo nature inaakili(ufahamu)?.
Kinacho mpambanua...
Wanaokana mungu huwa wanahoja mbalimbali katika kupinga uwepo wa mungu, pia huwa wanakosoa mafunzo ya dini ili kutilia mkazo zaidi katika hilo.
Lakini ukweli ni kwamba, sio kama hoja zao zinathibitisha kutokuwepo kwa mungu, hapana.
Bali hoja zao zinathibitisha kuwa wao ni wapingaji, hivyo...
Wanaokana mungu huwa wanahoja mbalimbali katika kupinga uwepo wa mungu, pia huwa wanakosoa mafunzo ya dini ili kutilia mkazo zaidi katika hilo.
Lakini ukweli ni kwamba, sio kama hoja zao zinathibitisha kutokuwepo kwa mungu, hapana.
Bali hoja zao zinathibitisha kuwa wao ni wapingaji, hivyo...
Salaam
Wanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale.
Naomba kuuliza, hivi ni kipi kipimo sahihi cha ubaya ?
Kwa sababu wakati mwingine ubaya wa kitu si kutokana na kitu chenyewe kuwa kibaya.Bali ni mtazamo tu wa mtu kwa vile anavyokiona hicho kitu.
Kwa mfano mtu anaweza akesema chakula...
Habari zenu wadau.
Unajua katika mapenzi na sualazima la upendo, kuna tofauti kubwa sana jinsi mtu anavyo mpenda mtu mmoja ukilinganisha na anavyo mpenda mwingine.
Unaweza ukamwambia mama yako nakupenda sana.
Na ukwambia mkeo/mpenzi wako pia nakupenda sana.
Lakini upendo wako kwa mama yako...
Wakuu salaam
Unajua nimekuwa nikijiuliza hivi ni nani aliyesema msanii ni kioo cha jamii? au kuna maana gani unaposema msanii ni kioo cha jamii? au ni wakati gani msanii anakuwa ni kioo cha jamii?
Kwa ninavyofahamu unapojiangalia kwenye kioo unatakiwa ujione mapungufu yako. Na ndio kazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.