Search results

  1. Kabulala

    Naweza kuwashitaki CRDB ili walipe fidia kwa usumbufu na kadhia?

    Leo nimeenda Bank kuchukua pesa ambazo kabla sijaanza kuwapatia wanihifadhie tulipeana masharti. Cha kushangaza Leo nimeenda branches mbili zote walinzi wao (ambao hawakuwepo wakati nawekeana makubaliano na bank kuhusu vigezo na masharti) wakanizuia kuingia ndani kuchukua pesa zangu Kwa kigezo...
  2. Kabulala

    Swali Fikirishi: Hivi wabunge ni Viongozi au Wawakilishi wa Wananchi?

    Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wabunge walio wengi wakichangia hoja mbali mbali Bungeni na hata nje ya Bunge huku wakijitanabaisha kuwa wao ni viongozi waliopewa dhamana na kuaminiwa na wananchi. (most recently January Makamba alirudia kama mara 3 akijiita kiongozi yeye na wabunge wenzake)...
  3. Kabulala

    Waandishi wa habari jifunzeni kuvaa mavazi yanayoendana na Matukio mnayoyafanyia Coverage

    Ndugu waandishi, Nimekua nikifuatilia KAZI zenu hasa za kwenye TV zenu za YouTube na kugundua wengi wenu mavazi yenu hayawatanabaishi kama wataaluma/ watu wenye Ku-command respect kutoka Kwa vyanzo vyenu mnavyochukua habari hasa zile za kisiasa au stream/wadau wenu mnakopereka habari...
  4. Kabulala

    Ghiliba za wanasiasa: Je, inawezekana kuwaburuza mahakamani ili watolewe kwenye nafasi zao Kwa kulaghai ili wachaguliwe?!

    Nimekua nafatilia wanasiasa wengi wakati wanaomba Kura wanasema uongo mwingi Sana na Kwa bahati mbaya wanaaminiwa na kupewa Kura na kutumikia nafasi walizozipata Kwa kulaghai bila wasiwasi wowote na mwisho wa kipindi walichoomba wanazawadiwa kiinua mgongo kama ahsante. Kwangu Mimi naona hiyo si...
  5. Kabulala

    2025:Humphrey Pole Pole Yuko Training.

    Kila nikimsikiliza na kumtazama Spokesperson wa Chama cha Mapinduzi Mr Pole pole, ninaona kama vile anasubiria Jambo kubwa limtokee, anaongea Kwa Authority na bashasha kubwa mno, ni kama vile anajua Kesho yake ni njema Sana. Inawezekana mawazo na mtizamo wangu sio Sahihi lakini Kwa mwenendo wa...
  6. Kabulala

    Kuenguliwa kwa wagombea kuwe funzo kwa Vyama vya Siasa

    Nimewasikia Viongozi wa vyama vya Siasa wakipaza sauti na kuwahamasisha wananchi waandamane nchi nzima kupinga kuenguliwa Kwa wagombea wao. Unawezaje kumconvince MTU akampambanie MTU ambaye sio chaguo lake? Zamani wananchi ndio walikua wanawaomba watu wakawawakilishe kutokana na mahitaji...
  7. Kabulala

    Statistically, Zitto is the best political leader of the season

    Kabla hata Kura hazijapigwa, Zuberi ana uhakika wa kupata gain ya zaidi ya asilimia 1000 katika uchaguzi ujao. Kwa sasa yeye ndiye mwenye bargaining chip kuliko mwanasiasa mwingine nchi hii kwani amefanya political business nzuri sana kushinda ata CCM ambao wamesemekana kununua wabunge na...
  8. Kabulala

    Mkuu wa Mkoa unashindwa vipi!?

    Katika KAZI rahisi Sana ktk nchi hii mojawapo ni mkuu wa Mkoa (mwakilishi wa Rais kama wanavyopenda kujiita). KAZI kubwa ya RC ni kusimamia ulinzi na usalama Kwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo mkoani kwake. Kwangu Mimi hii ndio KAZI mama ya RC, Mambo mengine kama vile...
  9. Kabulala

    Uchaguzi 2020 Wilfred Lwakatare kuombwa kugombea tena Ubunge kupitia CCM Bukoba

    Japo alitangaza kustaafu lakini ataombwa kutengua dhima yake na wanaCcm wa Bukoba ili aendelee kuwatumikia Wana Bukoba town kwani mchango wake bado unahitajika. POLITICS.
  10. Kabulala

    Uchaguzi 2020 Ubunge 2020: Napendekeza wananchi wawape ajira vijana 200

    Ni ukweli usiopingika kwamba ubunge sio tuu kuwakilisha wananchi husika lakini pia ni ajira yenye malipo mazuri na uhakika Kwa kipindi cha miaka 5 Nadhani ni wakati sasa wananchi kuanza kuwapatia fursa watu kutoka Kaya tofauti ili kuboresha Hali za Kaya watokazo. Nasema hivi Kwa sababu nimeona...
  11. Kabulala

    RCs, DCs, DEDs, Madiwani na WEOs wote huishi maeneo yao ya kazi. Kwanini Wabunge hawapendi kuishi na wanajamii wanaowawakilisha?

    Katika utafiti wangu usio rasmi nimegundua asilimia zaidi ya 90 ya wabunge wa nchi hii wanaishi nje ya maeneo Yao ya uwakilishi, na wengi urudi majimboni Kwa muda wakati wa uchaguzi. Mimi naamini Kwa kuwa mbali wanashindwa kutimiza wajibu wao kama vile kuhamasisha shughuli za maendeleo ktk...
  12. Kabulala

    Sokoine University of Agriculture (SUA): Hamtambui umuhimu wenu katika Taifa hili au mmeridhika na kuwa under-utilized?

    Hakuna shaka nchi yetu inategemea sana kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wetu. Asilimia zaidi ya 75% ya Watanzania wanajishughulisha na kilimo, sasa ni kwanini taasisi hii muhimu inazidiwa na vyuo vinavyofundisha Science ya Siasa au Ubunifu wa Majengo na Ukandarasi wakati katika miradi yote...
  13. Kabulala

    PhD Queries: Hivi ni lazima uchukue miaka mingi kupata PhD au ni mpangilio wa vyuo vyetu uwachelewesha wanaosaka PhD?

    Je ni kweli, lazima usote darasani miaka 2 - 5 kutafuta PhD, au inategemea na program ya yule anayekufunza? Natambua full time students uchukua maximum 2 years na part - timers ni 5 years max. Je, muda wa kukaa darasani ndio unadetermine uhalali wa PhD yako au ni programs na brilliance ya...
  14. Kabulala

    Marais 3 wameongoza kwa kuegemea sana sekta walizotoka; Napendekeza Rais ajaye atokee Wizara/sekta ya Kilimo

    Hello Everyone! Ninaamini wengi wenu mtakubaliana na Mimi kuwa Marais Mkapa, Kikwete na sasa Magufuli wameonekana kufanya vizuri zaidi kwenye masuala ambayo walishughulika nayo kabla hawajainuliwa na kuwa Viongozi wa Nchi, Mkapa alikua MTU wa Press na Foreign affairs. Tuliona alivyo engage...
  15. Kabulala

    Hali inaogopesha kidogo kwa maisha ya wananchi Zimbambwe

    Hello Everyone.. Nilipata bahati ya kutembelea Zimbabwe baada ya kuisikia katika mijadara mingi ya kimataifa (mostly Kwa mabaya). First impression ilikuwa tofauti na fikira zangu za siku zote. Zimbabwe imejengwa vizuri Sana, madege makubwa, airport ya kisasa na miundombinu ya kutamani...
  16. Kabulala

    Viongozi wa Kagera (especially wabunge) badilisheni approach yenu

    Hello members,, Nimekuwa nikifuatilia discussions nyingi katika jukwaa hili kuhusu uduni wa maendeleo ya Kagera despite ya factors zote nzuri nzuri kuhusu Mkoa wenyewe. Lawama nyingi zimewaendea diaspora wa Mkoa ambao huko walipo wanang'ara sana katika Tasnia zao. Wabunge wa Mkoa huu asilimia...
Back
Top Bottom